Barnabas Mashamba
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 1,056
- 2,844
Ndoto yako inamaanisha, awamu hii yatatumika mabomu (siyo yale ya machozi), mabomu kama mabomu ndiyo maana hadi ardhi ilikuwa inamomonyoka.Ndugu zangu, niliyoyaona usiku wa leo yamenipa wasiwasi na hofu, nimeona nisikae kimya niwaambie na nyinyi, huenda kuna baadhi hapa mpo vizuri kwenye mambo ya ulimwengu ule usioonekana.
Ndoto ya kwanza niliona kundi kubwa la watu wakiwa na viongozi wa juu kabisa wakiongea na kundi hilo mara ghafla ikanyesha mvua kubwa na watu wale wakaanza kutawanyika kila mtu kwenda kujificha, cha ajabu mvua ilipokata wale viongozi wakaanza kuwaita watu warudi ili waendelee kuzungumza nikaona idadi ilikuwa ndogo sana tofauti na mwanzo.
Ndoto hiyo ikaisha hapo, NDOTO YA 2 ndiyo ilinifanya niamke usingizini maana nilikuwa naona kama kweli, TAZAMA niliona mvua kubwa sana ikinyesha ikaleta mafuriko makubwa na ardhi ikaanza kumeguka vipande vipande, nyumba zilisombwa na maji, nikawa najaribu kukimbia niweze kujiokoa, watu pia wakawa wanakimbia wengine walimezwa na ARDHI iliyokuwa inameguka.
Sijui ilikuwaje ila nikajikuta nimebahatika sehemu niliyokaa mmomonyoko na yale maji yalikoma ghafla, ilikuwa ni kama mita kadhaa tu hivyo nikawa nachungulia na kuangalia athari zilizotokea. Nikashituka toka usingizini, nimewaza na kutafakari ila sijajua maana yake nini, naombeni msaada wenu kwa mnaoelewa haya mambo.
You ask the wrong IDNi kweli kuna Janjaweed wanashikiriwa kwenye kambi za JWTZ?
Vipi death tool inakadiriwa kua ngapi so far?
You ask the wrong ID
Ndugu zangu, niliyoyaona usiku wa leo yamenipa wasiwasi na hofu, nimeona nisikae kimya niwaambie na nyinyi, huenda kuna baadhi hapa mpo vizuri kwenye mambo ya ulimwengu ule usioonekana.
Ndoto ya kwanza niliona kundi kubwa la watu wakiwa na viongozi wa juu kabisa wakiongea na kundi hilo mara ghafla ikanyesha mvua kubwa na watu wale wakaanza kutawanyika kila mtu kwenda kujificha, cha ajabu mvua ilipokata wale viongozi wakaanza kuwaita watu warudi ili waendelee kuzungumza nikaona idadi ilikuwa ndogo sana tofauti na mwanzo.
Ndoto hiyo ikaisha hapo, NDOTO YA 2 ndiyo ilinifanya niamke usingizini maana nilikuwa naona kama kweli, TAZAMA niliona mvua kubwa sana ikinyesha ikaleta mafuriko makubwa na ardhi ikaanza kumeguka vipande vipande, nyumba zilisombwa na maji, nikawa najaribu kukimbia niweze kujiokoa, watu pia wakawa wanakimbia wengine walimezwa na ARDHI iliyokuwa inameguka.
Sijui ilikuwaje ila nikajikuta nimebahatika sehemu niliyokaa mmomonyoko na yale maji yalikoma ghafla, ilikuwa ni kama mita kadhaa tu hivyo nikawa nachungulia na kuangalia athari zilizotokea. Nikashituka toka usingizini, nimewaza na kutafakari ila sijajua maana yake nini, naombeni msaada wenu kwa mnaoelewa haya mambo.
Umethibitisha fact gani?Nafikiri sasa tukubaliane Yoga ndio mtu pekee anayetupa facts sometimes upende usipende. Leo mmedhibitisha.
Kama hujaelewa umepotea njia.Umethibitisha fact gani?
Alisema hakuna kukiri.Umethibitisha fact gani?
sasa wewe ulitegemea kuna kukiri?Alisema hakuna kukiri.
Pia Ali update kuwa nature kwa Sasa sio muamuzi mkuu , Nazani hii ya leo ni kete ya kwanza labdaAlisema hakuna kukiri.
Yoga alidokeza kuwa hawa jamaa wana dharau na wamedhamiria kubaki madarakani kwa njia yoyote ile....Nafikiri sasa tukubaliane Yoga ndio mtu pekee anayetupa facts sometimes upende usipende. Leo mmedhibitisha.
Hotuba ya Leo imenifanya nimvulie kofia yoga , Yoga kweli jupo jikoni alichosema kuhusu Hawa watu ndio kilekile . Wazee mnaodai kuwa anatoa chai mjifikirieNafikiri sasa tukubaliane Yoga ndio mtu pekee anayetupa facts sometimes upende usipende. Leo mmedhibitisha.
Tofauti yake ni nini na Mo29?Sio kwahiyo calender Yako iyo Ina kitu kinaitwa shoot to kill
Inaonekana wewe hukuisikiliza hotuba ya guys,hata wenye uniform walipitiwa na upepo wa isilaili MO9Ndoto yako inamaanisha, awamu hii yatatumika mabomu (siyo yale ya machozi), mabomu kama mabomu ndiyo maana hadi ardhi ilikuwa inamomonyoka.
Waandamani wote, jiandaeni kupelekwa mbinguni kwa kurushiwa mvua ya mabomu.
Ova endi auti.