KuniMbichi
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 249
- 359
Nikiwaelezee wale wasioelewa............ Nilimaanisha kusema,For those who did not understand............ I meant to say,
Its officially that The company is a locked house with keys held by a few, To mean that,...... all the company Power has narrowed into private hands, and silence is enforced at the gate. The kingdom serves its keepers, and questions are treated as crimes from now on wards
To be safe stay silent!! Otherwise it's the end!!! No hope no lights, only nature to decide
Duh!Jamanieee, natumaini mko poa sana
Ila watu wanadharau nyieee...... yaani Mgejua ........... Kuwa anacheka zake sana tu,
🤔"
Nawajuza tu kuwa kwenye kikome chao wamekubaliana kuwa hata iweje hakuna kuonesha kuwa Kwa namna yoyote Ile eti wao wamekosea, na mmoja kamjaza anamwambia
"inabidi meseji iwe clear kuwa your the CEO na hakuna mtu wa kuku chezea chezea, ukiwasikiliza hao watakutikisa kweli kweli"
Na kwa taarifa yenu hao kamaba mnao waamini na kuaminishwa wako na nyingi, ndio watawalengesha kwa wale wa kika!
kaaa kwa utayari, wameagizwa watumie gari za kijapani kuwanyakuwa nyakuwa huko mitaani!
Mkitaka kuwashinda msije na hisia, critical analysis is needed vinginevyo jambo linaenda kujirudia na hawana soni.
Mbuga zinauma nyie!!!🤔😂
Love y'all
Hii imebuma vbyHii divide & Rule kwa kuwatumia mashekhe ubwabwa nimeielewa, Wakikaza inaweza ikafanya kazi
Maana wale ndugu zetu, wapo ambao huwa hawachuji taarifa lets see, me naongeza popcorn tu.
Kwa hii statement yako nahitimisha hata wewe huna uhakika , maana ile Kanuni ya divide and rule imeshafeli tayariSawa, kama itawezekana kuwajaza barabarani kwasiku tatu tu mtafanikiwa, ila nakukumbusha kunakitu kinaitwa divide and rule
Mpaka sasa Wananchi 5- Tume 0.Wazee wa kuunganisha story, huu uchunguzi wa CNN tunaunganisha vp na Hii mada?
Hauwezi kuongoza familia ikiwa unapata resistance ndani ya familia na nje ya familia.Kwa hii statement yako nahitimisha hata wewe huna uhakika , maana ile Kanuni ya divide and rule imeshafeli tayari
Poleni sana , kiufupi ni CCM has fallen kama empire na tawala zingine duniani
Aah mi huu naona ulijikita sn kwa mwendazakeWazee wa kuunganisha story, huu uchunguzi wa CNN tunaunganisha vp na Hii mada?
Umegusa kwenye mshono, Yoga ni propaganda mashine ambayo imeshafeliyoga siku za mwishoni mwa uhai wa mwendazake, wakati taifa likiwa linahaha kujua alipo ulisimama kidete kuaminisha watu kwamba mzee yuko sawa. Je na wewe ulikuwa gizani kama sisi au ulikuwa katika utekelezaji wa majukumu ya kikazi kututaka tusubiri tamko rasmi?
Fatilia vzr utaona Kila trending utaikuta humu mtoa mada analazimisha kuendana na huu uziAah mi huu naona ulijikita sn kwa mwendazake
Sijui kwa ss watuambie wanaojua😃😃
Uchambuzi wa kina unahitajikaMkitaka kuwashinda msije na hisia, critical analysis is needed vinginevyo jambo linaenda kujirudia na hawana soni.
Na misukule inamuona km mtu yupo deep state kweli 😹😹Fatilia vzr utaona Kila trending utaikuta humu mtoa mada analazimisha kuendana na huu uzi
HahaaaaFatilia vzr utaona Kila trending utaikuta humu mtoa mada analazimisha kuendana na huu uzi
Fatilia vzr utaona Kila trending utaikuta humu mtoa mada analazimisha kuendana na huu uzi
Na misukule inamuona km mtu yupo deep state kweli 😹😹
Yoga km alivyo mjombaake uyoga anaenda na msimu 🤣
Finally I verified huyu ni mwanamtandao.yoga siku za mwishoni mwa uhai wa mwendazake, wakati taifa likiwa linahaha kujua alipo ulisimama kidete kuaminisha watu kwamba mzee yuko sawa. Je na wewe ulikuwa gizani kama sisi au ulikuwa katika utekelezaji wa majukumu ya kikazi kututaka tusubiri tamko rasmi?
Mambo rahisi kama haya kiongozi unashindwaje. Kweli kiburi kibaya sana.Hauwezi kuongoza familia ikiwa unapata resistance ndani ya familia na nje ya familia.
Mwendazake aliweza sababu ndani ya familia alikuwa na support, ndiyo maana aliweza kuwanyea mabeberu na wakafyata.
Ila this time karata hawajazichanga vizuri, resistance ya ndani inafanya hata wawekezaji na watalii wakimbie sababu ya uncertainity.
Uko sahihi Lamomy. Yeye enaenda kutegemea current situation. Sijui ni kwa nini watu wanamwamini hivyo!!Na misukule inamuona km mtu yupo deep state kweli 😹😹
Yoga km alivyo mjombaake uyoga anaenda na msimu 🤣
Kwan ww una uhakika Gani tunaiwaza 9DC!? Iv kabla ya MO29 mlidhani kutakuwepo na 9DC!? Kati ya kete ambayo wanamtandao wamepoteza pakubwa ni nguvu ya umma, "It's a playground where the game of thrones is excuted".watu wanaplan mpaka 2050 nyie mnawaza 9dc
Waoga na wapenda kutafuniwa kwa kulishwa matango pori.Uko sahihi Lamomy. Yeye enaenda kutegemea current situation. Sijui ni kwa nini watu wanamwamini hivyo!!