Dark days 17/03/20

Hivi kambi ambayo inataka maslahi mapana kwa mustakabali wa taifa na walio wengi,
Ilishindwa shindwajwe kupeleka watu wao kusomea mapigo ya Drones?
 
For those who did not understand............ I meant to say,


Its officially that The company is a locked house with keys held by a few, To mean that,...... all the company Power has narrowed into private hands, and silence is enforced at the gate. The kingdom serves its keepers, and questions are treated as crimes from now on wards

To be safe stay silent!! Otherwise it's the end!!! No hope no lights, only nature to decide
 
Mipango yetu sio ya Mungu
 
Nature has never been wrong, it always restores balance, even when silence reigns.
 
Its officially that The company is a locked house with keys held by a few
Ni kwa muda mfupi tu coz ni binadamu ambao wamejaa madhaifu kibao, wataachia tu.
all the company Power has narrowed into private hands, and silence is enforced at the gate
Power itarudi kwa umma coz hakuna aliyeweza kushindana na umma akashinda.
To be safe stay silent
Hapa naona kama unataka kutuonyesha kuwa jamaa hatuwawezi, hawa ni binadamu kama sisi, tusiwape nguvu isiyokuwa yao!
 
Nature Never Hurries, Yet Everything Is Accomplished... - Lao Tzu
 
Nimetoka kusoma post ya Mwanakijiji, ameeleza mengi kwa hisia lakini amejaribu kukumbusha historia ya mauaji yaliyofanywa na Mjerumani dhidi ya Babu zetu walipojaribu kupinga utawala wao kwa miaka mingi

Nadhani sasa tumefikia kizazi cha kina Mkwawa, Kijenkitile Nkwale na mashujaa wengine ambao hawakujali vitisho vya wajerumani

Waliwaua Babu zetu na kuacha miili yao mtaani ili wengine waogope lakini hawakuogopa

Waliwanyonga Babu zetu juu ya miembe na kuacha miili yao ikibembea mtini kwa siku kadhaa ili wengine waogope lakini hawakuogopa

Walipochoka kabisa, Kijenkitile aliwaongoza vijana kuwashambulia wajerumani kwa siraha za jadi na kuwaaminisha kuwa risasi za mjerumani zitageuka kuwa maji (fikiria huu ujasiri na linganisha na baadhi ya matukio yaliyoonekana wakati vijana wakiwazika wenzao kwa nyimbo za hamasa na uchungu)

Yes, ni sahihi kabisa if you want to be safe stay silent, but dalili zote zinaonyesha hiki si kizazi cha ku "stay silent". Tayari mizimu ya kina Mkwawa imeshaamka watawala wenye busara wanapaswa walione hili na wachukue hatua kuokoa Taifa

Historia ina kawaida ya kujirudia, God help us!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…