Dar: Wabunge 19 wa Viti Maalum waliovuliwa uwanachama na CHADEMA, Kuongea na Wanahabari

Status
Not open for further replies.

Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
4,632
2,000
MODS NAOMBA MSIUUNGANISHE HUU UZI. Huu uzi ni wa kipekee kabisa wenye mapenzi mema kwa Mdee na wenzake 18 na CHADEMA. Binafsi mimi naipenda sana chadema japo sio mwanachama. Halima Mdee na wenzake waliamua kubeti na bahati mbaya mkeka umechanika. Hivyo nawaomba wajishushe, waombe radhi na chedema pamoja na wapenzi wake tutawasamehe. Hela tamu jamani, hata mimi ningekuwa kwenye nafasi yake ningesaliti tu. Bahati mbaya amesaliti na ameshindwa kuyapata matunda ya usaliti, hivyo ni bora atubu na atasamehewa. Halima umelala jela kwa sababu ya chadema, umepigwa, umeumizwa na kudhalilishwa kwa ajili ya chadema, hivyo kosa lako moja haliwezi kuyafuta mema yote uliyokifanyia chama. Hakuna aliye mkamilifu chini ya jua. Hata Yuda alimsaliti Yesu kwa vipande 30 vya fedha sembuse wewe! Halima tumekuelewa shida sio kwamba huna mapenzi na chadema, shida ni tamaa ya fedha hivyo tafadhali dada angu omba msamaha na hakika utasamehewa. Ni hayo tu dada angu.
Hakuna msamaha kwa msaliti a.k.a uhaini. Imeisha hiyo
 
Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
12,287
2,000
Pole Halima,

Dont regret much,

In life you try..

if you win,thats good,

You lose, You learn...

Good luck in your new adventure.
 
Kadhi Mkuu 1

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
10,032
2,000
Mbowe anawafukuza ile sitaki nataka, kawaambia waombe msamaha watasamehewa. Fukuza gani halafu unamwambia omba radhi usamehewe?
 
Msukuma Original

JF-Expert Member
Oct 2, 2018
765
1,000
Yaani na ule mzigo auachie..aaahh acha masihara..!!
Mzigo umeshaingia luba kaka. Bora aombe msamaha na atasamehewa. Halima bado kijana sana hivyo bado ana safari ndefu sana ya kisiasa. Akishupaza shingo anaenda kupotea mazima kwenye siasa.
 
hp4510

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
3,672
2,000
MODS NAOMBA MSIUUNGANISHE HUU UZI. Huu uzi ni wa kipekee kabisa wenye mapenzi mema kwa Mdee na wenzake 18 na CHADEMA. Binafsi mimi naipenda sana chadema japo sio mwanachama. Halima Mdee na wenzake waliamua kubeti na bahati mbaya mkeka umechanika. Hivyo nawaomba wajishushe, waombe radhi na chedema pamoja na wapenzi wake tutawasamehe. Hela tamu jamani, hata mimi ningekuwa kwenye nafasi yake ningesaliti tu. Bahati mbaya amesaliti na ameshindwa kuyapata matunda ya usaliti, hivyo ni bora atubu na atasamehewa. Halima umelala jela kwa sababu ya chadema, umepigwa, umeumizwa na kudhalilishwa kwa ajili ya chadema, hivyo kosa lako moja haliwezi kuyafuta mema yote uliyokifanyia chama. Hakuna aliye mkamilifu chini ya jua. Hata Yuda alimsaliti Yesu kwa vipande 30 vya fedha sembuse wewe! Halima tumekuelewa shida sio kwamba huna mapenzi na chadema, shida ni tamaa ya fedha hivyo tafadhali dada angu omba msamaha na hakika utasamehewa. Ni hayo tu dada angu.
Waanze kuomba radhi Mnyika kwa kupeleka majina 30 tume
 
MIGNON

JF-Expert Member
Nov 23, 2009
3,529
2,000
Bado kilichotokea ni kizungumkuti na picha haijaeleweka bado.
Tunajua palikuwa na mvutano kuhusu kupeleka au kutopeleka majina na wadadisi wa mambo na wapiga ramli wakatueleza ya kuwa kuna mawasiliano kati ya Mashinji na Bulaya.
Bulaya akajibu kuwa msimamo wake kwa Chama hauyumbi.
Kwa upande mwingine Nusrat na Twaha wamesota rumande miezi minne ghafla Nusrat anatolewa usiku na kuapishwa kesho yake.
Huku tunashuhudia kuapishwa nje ya utaratibu tuliozoea na kwa siasa za sasa tlitegemea hawa wasindikizwe kwa kila aina ya chereko kama jibu kwa Chadema lakini haikuwa hivyo.Je,
  1. Ni kweli Ndugai alipokea majina toka NEC?
  2. Je ni kweli waliomtoa Nusrat usiku na kumwapisha kesho yake walikuwa hawajui kuwa linaweza kuhojiwa?
  3. Je Nusrat kwa adha na tabu aliyopata alikuwa laini haraka kiasi hiki kwa sababu gani?
Binafsi nahisi kuna aina ya vitisho au ulaghai mkubwa uliofanyika.
Naungana nawe of all people Halima jivue ubunge bandia,omba msamaha Chadema.Nafsi yako itapata amani kubwa.
Pia nahisi kuna mahali watu wanatii amri bila kutafakari na mwisho wa yote wansababisha aibu.
 
Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,612
2,000
Hivi unaweza kumshauri mtu mzima jambo simple kama hilo ? Kwa hiyo unafikiri mpaka leo hii Halima Mdee hajui anataka nini na maisha yake ?
 
Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
12,287
2,000
Mzigo umeshaingia luba kaka. Bora aombe msamaha na atasamehewa. Halima bado kijana sana hivyo bado ana safari ndefu sana ya kisiasa. Akishupaza shingo anaenda kupotea mazima kwenye siasa.

Kila mtu ana malengo yake,huwezi jua kwamba baada ya 15 years ndani ya siasa/Chadema labda kwake safari yake kisiasa anaweza kufikiria imefikia kikomo..so she has nothing to lose,labda km angekuwa na 1-5 years kny game la siasa ungesema 'kijana'
 
HRT

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
452
500
MODS NAOMBA MSIUUNGANISHE HUU UZI. Huu uzi ni wa kipekee kabisa wenye mapenzi mema kwa Mdee na wenzake 18 na CHADEMA. Binafsi mimi naipenda sana chadema japo sio mwanachama. Halima Mdee na wenzake waliamua kubeti na bahati mbaya mkeka umechanika. Hivyo nawaomba wajishushe, waombe radhi na chedema pamoja na wapenzi wake tutawasamehe. Hela tamu jamani, hata mimi ningekuwa kwenye nafasi yake ningesaliti tu. Bahati mbaya amesaliti na ameshindwa kuyapata matunda ya usaliti, hivyo ni bora atubu na atasamehewa. Halima umelala jela kwa sababu ya chadema, umepigwa, umeumizwa na kudhalilishwa kwa ajili ya chadema, hivyo kosa lako moja haliwezi kuyafuta mema yote uliyokifanyia chama. Hakuna aliye mkamilifu chini ya jua. Hata Yuda alimsaliti Yesu kwa vipande 30 vya fedha sembuse wewe! Halima tumekuelewa shida sio kwamba huna mapenzi na chadema, shida ni tamaa ya fedha hivyo tafadhali dada angu omba msamaha na hakika utasamehewa. Ni hayo tu dada angu.
Hata Mimi namshauri kuwa aombe radhi naamini atasamehewa tu. Maana kila binadamu ana mapungufu yake.
 
majebere

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
4,768
2,000
Wazungu wanasema the damage is done pamoja na kwamba mnaona kama hakuna kilicho haribika, CDM inaelekea njia ya CUF, Lissu katimua, Lema katimua, Halima na Bulaya wameona bora na wao wakajitafutie maisha kimpango wao. Wa maana alie baki CDM ni mbowe peke yake. Ruzuku ndio imepotea, magu amebana kila kona kwaiyo wafadhili hela hamna.
 
ponopono

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
515
500
Najuta miaka.10/ niliyopanga foleni kaww kumpa kura mdangaji kama huyo. Kumbe ilikua njaa tu hamna chochote. Nimekata tamaa na wanasiaaa sitataka kusikia wanangu wanaingia kwwnye siasa kama hizi. Ni dhambi tu tunachuma. Mdee umeniabisha sana eneo langu la kazi. Nilikua nakisifu nakuona jeke hodari unayetazama maslah ya wengi kumbe tumbo tu linakusumbua. Umesababisha na wenginw 18 kutenda dhambi kubwa ya usaliti ambayo mtailipa kayika vizazi vuwnu vyote. Nime delete hotuba zako zote.nilizokua nimehifadhi na sitakinhata kuzisikia. Ww ni zaid ya shetani umevaa ngozi ta kondoo kumbe ndani ni nyoka. Ona umaarufu wako utakaposhuka. Najua utapewa nafasi utapata hela.lakn ndio sio kitu tena kwa wananchi. Nikipe ww na covd 19/wenzako pole. Wale uliokuwa unawapinga sasa hivi wanakutumia kuharibu kile ulichojenga. Na cjui kama bado unafikiria una akili tena. Bye mm sio.funs.wako tena umenikosa hata maombi yangu huyapati na naondoa ulinzi wangu wote kwako had pale utakapojutia usaliti uliotenda na kuwafanya wwnzako kutenda dhambi hii ya usaliti.
 
Lusungo

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
21,592

Mwanamke ndiye chanzo kikuu cha usaliti duniani.
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom