brAin cRacker
JF-Expert Member
- Jun 14, 2017
- 940
- 1,382
hili game gumu sana
Msaidizi kuangalia hali ilivyo, akaanza kurudisha the old structure kwenye kampuni! The only difference ni yeye ndio CEO but behind the scene there is another CEO!!Kabla ya Uchaguzi boss alitaka amuweke mrithi wake kwenye kampuni yake, mrithi anayemtaka yeye. Ila kutokana na upinzani mkubwa ndani ya kampuni maamuzi magumu ilibidi yafanyike
Baada ya Uchaguzi kuna mtu alipata uongozi accidentally. Hakuwa chaguo la boss, alipewa sababu ya kuua kambi!
Big boss anayemaliza muda alifanya maamuzi hayo akiamini ataweza kum-control kwakuwa file lake analo na anamjua na amempa ili kunusuru mkatiko mkali kwenye kampuni.
Alijua ataleta umoja ndani ya kampuni. Mambo yalibadilika baada ya new boss kupewa kijiti na kukabidhiwa ofisi!
Alichofanya ni kutengeneza timu yake na kuondoa timu yote ya mtoa kijiti! Akaenda mbele zaidi kupitia files na kuanza kutindua maslahi ya mtoa kijiti kwenye kampuni!
Mbaya zaidi, akamfukuza mwenye kijiti, au the old boss kwenye kampuni anayoamini ni ya kwake na bila yeye haiendi!
The New Boss alipewa notification na maelekezo kuhusu mambo kadhaa mara kadhaa, ila aliskika akijibu, yeye ndio mwenye kijiti na hakuna wa kumpangia! Hataki maelekezo na kwanza haelekezeki!
Alijibu hivyo hadharani bila woga wala hofu! Kwakuwa alimjua adui ni nani! Alianza mpaka kutangaza kuwa kampuni ile sasa ni yake na chini yake inafanya makubwa sana, na wale wa zamani walikuwa wanaifilisi!
Haikuwa habari njema saaaana kwa mwenye kijiti kabla ya uchaguzi na backup system yake! Discussion zilifanywa mara kadhaaa kumjadili new big boss in town kumbe the new boss alikuwa anawarecord all the time!
Alichokifanya ni kuvujisha badhi ya convos za washirika wa adui mkuu kum-notify ironically kuwa anajua wanachomjadili na anajua hawampendi! Na amejipanga au ameji-sacrifise yupo tayari kwa lolote!
Shida ikaanza, after a discover kuwa deal za the old big boss zinazimwa na zinachukuliwa kwa nguvu na stakeholders wapya chini ya maelekezo ya the new big boss na stakeholders wa zamani wanatupwa nje ya ukuta!
Ikatisha zaidi baada ya boss mpya kutaka kuwa CEO wa milele! Na akapanga watu wa kuhakikisha hilo linakamilika!
The old boss akakaa chini, akafikiria akaona kama huyu 4 years tu kanifanya hivi je 20 years to come?
Muda ukaenda, the old boss played dead! But came up with a plan, involving the closest friend and the system in the company kama tunavyojua, the old the wine...... the fine it becomes!
The new Big boss kajichanganya during campaings za kuusaka u-CEO tena, akapigwa tukio, after Uchaguzi wa pili wa kampuni only three months akatema ndoano!
Msaidizi wake akaitwa chemba, maelekezo akapewa achukue kijiti, afanye reform mambo kwabu yanapaswa kurudi kama zamani!
Msaidizi kuangalia hali ilivyo, akaanza kurudisha the old structure kwenye kampuni! The only difference ni yeye ndio CEO but behind the scene there is another CEO!!
Let see will the new boss stick to the plan? or...
Itaendelea.......
Guess the company!??
Muendelezo Soma Dark days 17/03/20.…...
Angalizo: Story hii haihusiani na chochote Dark days 17/03/20...
Mkuu kachafukwa hii nini sasa ,lengo lako kutuumiza vichwa sioSana oyun oynadılar ve sen onların oyununa yakalandın.
Tchao!!!
Hii imekaa poa sana, na cm nazima kabisaNingekuwa mimi ndio Joyce Banda wa Nyikani na kwamba kuna foul zimefanyika ili niwe kwenye harakati, na nikiwaambia wana network kwamba nataka nikae kando hawataki, wana force endelea tupo hakuna wa kukufanya chochote,
Lakini mimi moyoni mwangu nnakabiliana na mwako na naujua namna ambavyo naumia,
Basi najianda na safari binafsi ya kwenda Ujombani, nikifika huko natengeneza mazingira ya kwamba naumwa,
Siwezi kuendelea na harakati za kurudi kwenye kigoda, pambaneni wenyewe huko.
Not in this continent. Bi Joyce is enjoying the fruits, doesnt care bout so called hand to mouth dwellersNingekuwa mimi ndio Joyce Banda wa Nyikani na kwamba kuna foul zimefanyika ili niwe kwenye harakati, na nikiwaambia wana network kwamba nataka nikae kando hawataki, wana force endelea tupo hakuna wa kukufanya chochote,
Lakini mimi moyoni mwangu nnakabiliana na mwako na naujua namna ambavyo naumia,
Basi najianda na safari binafsi ya kwenda Ujombani, nikifika huko natengeneza mazingira ya kwamba naumwa,
Siwezi kuendelea na harakati za kurudi kwenye kigoda, pambaneni wenyewe huko.
How and who is that ?And why?za ndaaaani kabisa mstaafu kastaafishwa
Nini eti?za ndaaaani kabisa mstaafu kastaafishwa
Sio kweliza ndaaaani kabisa mstaafu kastaafishwa
za ndaaaani kabisa mstaafu kastaafishwa
Kwamba Koplo dunia ni wa kwa KP na labda mijadala na hoja za mapenzi kwa kampuni imekuwa ni geresha tu? Kazi ni nzito. Tunaye dhani ni adui labda ndiye mlinzi mkuu wa maslahi ya kampuni dhidi ya K.P na mabwana zake.Unamuonea bure late CEO, hawa watu kutoka kwa PAKA wapo miaka mingi hapa nchini tokea enzi za uhuru, na wengi wao walikuwa majeshini,serikalini ,vyuoni na hata huyo `born town anawajua sana na hata kwenye utawala wake walikuwepo, na mmoja wapo alikuwa msemaji wa jengo jeupe karibu na soko la samaki enzi za Born town, na hadi sasa tunao ndio hawa wanajifanya wataka katiba ,hawa walikuwa wanamiliki magazeti na hadi sasa wana gazeti lao la kufungia utumbo, huyu amewahi kuwa mtu mzito na kuwa meneja kampeni wa marehemu mzee Ole wa Lupaso Koplo Dunia. Born town ndiyo aliyoyataka baada ya kuwaondoa wenzake ili abaki yeye kama Don. Marehemu Ole aliawanyamazisha akina Koplo Dunia sasa wameanza tena kubweka, mtu hasahau kwao hata kama hajazaliwa kwao.
Dadeq hapa nimetoka kapaKwamba Koplo dunia ni wa kwa KP na labda mijadala na hoja za mapenzi kwa kampuni imekuwa ni geresha tu? Kazi ni nzito. Tunaye dhani ni adui labda ndiye mlinzi mkuu wa maslahi ya kampuni dhidi ya K.P na mabwana zake.
uzime simu na tunakudai! tutakutafta popoteHii imekaa poa sana, na cm nazima kabisa
Sana oyun oynadılar ve sen onların oyununa yakalandın.
Tchao!!!
nazani kuna mtu alilishwa taarifa nae akaenda kuzitema sehemuThey played a trick on you and you got caught in it (hiyo ndiyo tafsiri ya haya uliyoandika Yoga!) WTF?
Anaejua tafsiri ya hii plzNublaron tu pensamiento con teorías de conspiración y lograron que todos cayeran en eso, dejándolos colgados sin ninguna pista.
Actúa como si te importara para que crean que eres uno de ellos, déjalos hablar y difundir lo que dijiste tras bastidores, mátalos poco a poco, y cuando despierten no se darán cuenta de nada porque ya estarán muertos. ¡Toma nota!