Dark days 17/03/20...

Mungu ni MMOJA.

Mafundisho ya utatu ni ya masonryyy ALAMA ya bikari, Bermuda nk ni mafundisho ya MASHETANI.

Kama walivyochakachua dini ya romee, waliingiza pia na Kwa isl.... Wakaingiza NYOTA na mwezi viabudiwe., Vitabu vya kutengeza majini navyo ndani. Nk nk.

Yesu wa Biblia ndo ISSA wa q....n, ndo huyo atakayerudi kuuhukumu ulimwengu Kwa wote wasiomwamini.

IMANI,IMANI, wote wasioamini kuhusu huyo ni wapinga Kristo. So ni wamoja, Islam na christians, Mungu MMOJA.

Amen, Amen, Amen.
Mkuu
Imani hizi zinavunja Moyo Sana na unaweza poteza misimamo KABISA
Hebu ona hili la utatu mtakatifu ambao haya walokole wanaaamini na hata kuwabatiza watu KWA jina la Baba,mama na roho mtakatifu!!
Hilo ni jambo la siku nyingi na tumelikuta Sasa leo ukijua Hivyo utaendelea kuabudu kanisa lile lile lenye imani za masonic za utatu!!!?
Na je ukakimbilia KWA Hao wanaopinga utatu kama adventists utakuwa na uhakika gani kuwa hapa ni salama!!?
Yaani utapaona ni salama kama ulivoona kanisa la awali lilivyokuwa salama kwako!!
Halafu ukae KWA miaka Mingi uje ugundue Napo Sio sijui utakuwa mnyama wa aina gani unaehama kichaka!!!

NAMKUMBUKA SANA RAFIKI YANGU SANA MU ADVENTISTS WAKATI NIKIWA HIGH SCHOOL ALINIAMBIA HIO ISHU YA UTATU NILIMPINGA SANA NIKIWA NA AMINI SANA WAPENTEKOSTE NA DESTURI ZAO ZILE!!!
JAPO NILIKUJA GUNDUA JAMBO FULANI AMBALO HADI LEO NIMEKUWA MAKINI KWA WATUMISHI WENGI WAJIITAO WA KRISTO!!
SASA TUMEJIKUTA TUNA IMANI LAKINI HATUWAAMINI WANAOTUFUNDISHA KUHUSU MAMBO HAYO YA IMANI TULIOZALIWA TUKAYAKUTA!!!
 
Mkuu
Imani hizi zinavunja Moyo Sana na unaweza poteza misimamo KABISA
Hebu ona hili la utatu mtakatifu ambao haya walokole wanaaamini na hata kuwabatiza watu KWA jina la Baba,mama na roho mtakatifu!!
Hilo ni jambo la siku nyingi na tumelikuta Sasa leo ukijua Hivyo utaendelea kuabudu kanisa lile lile lenye imani za masonic za utatu!!!?
Na je ukakimbilia KWA Hao wanaopinga utatu kama adventists utakuwa na uhakika gani kuwa hapa ni salama!!?
Yaani utapaona ni salama kama ulivoona kanisa la awali lilivyokuwa salama kwako!!
Halafu ukae KWA miaka Mingi uje ugundue Napo Sio sijui utakuwa mnyama wa aina gani unaehama kichaka!!!

NAMKUMBUKA SANA REUBEN MKAMA RAFIKI YANGU SANA MU ADVENTISTS WAKATI NIKIWA PALE TANGA HIGH SCHOOL ALINIAMBIA HIO ISHU UTATU MIAKA 13 ILIYOPITA NILIMPINGA SANA NIKIWA NA AMINI SANA WAPENTEKOSTE NA DESTURI ZAO ZILE!!!

RAISI AJAYE Jambo gani boss??
 
Ndugu, soma NENO la Mungu, utaijua Kweli, dini Zina uchakachuzi mwingi.

Neno ni ulisomalo,at the same time NENO ndo huyo YESU au ISSA wa
isl ..m au YESHUA wamwitavyo wayahudi.

Huyo ndo ameandikwa habari zake MWANZO Hadi Ufunuo.

Yatosha ukiabudu ht na family home kuanzia wawili wanatosha.

Silaha 7 za kupambana na Mfalme wa Giza. Waefeso 6:11-18.

1. Jifunge KWELI kiunoni.

2. Dirii ya HAKI kifuani.

3.Miguu ya utayari ipatayo INJILI ya AMANI.

4.Ngao ya IMANI. Itumikayo kuizima mishale yote ya moto ya yule MWOVU.

5.Chapeo ya WOKOVU.

6.Upanga wa ROHO ambao ni NENO la Mungu.

7. MAOMBI ktk roho, mkikesha na kufunga mkiwaombea WATAKATIFU wote.

Amen.
 
Samahani, maelezo yako Ni mazuri na yamenyooka. Je tunaweza kuyapata wapi ili tujifunze zaidi? MFANO hili la kiti Cha uceo kutokukalika na wanaomwamini YESU wote watakilimbilia Tanzania?
NYIKANI SIKIA:
Dunia itapigwa mapigo ya kutisha, bahari na mto Nile vitakauka, jambo litakalopelekea taabu, maji yatapatikana CHANZO Cha mto NILE pekee ambapo ni Tanganyika.
Isaya 19:5-7. Ni hivi:

Baada ya Gharika, Nuhu alizaa watoto watatu.

1.Hamu 2. Yafeth 3. Shemu.
Dunia yote imejazwa mataifa Kutoka hao watatu.

.HAMU kamzaa :
1.Kushi 2. MISRI 3. Put 4. Canaan.

YAFETH kamzaa:
1.Gomeri 2. Magogu 3.Madai 4. Yaani 5. Javani nk.

Shemu akamzaa:
1.Elamu 2. Ashuru 3. Alfaksad 4. Ludi 5. Aramu

MATAIFA YOTE YATAABUBU PAMOJA. Isaya 19:23,24.

Katika siku hiyo itakuwako njia KUU itokayo MISRI na kufika hata ASHURU,

Mwashuri atafika MISRI na MISRI atafika Ashuru. Na wamisri wataabudu pamoja na waashuri.

19:24 Katika siku hiyo Israeli atakuwa wa TATU pamoja na MISRI na Ashuru.

Watakuwa baraka kati ya Dunia.

MADHABAHU MISRI: (Isaya 19:19.).

Katika siku hiyo itakuwako madhabahu katika Nchi ya MISRI Kwa BWANA.

TAFSIRI YA MISRI KIUNABII.

1. MISRI ni mtoto wa HAMU mwana wa NUHU.
2. MISRI ni Nchi iliyopo Africa, usisahau Wana wa HAMU kushi na Canaan, Puti na MISRI ni mataifa ya AFRICA.

3. MISRI ya KIROHO. Tanganyika au NYIKANI. Ufunuo 11:8.

Mji Ule mkuu, uitwao Kwa jinsi ya ''Roho'' Sodoma, na MISRI.
Ikumbukwe kuwa mji wa Sodoma na gomora na Gaza alitawala mtoto wa HAMU aitwaye Canaan alielaaniwa na babaye. MWANZO 10:1-32.

TANGANYIKA au NYIKANI kama sehemu salama ya kukimbilia: (Ufunuo 12:6,14).

JoKA akisubiri MWANAMKE azae Ili ammeze mtoto., MWANAMKE akazaa, mtoto akatwaliwa MBINGUNI.

JoKA akakasirika, yule MWANAMKE akakimbilia NYIKANI ambapo ana Mahali palipotengenezwa na Mungu Ili wamlishe huko muda wa siku Elfu mia mbili na sitini.

MTOTO=YESU,YESHUA,ISSA alienyakuliwa Mbinguni.

MWANAMKE=KANISA,KUSANYIKO la waaminio MUNGU mmoja.

Mahali SALAMA panapoandaliwa kumtunza MWANAMKE au kanisa, wamwabuduo Mungu mmoja ktk siku hizi za mwisho ni TANGANYIKA.

Ufunuo 12:15. NYOKA akatoa maji mithili ya mto ammeze,Nchi ikamsaidia MWANAMKE, ikayameza maji, MTO NILE ukakauka.

Tanganyika akimbiliapo MWANAMKE maji hayatakauka ambapo ndio chanzo Cha mto NILE.

MATAIFA YOTE wamwabuduo Mungu mmoja na Kumkiri YESU kuwa ni Masihi watakuja huku ambapo Mungu amepaandaa special walindwe dhidi ya JoKA. Na huku pekee ndo patakuwa na MAJI.

ABT, KITI CHA U-CEO wa kampuni yetu kutokalika:
Fuatilia Unabii juu ya KAMPUNI yetu, ingia You tube,, manabii wengi wameonyeshwa juu ya Hilo.

Pia imagine Mungu aiandae Nchi yetu kupokea jambo kubwa kiasi hicho amini lazima KUTIKISIKE na KUCHIMBIKE.

Asomaye na afahamu. Amen
 
Asante Sana kwa ufafanuzi. Nimekuelewa. Ubarikiwe. Tuendelee kujifunza zaidi.
 
Back
Top Bottom