Msukuma Original
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 928
- 3,330
Unafiki wa ccm. Toka lini wakawa wanawake wa shoka?Wanawake wa shoka.
MDEE, BULAYA, MATIKO....
Unafiki wa ccm. Toka lini wakawa wanawake wa shoka?Wanawake wa shoka.
MDEE, BULAYA, MATIKO....
Tena unyweee kituo cha polisYaani kuliko kushabikia Siasa bongo bora uwe hata mnywa gongo lijulikane moja.
Maalumu lazma akubar shavu hiloUkurasa wa covid19 umeshafungwa tumehamia zenji kwa Seif tuone naye kama atachukua maamuzi magumu kuhusu serikali ya umoja.
Hata hivyo namba 2 na 3 zinakinzana kimantiki.Iyo namba( 2) ndo sijaielewa....yani yeye ndo aiandae list iende tume badala ya katibu mkuu..majina ambayo hayajathibitishwa na kamati kuu?!!...mamlaka ayo kapewa na nani?!!
ALERT
CCM wamemuandalia Halima Mdee press conference kesho na ajenda ni kama ifuatavyo:-
*MWISHO atasema kuwa wamehukumiwa bila kusikilizwa
- Kuwa alipewa baraka zote na Mbowe kwenda kuapishwa na wenzake covid 19
- Aliruhusiwa na Mbowe aandae list na iende NEC
- Atasema Mbowe alikuwa analazimisha mademu zake wawekwe na yeye akakataa ndiyo maana kafukuzwa
- Ataongea kuwa CHADEMA walikubali na yeye kwa kuwa ni mwenyekiti wa BAWACHA akakataa kuweka watu wasio jenga chama
- Atasema CHADEMA kuna mfumo dume ambao haupendi kuona wanachama wanakua kisiasa
- Atasema kuwa barua ilipelekwa TUME/NEC na Katibu Mkuu
- Atatangaza kuwa yeye bado ni Mwenyekiti wa BAWACHA na ile secretariat yao ya BAWACHA haijafukuzwa
HAYO NDIO YANAYOPANGWA MUDA HUU HUKO CCM NA MDEE NA BULAYA
=====
Wabunge 19 wa Viti Maalum waliovuliwa uwanachama na Chadema jana kwa tuhuma za usaliti, Kesho Jumapili Nov 29, 2020 wamepanga kuzungumza na waanahabari jijini Dar es Salaam.
Wabunge hao 19 ambao kwasasa kwa mujibu wa katiba ya Tanzania Ibara 67(b) wamekosa sifa za kuwa wabungeCROWN
Crown of Patriotism bearers has turned to TRAITORS 😭😭😶😶😃😃ALERT
CCM wamemuandalia Halima Mdee press conference kesho na ajenda ni kama ifuatavyo:-
*MWISHO atasema kuwa wamehukumiwa bila kusikilizwa
- Kuwa alipewa baraka zote na Mbowe kwenda kuapishwa na wenzake covid 19
- Aliruhusiwa na Mbowe aandae list na iende NEC
- Atasema Mbowe alikuwa analazimisha mademu zake wawekwe na yeye akakataa ndiyo maana kafukuzwa
- Ataongea kuwa CHADEMA walikubali na yeye kwa kuwa ni mwenyekiti wa BAWACHA akakataa kuweka watu wasio jenga chama
- Atasema CHADEMA kuna mfumo dume ambao haupendi kuona wanachama wanakua kisiasa
- Atasema kuwa barua ilipelekwa TUME/NEC na Katibu Mkuu
- Atatangaza kuwa yeye bado ni Mwenyekiti wa BAWACHA na ile secretariat yao ya BAWACHA haijafukuzwa
HAYO NDIO YANAYOPANGWA MUDA HUU HUKO CCM NA MDEE NA BULAYA
=====
Wabunge 19 wa Viti Maalum waliovuliwa uwanachama na Chadema jana kwa tuhuma za usaliti, Kesho Jumapili Nov 29, 2020 wamepanga kuzungumza na waanahabari jijini Dar es Salaam.
Wabunge hao 19 ambao kwasasa kwa mujibu wa katiba ya Tanzania Ibara 67(b) wamekosa sifa za kuwa wabunge
Ndio nimesema sasa, hutaki acha!Unafiki wa ccm. Toka lini wakawa wanawake wa shoka?
Mmoja wao aliwahi kusema tumekabidhi nchi kwa washamba,angalia wanamwita meko kwa kutumia mapesa na maguvu,akivaa magwanda ya jeshi mwangalie usoni.Hivi mbona kila mpango unaoandaliwa na CCM huwa unagonga ukuta na mwisho wanalazimisha ushindi kwa mabavu?
Ni upungufu wa watu wenye akili au ina viongozi wasio akili na wanawalazimisha wenye akili kufuata yao?
Ahaa, ni wanawake wa shoka leo si magunzi tena?Meko ni janga la karne kwa kupenda weupe.Ndio nimesema sasa, hutaki acha!
Yaani uwe mpango wa Mungu kwa hayo yanayoendelea kwenye saccos? Basi watakuwa Miungu siyo Mungu!
View attachment 1636539