jouneGwalu
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 2,687
- 1,782
hapa ndo ninapokupendaga mdogo wangu, haya wewe utafanya event planning and mngt sawa?? mie nita set logistics tu lol!
hahahhah Smile acha utan kwa dada bana kuwa siriaz basi?? halafu naomba radhi kwa kumsahau figganigga mdogo wangu wa ukweli na Nicas Mtei(ila huyu sijui kaama wing) ngoja tuone.
Wabheja Kulumba
Hivi kwanini uliamua kujiita thanda?, sisi kwetu upendo ni jina la kike sasa kwanini ujiite love wakati wewe meeen?. mimi sikuelewi kabisa labda Smile anidhaidie haya mahethabu ya id. mia
kumbe ewe nyi kwawi kuchambia rungu ro?Nkee Ikwawi lya Donyomurua Ma, amba mbu shiishi kimashame kinywa na Kiikwawi..
Hivi kwanini uliamua kujiita thanda?, sisi kwetu upendo ni jina la kike sasa kwanini ujiite love wakati wewe meeen?. mimi sikuelewi kabisa labda Smile anidhaidie haya mahethabu ya id. mia
mwali mwali!unafikiri wote humu ni vizee?? wapo mabebs wa ukweeeh! uspime.
ama wewe unawakadiria padogo??
mwali mwali!
unatafuta balaa wewee!oh!
nauliza hiviiii! TUTARUDI NA ROHO ZETU?
cc cacico Jiwelinaloishi mwaJ Asprin Mtambuzi lara 1 Nicas Mtei charminglady amu Madame B Ruttashobolwa
#just asking
Hivi lara 1 leo hakuna intavyuuuuuuu!???
Hahaaaa.... May be interviewer alikosekana!!!!!!
woo kukenda na wowi lyo? osho na moly au kukunde lara nsi?