DAR WING -wa WHITE PARTY

DAR WING -wa WHITE PARTY

Duh! Wewe Gold Member tayari na Organizer so naomba ujilipie mwenyewe! Afu fedha unayo. Kama vipi hakuna jinsi kabisa poa nitakulipia. Kaizer kagoma kukulipia?

Sasa New Year si nilikuwa Baby Boy ndo kwanza nazaliwa? katika zawadi ninazoendelea kuletewa yako bado sijaiona.

Kwa simu sipatikani kwa namba nilibadilisha. Imrbaki line moja tu ya kuleeeeeeeeeee zinakotengenezwa! Kama vipi ni-PM!

Afu kama AshaDii; Smile na Madame B hawaji itabidi mjipange upya maana hao ndo watu wa shughuli!

Ummeona eeeeeeeeeee Superman, Sasa Vp mimi nami nitolee mchango maana najua wa5 bado hatujafika, mimi wa 3.
 
Last edited by a moderator:
Nipo Dar Wing pia Mwanza Wing. Niwekeni humo. I will be there

sitaki kuamini haya makitu shemeji wangu mimi!
UMEHAMIA KABISA!?AHAHAHAHAHHAHAHHAHAHAHHAHAHAHHAHAHAHAHHAHAHHHAA chezeya rock city weewe!
utarara na njaa!ara!
 
nashukuru kwakukumbusha ila sina tatizo na hili gfsonwin ila je unaonaje ikafanyika friday ya tarehe 25??maana ukweli na jua nahizi siku kuu watu watakuwa hawajajipanga japo sikazi yangu kuwasemea naomba nijisemee kuwa mimi binafsi nitakuwa sijajipanga kwa tarehe hiyo!!ila na muomba madame b, asprin na gfsonwin zion daughter watu 8 amu na dar wingi ambao mtahamasika!!ila wewe smile unataka kutuchekesha kwani tanga ulikuwa unakunywa togwa??na zile turske??btw wote wanaopenda watoe pendekezo!

noted.
 
nipo na nitakuwepo....why not bana....


This is not fair Preta, where were you? Start at least a thread explicating that you will be away for....let say ten month etc etc, kuliko being kimya like you are not there (died and gone) hujui kuwa your contributions are vital healthier to other JF members?.. Will we see you on white that JF D-Day, M-Month and Y-Year?..............pliz confirm If or If not!....I beg!!!

 
Last edited by a moderator:
Duh! Wewe Gold Member tayari na Organizer so naomba ujilipie mwenyewe! Afu fedha unayo. Kama vipi hakuna jinsi kabisa poa nitakulipia. Kaizer kagoma kukulipia?

Sasa New Year si nilikuwa Baby Boy ndo kwanza nazaliwa? katika zawadi ninazoendelea kuletewa yako bado sijaiona.

Kwa simu sipatikani kwa namba nilibadilisha. Imrbaki line moja tu ya kuleeeeeeeeeee zinakotengenezwa! Kama vipi ni-PM!

Afu kama AshaDii; Smile na Madame B hawaji itabidi mjipange upya maana hao ndo watu wa shughuli!

sasa ulitegemea nikupateje nikupe zawadi yako ilihali umezima simu lol!hawa wote ulowataja watakuja siku hiyo.
kuhusu kunilipia umetangaza na mm sikutaka kukukatisha tamaa lol ila sasa kwakuwa mm naweza kujilipia basi iyo ambayo ingakuwa yangau nitaitoa kumlipia status memba ship mtu ambaye atakuwa amependeza sana iyo siku. bila kujali jinsia yake.
 
Poa! Ila promise baada ya Party status yako ya Membership itabadilika kwa kuchangia JF. Kama vipi niambiwe michango inatolewa vipi!

Hio ni fair trade! I promise! Nikichangia Party Mungu hanibariki but nikichangia JF its a charitable act!
 
mwaJ njoo uamulie. Afu ugomvi wenyewe siujui.

Superman, nilivyo mwoga nitaweza kweli kuamua ugomvi wako na gfsonwin? Mnh! Si utafanya nilazimishe kutumia vile vibusara uchwara vya kuokoteza ili niwe mediator wenu? Kwanza inabidi nijue chanzo cha ugomvi ni nini? Nani amesababisha ugomvi n.k ndio ntakuja ku-mediate.
 
Last edited by a moderator:
khaaa! nani akatae ofa kama hii lol!
haya mm namba moja utanilipia sawa?? kisa adhabu yako uniambie kwann salam zangu za new yr hukujibu?? tatu niambie kwann sim yako haipatikan wakati kuna ishu muhimu nilitaka kuongea na wewe??

Na ulivomkosa Superman kwa nini hukunitafuta mwanafunzi wako?

Ehee haya mmefikia wapi na mmekonkludi nini?
 
Last edited by a moderator:
Nathibitisha ushiriki wangu kwenye hii party....na naomba ijulikane kuwa mie ni memba wa Dar Wing.....tusisahau kuwaalika mashemeji zangu wa Arusha Wing....
 
Tatizo hicho kiwalo white, tutakuja na linen zinaonyesha sio mistari tu bali na rangu ya teitei. Pasco et al watakwazikajeee!
But seriously, parties with formal dress code zinakuwa kama kitchen party. Paw ntamvalishaje sasa?

tuliomba iwe hivi ili kuwepo utofauti tu na ndo mana ni rangi moja ila si vbya ukaweka rangi ambazo wewe utapenda siku hiyo japo kaweupe kawepo.

paw unamtoa na na kimodo cha white na jeans mchezo umeisha lol!
 
halafu ole wako usije yaani tutagawana mbengee.

Lazima shishe asee...na shishaa na ndu umwi...lol.. gfsonwin...sijakutakia kheri ya mwaka mpya bana...hakika nakutakia kila lenye mafanikio mwaka huu....!!!
 
Last edited by a moderator:
@Madame B is a Hotelier by proffessional, should have Double G&T on rock!! or Two Dbl scotchy on rock!!

hahahhaha! umenivunja mbavu lol!
haya wewe utuletee gin &tonic manake mfuko wetu hautaruhusu lol!(joke)
 
nipo na nitakuwepo....why not bana....
Preta my dearest! Afadhali kama utakuwepo! Usisahau kuja na Boflo maana tuakuwa "tume-revenge" ile party jumba la Mbezi Beach! Lol!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom