KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,902
- 9,323
Ngoja kwanza tupate venue halafu tujue pamekaaje halafu ndo tupange mda au?Orait mama, sasa Naona Mnajadiliana vingi lakini sijaona sehemu Mlikojadili kuwa Party Itaanza Muda gani.

tarehe gani itakuwa ndo harusi?? sisi tumesogeza kufanyika tarehe 25/1Ningependa kunywa nanyi kwenye hiyo "pasaka" lakini bahati mbaya ntakuwa "MAN IN BLACK" hiyo siku nikishuhudia mdogo wangu akiapa kumiliki kijumla kikojoleo cha binti wa watu.
kula shiwiye ewe mbwa kalalyi. hahaha!
kumbe mmoneru kabisa ewe.
eheheee kisha nkwe lukwaanya
ayaaaa kyaaa dada!
kiibo neewe ro lawe?Laawe!
Ukubwa jalala Tuanze event planning and managent!!!!!!
Venue hapo mtaisema
Decorations theme iwe: White cocktail!!!!!
Siitting arrangement: Its a cocktail party hamna viti kama harusini ni kusimama na kusocialize mwanzo mwsho!
Dj: Ninae ila sijui kama hela itatosha!!!!!!
Decor: Wapambaji jf mjitolee mjitangazie business
Menu: Snacks na bites
Drinks: Kila mtu aje na zake manake 20 ni kuonja bia tu! Au nichukue tenda ya kuuza pale nje nini?
Entertainment : Bado nafanyia kazi kuhakikisha shughuli haiboi!
Ratiba: Iko jikoni!
Mgeni rasmi: gfsonwin fanya makarateka hapo!!!!!!
Bdo najipanga!!!!!!!! MAMBO MAKUBWA NDO TRADE MARK YANGU!!!!!!!!!! (Japo 20 ya kuchanga bado sijapata)
kiibo neewe ro lawe?
kiibo neewe ro lawe?
Umesahau usafiri!!!.....:shut-mouth:au kamati imesahaulika!?Ukubwa jalala Tuanze event planning and managent!!!!!!