mbabe wangu atanichagulia sijajua ila i prefer skin tait
Paloma tumesema iwe 25th kwani iyo tarehe Asprin, na KakaKiiza watakuwa wote na udhuru. please please!jamaniiii.................msiache varieties za manyamanya na madudedude ya baharini yawe marinated afu yachomwechomwe tusukumizie na masalad ya kufa na kuzika mtu!!!
sio ubwabwa maana kina sie ambao hatujazoea scotch on rocks tukirudisha chenji ni viubwabwa tuuu................khaaa
Im on but only if its on the 19th....
hahaha, lazma uvae kama ndama mutoto ya ng'ombe. Agiza paliipalii moja nachukua pamba ya maana naleta kufashi hiyo.
kiibo neewe ro lawe?
nesindiso mae.
mumkeshiniinga ifura ren te?? ya nyaiyo Smile alya naiyo TANMO na yaa kakafoo Prisoner 46664 nyi ifura lya wende te!
is this an insult or??
Ukiweka viti watu watakuwa kama wamewekwa gundi kwenye viti!!!! Hawasimami kusalimiana wala kucheza! Wanakaa kumkodolea MC tu mwanzo mwisho!!!!!!!!!! Anaongea na huyohuyo aliekaa nae karibu!!!!!! Hapo itakuwa utratraaaaa!!!!!!!
yapshepu ya kuvalia skin taiti unayo?
Aiseee nimepitwa na mambo humu eee???
Yule CHAI CHUNGU alinifanya nisije huku na story yake
Aisee ni tarehe ngapi???watu tukatafute kitu whiteeeeeeeeeeee
Aiseee nimepitwa na mambo humu eee???
Yule CHAI CHUNGU alinifanya nisije huku na story yake
Aisee ni tarehe ngapi???watu tukatafute kitu whiteeeeeeeeeeee