DAR WING -wa WHITE PARTY

DAR WING -wa WHITE PARTY

Mamito, so sory,
Sidhani kama hiyo tar 25 nitakuwepo.
Weka mtu mwingine Mpenzi.
Madame B unakumbuka wewe ndo uliye propose hili swala??
sasa basi naomba ulisimamie liishe kwanza lol!
sasa kama hutokuwepo unategemea nn wewe??
hatukuwa na hili wazo kabla ya wewe kusema atii.
 
Last edited by a moderator:
Ango? Laawe..
En Nkee kufii na Kibaun.. Hata ilalu nkunu nkai :cheer2:

hahahha! shafura den elyi kwashiwia endo. en kwakwa nyoo ango kweny lkn nkaa dar.
kwani kurunda efo??
 
NN uliona hii
A FOOLISH FRIEND WITH A FOOLISH THINKING A SPOILED RAT RAISED WITH SELFISH PARENTS, kama vipi jiepushe naye from today!!
- YES I SAID A FOOLISH CREATURE SPOILED BY FOOLISH PARENTS, WALIMLEA BILA KUFIKIRIA KWAMBA ANAHITAJI KUJA KUISHI NA BINADAM WENGINE WASIO NDUGU ZAKE, PEOPLE MNAPOLEA WATOTO WENU FIKIRIENI KWAMBA ONE DAY HAMTAKUWA NAO WATAHITAJI KUISHI NA WATU KAMA KINA SISI LE BIG SHOW AMBAO WE DON'T CARE FOR ANYTHING JUST WANT TO BE FREE AND ENJOY OUR LIFE!! SO JUST THINK HARD ABOUT THAT!!

Hahahahahaa yeah niliiona hiyo. Ni bonge moja la inspirational vitamin.

LE BIG SHOW ON FOOLISH FRIENDS & FOOLISH PARENTS!!
 
Madame B unakumbuka wewe ndo uliye propose hili swala??
sasa basi naomba ulisimamie liishe kwanza lol!
sasa kama hutokuwepo unategemea nn wewe??
hatukuwa na hili wazo kabla ya wewe kusema atii.

Ooooophhhhhhhhsssssssssssssss....................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mi nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
mi nataka kesho ukamuone mama
 
Back
Top Bottom