Dark days 17/03/20...

hahahaha naona zile zilikuwa salamu tu...... nafikiri wale watoto wameelewa kitu, bila shaka watakuwa watulivu sasa...... code x 02 walishapewa...nyepesi tu zilikuwa...

hahahaha kulekule...
 
unavyoamini sivyo ilivyo......Vibwengo usalama wao haupo kwenye mamlaka yao, ipo mamlaka yenye nguvu zaidi ya mamlaka yao, Mamlaka hiyo ndio inajua uelekeo ni wapi na nini kifanyike kuwalinda vibwengo.....hii ni kila Taifa unaloliona chini ya jua linaishi hivi...

Usalama wa vibwengo uko mbali gizani, walinzi wa usalama wa vibwengo wako mbali gizani....

A05 - hakuaminiwa na si mmoja wao, balance and check to him results negative..
Kosa, kuamini he was the top, akisemacho ni sheria all over, kumbe yeye ni wa vibwengo...na ana mipaka, and he is monitored, kosa lingine tried ceazing the young boy bila makosa aisee, wale waliomshauri ndio waliokosea eti just to control and be ontop of everything.....thats where the button pressed......its history....
Walio wengi hawajui hili, wao Wanaamini Box la Kura ndio linampa mtu KITI.
 
A05 hakuwa mmoja wao thats why hajawahi kuwa mpuuzi katika mambo ya kijinga jinga kama yule mwingine,kama kuna jicho kubwa zaidi katika kila yanayondelea basi jicho hilo limefunikwa na filamu iliyorekodiwa matukio,likiamini linaona picha halisi.
alikataa madawa wazi wazi jicho likamchukia serious!!!!
alikataa uonevu na matabaka jicho likamchukia serious!!!!
alikataa uzembe kazini jicho likamchukia serious!!!
alikataa wizi mali za uma jicho likamchukia serious!!!!
alikataa utumwa mamboleo jicho likamkataa!!!!!

finally ikaonekana hapana wacha aondoke kabisa!!hili jicho liko kwa maslahi ya nani,maana hata vibwengo wananashangaa sasa haaaaaa???maana wao wanajipambanua mlengo wao ni ustawi wa mama kampuni.
young boy ana rangi yake ya asili,ndio maana alikimbia uhamishoni maana alijua kilichomponza ni kikubwa sana hakistahili msamaha,usaliti kwa mgongo wa harakati.
Wrong, totally wrong!!
 
MKUU
Nikuulize

Hivi CEO wa kampuni huchaguliwa huko gizani kabla ya kuletwa KWETU vibwengo tumchague KWA maigizo ya Demkrasia!!?
Au ni gem of chance tu!!?
Mkuu, kupiga Kura ni kuidhinisha tu. Mwaka 2012 Pascal Mayalla aliandika uzi hapa JF kuwa Next president could be JPM. Tena aliongea vitu vingi sana vya ndani ndani, ilikuwa coincidence?? I don't know
 
Giza.Nielewavyo mimi ni utawala au ufalme wa siri unaoishi kwa kificho. Kiroho utawala huu mtawala wake ni wa bendera nyeusi. Kila mamlaka huwa na bendera kuonyesha uwepo wake, kielelezo cha umiliki nguvu na utawala.

Sheria ya huu utawala ni kukusanya habari na kuzichambua kwa kificho pasipo kujulikana kwa wengine, hauonekani kwa macho ya kawaida lakini kiuhalisia upo una-exist.
Hapa sijaongelea ni wa nguvu za giza au nuru.

Bendera nyeusi inasimama kama Intelijensia.
Nakupata vyema
 
Kuna mambo naona binafsi yanatuchanganya uelewa. Embu tuone kwa muktadha huu kuhusu giza na nuru.

Kwa mujibu wa biblia hapo awali palikua giza na Mungu alikuwepo gizani kwa kusoma mwanzo 1-2. "Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi. Nayo nchi ilikua ukiwa tena tupu na giza lilikua kwenye vilindi vya maji, Roho wa Bwana akatulia juu ya maji".
Tukumbuke palikua giza nuru na roho wa Bwana alitulia juu ya maji ambapo ni giza. Sasa tujiulize kama giza ni kwa ajili ya shetani je Roho wa Bwana ndiye shetani? Ukiendelea aya inayofuata ndipo nuru ikaumbwa. There was dark before light.
Hakuna nuru bila giza.

Ni kwa uelewa wangu tu.
Shetani ni mpinzani sio adui, yupo kwa mamlaka ya Mungu. No human being can kill satan, instead you can win him through Holy words.
 
Mifumo yote ya kiulinzi wa Watawala duniani, Shetani alicopy kutoka kwenye Biblia,

Sababu Yeye ni baba wa Uongo, na Kila hila na baya chini ya jua.

Mamlaka hiyo Iko chini ya Masnryyyyyy.

Kiongozi yeyote Ili kupitishwa lazima wathibitishe,

utaona hata Pesa ilivyo,ALAMA zake na Benki ya dun... na mifumo yote Iko chini ya mnyama anayetenda KAZI Kwa niaba ya shetani.

Ilitokea Rome, yaani Dola ya kipagani ikajibadili na kuwa Dini. Utaona hiyo bendera NYEUSI IPO Kila penye mamlaka kumuwakilisha Pop...

Utaona hata makao makuu ya vyombo vya Usala....nyuma Kuna dini ya Romeee

Utaona Kuna mbadilishano kati ya mru..m...i na Isla..m, bt kiutawala, Rommme ndo anatawala Dunia chini Kwa chini.

Tunakoelekea DINI zote zitaungana itakuwa Moja, Wote watalazimishwa wamwabudu mnyama maana atakuja Kwa KIVULI Cha kuleta Amani na DEMOKRASIA duniani na wote watatii kasoro MTAWALA wa TANZANIA.

Itakuwa ruksa Kutoa mimba, NDOA za jinsia moja, nk..MARUFUKU kusali Kwa Jina la Mungu. Atataka aabudiwe Yeye.

Nimekuwa nikisema, hapa TANZANIA ndo kimbilio la Dunia nzima Kwa watakaopinga Utawala wa mnyama.

TANZANIA, Mungu anatengeneza madhabahu na Utawala Si kiroho pekee, Bali pia katika kuongoza KAMPUNI, na lazima MTAWALA awe Muwakilishi wa Mungu kabisa.

Hayo ni Maandalizi ya Ile vita ya ALMAGEDON, Israel itagawanyika, wasiomwamini Yesu wengi watamkubali MASIH JADAL kwamba ndiye walikuwa wakimngoja maana atatawala Dunia nzima.

Na atakuwa myahudi bt kiti Cha enzi ni Romeee na atawajengea hekalu wayahudi.

Wanaomkubali Yesu huyu tunaemwamini, wote Dunia nzima watakambilia TANZANIA hapa kwenye ardhi unayoikanyaga.

Tunapoekekea KITI Cha U-CEO kwenye kampuni yetu kitakuwa hakikaliki, kitakimbiwa. Mungu ana MATUMIZI na Nchi hii kuwaprotect watu wake dhidi ya utawala wa Mpinga KRISTO.

Kuna wanadhani hayo yatatokea mbaal sana, bt wanatakiwa kujua:

Siku moja Kwa Mungu ni sawa na miaka 1000 ya kibinadamu, na siku 1 Kwa hesabu za Mungu ni sawa na miaka Elfu kibinadamu.

Dunia Kwa sasa imeshafika mwisho sababu miaka 1000 Kwa hesabu ya kibinadamu ilokuwa imebaki, imeshapita miaka 400 na zaidi, hivyo muda wowote tegemea haya Kutokea sababu hata Ile Dini moja imeshasainiwa imebaki utekelezaji tu.

Waovu wazidi kutenda UOVU, na WATAKATIFU wazidi kujitakasa. Amen
 
Siku moja Kwa Mungu ni sawa na miaka 1000 ya kibinadamu, na siku 1 Kwa hesabu za Mungu ni sawa na miaka Elfu.

Duh! Naona hekaya imechukua sura mpya🤔
 
Wasabato bana-mna akili za kindezi sana.
 
Hapo ndipo akili zako zilipoishia. Dini haikupeleki kokote, Mbinguni hakuna dini ya wasabato, Rumi, nk.

Ukristo Si DINI ni IMANI. Hata waislam ni wakristo sababu Wanaoamini juu ya ISSA.

Hilo nalo ni darasa lingine.

Badilika.
Hakuna kitu kinaitwa ukristo.
 
Kwanza hapo inasema "kuuliza si ujinga ".
Najua machache.
MUNGU,Mungu, BWANA huyu ni mmoja, muumba mbingu na nchi ambaye huwa tunamuabudu katika roho na Kweli.

mungu kwa maana nyingine ni shetani, ukisikia mungu wa dunia maana yake ni shetani. Utofauti wake upo katika maandishi, kwenye herufi ndogo na kubwa (M na m).

Vibwengo kwa mujibu wa Samurai ni Wananchi, raia.
Mungu na mungu ni tofauti. Muumba mbingu na vilivyomo ni Mungu sio mungu (sijakose). Hata mimi na wewe tunaweza kuwa na sifa ya mungu.
 
Hata Bibia inasema sisi ni miungu wadogo hapa duniani. Ni kweli tunapoamini na kuabudu asiye Mungu wa herufi kubwa "M" tunakuwa tunamuamini mungu katika umoja na miungu katika wingi.

Upo sahihi mkuu.
 
Hapo ndipo akili zako zilipoishia. Dini haikupeleki kokote, Mbinguni hakuna dini ya wasabato, Rumi, nk.

Ukristo Si DINI ni IMANI. Hata waislam ni wakristo sababu Wanaoamini juu ya ISSA.

Hilo nalo ni darasa lingine.

Badilika.
Aiseh
Waislamu nao ni wakristo wanamwamini issah Bin Mariam!!!!
Sijawahi sikia HII kitu Ndio nasikia kwako NDUGU!!
 
Back
Top Bottom