Dark days 17/03/20...

Aiseh
Waislamu nao ni wakristo wanamwamini issah Bin Mariam!!!!
Sijawahi sikia HII kitu Ndio nasikia kwako NDUGU!!
Mungu ni MMOJA.

Mafundisho ya utatu ni ya masonryyy ALAMA ya bikari, Bermuda nk ni mafundisho ya MASHETANI.

Kama walivyochakachua dini ya romee, waliingiza pia na Kwa isl.... Wakaingiza NYOTA na mwezi viabudiwe., Vitabu vya kutengeza majini navyo ndani. Nk nk.

Yesu wa Biblia ndo ISSA wa q....n, ndo huyo atakayerudi kuuhukumu ulimwengu Kwa wote wasiomwamini.

IMANI,IMANI, wote wasioamini kuhusu huyo ni wapinga Kristo. So ni wamoja, Islam na christians, Mungu MMOJA.

Amen, Amen, Amen.
 
Kabla ya Uchaguzi boss alitaka amuweke mrithi wake kwenye kampuni yake, mrithi anayemtaka yeye. Ila kutokana na upinzani mkubwa ndani ya kampuni maamuzi magumu ilibidi yafanyike

Baada ya Uchaguzi kuna mtu alipata uongozi accidentally. Hakuwa chaguo la boss, alipewa sababu ya kuua kambi!

Big boss anayemaliza muda alifanya maamuzi hayo akiamini ataweza kum-control kwakuwa file lake analo na anamjua na amempa ili kunusuru mkatiko mkali kwenye kampuni.

Alijua ataleta umoja ndani ya kampuni. Mambo yalibadilika baada ya new boss kupewa kijiti na kukabidhiwa ofisi!

Alichofanya ni kutengeneza timu yake na kuondoa timu yote ya mtoa kijiti! Akaenda mbele zaidi kupitia files na kuanza kutindua maslahi ya mtoa kijiti kwenye kampuni!

Mbaya zaidi, akamfukuza mwenye kijiti, au the old boss kwenye kampuni anayoamini ni ya kwake na bila yeye haiendi!

The New Boss alipewa notification na maelekezo kuhusu mambo kadhaa mara kadhaa, ila aliskika akijibu, yeye ndio mwenye kijiti na hakuna wa kumpangia! Hataki maelekezo na kwanza haelekezeki!

Alijibu hivyo hadharani bila woga wala hofu! Kwakuwa alimjua adui ni nani! Alianza mpaka kutangaza kuwa kampuni ile sasa ni yake na chini yake inafanya makubwa sana, na wale wa zamani walikuwa wanaifilisi!

Haikuwa habari njema saaaana kwa mwenye kijiti kabla ya uchaguzi na backup system yake! Discussion zilifanywa mara kadhaaa kumjadili new big boss in town kumbe the new boss alikuwa anawarecord all the time!

Alichokifanya ni kuvujisha badhi ya convos za washirika wa adui mkuu kum-notify ironically kuwa anajua wanachomjadili na anajua hawampendi! Na amejipanga au ameji-sacrifise yupo tayari kwa lolote!

Shida ikaanza, after a discover kuwa deal za the old big boss zinazimwa na zinachukuliwa kwa nguvu na stakeholders wapya chini ya maelekezo ya the new big boss na stakeholders wa zamani wanatupwa nje ya ukuta!

Ikatisha zaidi baada ya boss mpya kutaka kuwa CEO wa milele! Na akapanga watu wa kuhakikisha hilo linakamilika!

The old boss akakaa chini, akafikiria akaona kama huyu 4 years tu kanifanya hivi je 20 years to come?

Muda ukaenda, the old boss played dead! But came up with a plan, involving the closest friend and the system in the company kama tunavyojua, the old the wine...... the fine it becomes!

The new Big boss kajichanganya during campaings za kuusaka u-CEO tena, akapigwa tukio, after Uchaguzi wa pili wa kampuni only three months akatema ndoano!

Msaidizi wake akaitwa chemba, maelekezo akapewa achukue kijiti, afanye reform mambo kwabu yanapaswa kurudi kama zamani!

Msaidizi kuangalia hali ilivyo, akaanza kurudisha the old structure kwenye kampuni! The only difference ni yeye ndio CEO but behind the scene there is another CEO!!

Let see will the new boss stick to the plan? or...

Itaendelea.......

Guess the company!??

Muendelezo Soma Dark days 17/03/20.…...

Angalizo: Story hii haihusiani na chochote Dark days 17/03/20...
Hiyo deepppp staaaaattttt, iliyojichimbia ndani gizani ndo hyo bikari, pembetatuu, jua na mwezi kama trkey na Sunday JUA kama Romeee.

CEO yeyote akizingua lazima Aondoke, ni kampuni ndani ya KAMPUNI chini Sanaa.

Zamani Mungu ndo alikuwa MTAWALA mf ktk Israel, akisaidiwa na makuhani.

Wakapinga WANADAMU wakataka mfalme, wakapewa Sauli mfalme wa kwanza Israel.

Mungu hakuondoka moja Kwa moja kitini, aliendelea kufanya KAZI deeeep kupitia manabii. Na walipozingua aliwatoa Kwa KITI.

Kama kawa, Shetani akaiga. Romeee ilipotawala kampuni zote duniani, walipopambania uhuru kampuni zikajitawala, Romeee hakutoka direct, alihamia deeeeep deeeep sana. Underground.

Hakuonekana direct bt kamba zake za ndani gizani zikiendelea kutawala.

Mwandishi anaandika Dark Days za kampuni yetu, sababu kubwa kbs za late CEO kuleft ni kuenda tofauti na maelekezo ya deeeeep under romeeee,

Mabwana waliagiza kampuni zote ziwapige Chapa members wote wawe zombies, wengi walikubali bt waliokataa waliondoka Kwa nguvu ya mtutu,

Kumbuka kampuni kama 2 za north afr.... Waliingiza WAZEE Hadi chumbani wakawaondoa ma CEOs,

Na hapa kwetu ndicho kilichotokea, wako deep sana sana.

Unaweza usimuelewe SAMURAI asemacho bt anawaongelea hao, na huyo BT ni mmoja wao wa ndani gizani.

Anasema WAZEE wa Saigon mwanamkubali ni wao...ni Kweli, vita hiyo so ndogo.

Niliwahi kuongelea Mapepo ktk form ya kibinadamu bt hamkuelewa, ni deeep Dow...n gizani.

Deeeep deeeep sana, ht trum..p... Amewahi kuwalalamikia ni very powerful.. Pembetatuu, bikari, verrr deeep.

Hata jukwaaaa hili ni deeeeep down.... Sana sana. Mwanzilishi wake...verrry deeep.

Asomaye na afahamu!!!!!

Amen Amen, Amen.
 
Hadi nimeogooa Sana!!tupo uchi Sana humu!!
 
Mkuu
NDIO MAANA
Walipomshikilia kijana WETU!!
Ambaye anajulikana kama mwanzilishi wa jukwaa!hawakuweza kumtia hatiani coz YEYE ni nembo tu wapo wenyewe!wenye jukwaa lao!!!
 
Ktk KAMPUNI yeu, Mungu ana KAZI nayo.

Mifumo ya kibinadamu haitabadili au kuzuia kusudi la Mungu kutimia.

Kama unaitazama KAMPUNI yetu kirahsi, BADILI mtizamo huo.

Iangalie kampuni hii kama kimbilio la Dunia nzima kwa wote wamtafutao Mungu Muumba wa Mbingu na Nchi.

Huyo ndo Yuko ABOVE all Kingdoms, Thrones, Intelligence, Principals, Plans etc.

Ma CEO wote 1,3,5 hapa hawapo shd kubwa ni kuchanganya ulinzi, Kulindwa na Mungu at the same time kuomba msaada wa Vibwengo.

Mungu hachanganywi, ni kama mafuta na maji.

Giza liliwaweza sababu ya mixing.
Amen
Nabii Eliya alimwambia Mfalme Ahabu atubu kwani ana dhambi nyingi ameua watu. Mfalme Ahabu akashupaza shingo kwa kuwa alikuwa na Jeshi la wafilisti wenye nguvu.
 
Hiyo deepppp staaaaattttt, iliyojichimbia ndani gizani ndo hyo bikari, pembetatuu, jua na mwezi kama trkey na Sunday JUA kama Romeee.

CEO yeyote akizingua lazima Aondoke, ni kampuni ndani ya KAMPUNI chini Sanaa.

Zamani Mungu ndo alikuwa MTAWALA mf ktk Israel, akisaidiwa na makuhani.

Wakapinga WANADAMU wakataka mfalme, wakapewa Sauli mfalme wa kwanza Israel.

Mungu hakuondoka moja Kwa moja kitini, aliendelea kufanya KAZI deeeep kupitia manabii. Na walipozingua aliwatoa Kwa KITI.

Kama kawa, Shetani akaiga. Romeee ilipotawala kampuni zote duniani, walipopambania uhuru kampuni zikajitawala, Romeee hakutoka direct, alihamia deeeeep deeeep sana. Underground.

Hakuonekana direct bt kamba zake za ndani gizani zikiendelea kutawala.

Mwandishi anaandika Dark Days za kampuni yetu, sababu kubwa kbs za late CEO kuleft ni kuenda tofauti na maelekezo ya deeeeep under romeeee,

Mabwana waliagiza kampuni zote ziwapige Chapa members wote wawe zombies, wengi walikubali bt waliokataa waliondoka Kwa nguvu ya mtutu,

Kumbuka kampuni kama 2 za north afr.... Waliingiza WAZEE Hadi chumbani wakawaondoa ma CEOs,

Na hapa kwetu ndicho kilichotokea, wako deep sana sana.

Unaweza usimuelewe SAMURAI asemacho bt anawaongelea hao, na huyo BT ni mmoja wao wa ndani gizani.

Anasema WAZEE wa Saigon mwanamkubali ni wao...ni Kweli, vita hiyo so ndogo.

Niliwahi kuongelea Mapepo ktk form ya kibinadamu bt hamkuelewa, ni deeep Dow...n gizani.

Deeeep deeeep sana, ht trum..p... Amewahi kuwalalamikia ni very powerful.. Pembetatuu, bikari, verrr deeep.

Hata jukwaaaa hili ni deeeeep down.... Sana sana. Mwanzilishi wake...verrry deeep.

Asomaye na afahamu!!!!!

Amen Amen, Amen.
Unatuchanganyia uongo na ukweli unataka tukuamini kuwa unasema ukweli??🤣🤣
 
Mkuu
NDIO MAANA
Walipomshikilia kijana WETU!!
Ambaye anajulikana kama mwanzilishi wa jukwaa!hawakuweza kumtia hatiani coz YEYE ni nembo tu wapo wenyewe!wenye jukwaa lao!!!

Mkuu
NDIO MAANA
Walipomshikilia kijana WETU!!
Ambaye anajulikana kama mwanzilishi wa jukwaa!hawakuweza kumtia hatiani coz YEYE ni nembo tu wapo wenyewe!wenye jukwaa lao!!!
Ni jukwaa lake bt yy ni level za international.
 
Mifumo yote ya kiulinzi wa Watawala duniani, Shetani alicopy kutoka kwenye Biblia,

Sababu Yeye ni baba wa Uongo, na Kila hila na baya chini ya jua.

Mamlaka hiyo Iko chini ya Masnryyyyyy.

Kiongozi yeyote Ili kupitishwa lazima wathibitishe,

utaona hata Pesa ilivyo,ALAMA zake na Benki ya dun... na mifumo yote Iko chini ya mnyama anayetenda KAZI Kwa niaba ya shetani.

Ilitokea Rome, yaani Dola ya kipagani ikajibadili na kuwa Dini. Utaona hiyo bendera NYEUSI IPO Kila penye mamlaka kumuwakilisha Pop...

Utaona hata makao makuu ya vyombo vya Usala....nyuma Kuna dini ya Romeee

Utaona Kuna mbadilishano kati ya mru..m...i na Isla..m, bt kiutawala, Rommme ndo anatawala Dunia chini Kwa chini.

Tunakoelekea DINI zote zitaungana itakuwa Moja, Wote watalazimishwa wamwabudu mnyama maana atakuja Kwa KIVULI Cha kuleta Amani na DEMOKRASIA duniani na wote watatii kasoro MTAWALA wa TANZANIA.

Itakuwa ruksa Kutoa mimba, NDOA za jinsia moja, nk..MARUFUKU kusali Kwa Jina la Mungu. Atataka aabudiwe Yeye.

Nimekuwa nikisema, hapa TANZANIA ndo kimbilio la Dunia nzima Kwa watakaopinga Utawala wa mnyama.

TANZANIA, Mungu anatengeneza madhabahu na Utawala Si kiroho pekee, Bali pia katika kuongoza KAMPUNI, na lazima MTAWALA awe Muwakilishi wa Mungu kabisa.

Hayo ni Maandalizi ya Ile vita ya ALMAGEDON, Israel itagawanyika, wasiomwamini Yesu wengi watamkubali MASIH JADAL kwamba ndiye walikuwa wakimngoja maana atatawala Dunia nzima.

Na atakuwa myahudi bt kiti Cha enzi ni Romeee na atawajengea hekalu wayahudi.

Wanaomkubali Yesu huyu tunaemwamini, wote Dunia nzima watakambilia TANZANIA hapa kwenye ardhi unayoikanyaga.

Tunapoekekea KITI Cha U-CEO kwenye kampuni yetu kitakuwa hakikaliki, kitakimbiwa. Mungu ana MATUMIZI na Nchi hii kuwaprotect watu wake dhidi ya utawala wa Mpinga KRISTO.

Kuna wanadhani hayo yatatokea mbaal sana, bt wanatakiwa kujua:

Siku moja Kwa Mungu ni sawa na miaka 1000 ya kibinadamu, na siku 1 Kwa hesabu za Mungu ni sawa na miaka Elfu kibinadamu.

Dunia Kwa sasa imeshafika mwisho sababu miaka 1000 Kwa hesabu ya kibinadamu ilokuwa imebaki, imeshapita miaka 400 na zaidi, hivyo muda wowote tegemea haya Kutokea sababu hata Ile Dini moja imeshasainiwa imebaki utekelezaji tu.

Waovu wazidi kutenda UOVU, na WATAKATIFU wazidi kujitakasa. Amen
Samahani, maelezo yako Ni mazuri na yamenyooka. Je tunaweza kuyapata wapi ili tujifunze zaidi? MFANO hili la kiti Cha uceo kutokukalika na wanaomwamini YESU wote watakilimbilia Tanzania?
 
Sisi sio vibwengo... Ila ni tafsiri tuu..

Ila Giza lipo na huko gizani kuna watu wema pia.... Mungu ameumba nguvu mbalimbali.. Ametengeneza vitu vingi vya kustaajabisha...

Hivi unafikiri huko Gizani Mungu hakujui... Au Hayupo?
Universe ilivyokubwa 90% ni dark matter... Unajua kwanini?

Gizani kuna watu wema kuangalia tu usalama wa mambo... Na sio kutoa sadaka ya maagano...kama unavyofikiri...
Kuna watu inabidi wakae gizani ili kurekebisha mambo maovu... na hawa ni tofauti na wale unaofikiri wanatoa kafara na maagano ya damu nk...

Una habari ma CEO wanazindikwa na kupewa vitu flani vya kiulinzi haswa wakipewa ofisi....? Anyway nisije nikaongea mengine.. Naishia hapa
Mkuu ni vipi naweza kufika huko gizani??
 
Mkuu ni vipi naweza kufika huko gizani??
Huko mkuu hakufikiki.....

Watu wa huko ni wazee na wengine wastaafu... (vijana wachache) kuna mmoja alikuwa kwenye mission za UN for 30 years.. (just imagine)..
Hawa watu wanajua siri za kampuni mbalimbali huko nje...

Wachache wako kazini mfano humu katajwa mmoja tuu... Mr Unknown...

Kama unakumbuka alijifanya anaumwa akaondoka kwenda nje kwa matibabu.. (kabla ya dark days) Kumbe yupo kazini kwa namna nyingine...

Hao watu wa gizani hata humu ndani wapo... ila kuna vigezo vizito sana kuingia huko... hao watu wana hela sio kawaida... pia wana IQ kubwa sana
 
Mwaka huu tarehe 17 march bwana DAB katika ukurasa wake wa insta alipost picha ya BT bila kuweka neno/caption yoyote akaacha maswali mengi kwa followers wake kwamba ni kwa nin alipost ile picha tarehe ile ya kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu STONE ajiunge na maisha mapya ulimwengu wa kiroho.ukiconnect dot kama kuna vitu vinakuja vinakataa vinakuja tena vinakataa aaahh acha nikanywe chai mie haya mambo yana wenyewe.ila hii series tamu
BT ndy nani mkuu?? Hebu nifafanulieni hiyo code
 
Mkuu ni vipi naweza kufika huko gizani??
Kiongozi wa kampuni yoyote Duniani ni washirika wa giza, vinginevyo kiti kile kukikalia ni Ngum,
Mwaka mmoja nasafili Bwana mmoja TOKA jumba Kati pale south Africa ,akaagiza mwamba aje aweke Mambo sawa Ili apae kisiasa, babu flani hivi ,toka mtaa flani wa nchi husika, ila by the way Kuna sehem niliwahi muona mtaa husika ,na history yake nilikua nayo kwamba tangu kuzaliwa hakuwai kata kucha na ni kweli ukimuona ni defu Kama matawi ya mti ,na kimkoba chake akivyaacho ndani ya shati, ikisemekana ndo air force one yake isiokua na mipaka ya kutua popote
Basi alikua na mjumbe mmoja kuelekea huko, Sasa ndege tumepanda nilikaa siti ya nyuma yao Kimia, Mala tukafika KWENYE wingu zito, ndege ikaganda, nakulazim watu wote shuka KWA parachuti, then ikapsua wingu na kutua chini Ili tupande,tukapanda safari ikaendelea,
Tukiendelea na safari ikawa sim zao zimekata moto, tulikua tunakaribia kufika, ikalazimika niomba sim Ili mpa taarifa, mwenyeji wao , nikawapa , wamemaliza ongea nikacheck ile no pitia mpesa ,Nilishangaa kuona jina lile

Basi tukafika airport Bwana ikaja bonge la gari kuwapokea na sikujua wanaelekea wapi, nami nikaendelea na yangu

Ikapita Kama siku tano nashangaa sim inaita, kupokea naulizwa mlifika salama, nikamjibu hii no wageni wako waliazima watafute KWENYE no zingine, tukaachana

Bahada ya week natumiwa picha toka chanzo KINGINE ikionyesha yule mzee na yule Bwana wapo viunga vya jumba kuu lililo katikati ya nchi husika, mzee kaulamba, ikifuatiwa na ujumbe
Mzee kufika lango kuu la jumba lile fimbo yake ambayo hutembea nayo ya kumsupport Kama mzee iliteleza na kuanguka na kukatika vipande vitatu, Nilishangaa Sana , maana ile fimbo mwonekano wake ni Kama imetengenezwa na miti migum ya porin na yazamani,
So Giza zipo KWENYE haya Mambo anzia chini mpala kileleni
Na kweli Bwana yule Bwana mpala anaondoka jumba lile kama mwakiloshi wa watu wake hakupata kile alikitamani, sikujua shida ilikua vunjika fimbo ile ya mzee au la
 
Back
Top Bottom