Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,413
- 55,987
dah!Ndo akajibu mashtka polisi , Yan Kitendo cha kupelekwa tu polisi nimefurahi sana yani
dah!Ndo akajibu mashtka polisi , Yan Kitendo cha kupelekwa tu polisi nimefurahi sana yani
Nani kafanya black mail ,? yeye ameshajitengenezea dhana ya kwamba he can't move without WCB scandle ,.... Alianza kumparamia Rayvanny Kwa walaka mreeefu , sasa WCB watampa anachotaka but in negative way ..... Yeye atulie afanye mziki sio kufata fata watu nyuma kama ma nzi .....mbona akina Marioo type yake wapo wanafanya vyema...Acheni kum blackmail mna videos zake nyingi, huu ni utoto wa kijinga,haya ameenda police mtatolea huko?
Ndo akajibu mashtka polisi , Yan Kitendo cha kupelekwa tu polisi nimefurahi sana yani
WCB hawamiliki bongo fleva. Mashabiki ndio waamuzi.Nani kafanya black mail ,? yeye ameshajitengenezea dhana ya kwamba he can't move without WCB scandle ,.... Alianza kumparamia Rayvanny Kwa walaka mreeefu , sasa WCB watampa anachotaka but in negative way ..... Yeye atulie afanye mziki sio kufata fata watu nyuma kama ma nzi ...
dah!
wamlipe kwa mujibu wa sheria zipi?Video haziwezi kufutika mkuu,damage is done, i agree with you though walichofanya gang la wasafi sio vizuri,is high time wamlipe Kondeboy kwa damage waliyofanya,
Mmakonde hana akili.. yaan kuwataka mama na mtoto... sa si angeanza na paula kama alikuwa anamtaka... nafikiri konde alipata wivuNani kafanya black mail ,? yeye ameshajitengenezea dhana ya kwamba he can't move without WCB scandle ,.... Alianza kumparamia Rayvanny Kwa walaka mreeefu , sasa WCB watampa anachotaka but in negative way ..... Yeye atulie afanye mziki sio kufata fata watu nyuma kama ma nzi .....mbona akina Marioo type yake wapo wanafanya vyema...
Mmakonde ana roho mbaya sana ni vile wabongo hawamjui tu na mambo ya timu.
Tuangaliege na wanawake wa kuzaa nao.Hii vita anaumia zaidi ni Paula,japo mwenyewe na mama yake hawajui.
Halafu Majani mwenyewe hana time ndio kwanza leo anaitangaza project mpya ya Raptcha.
View attachment 1752833
Sasa Harmo anaenda mahakamani,kama Ray akisema kazipata kwa Paula,halafu Paula wakambana akazionyesha na yeye si anakuwa na kesi ile ile kama ya Rayvanny ya kusambaza picha za uchi wake.
Konde anaishi Kwa Kiki , kashajitengenezea hyo dhana , kila linalotokea yeye analigeuza liwe Kiki , na ili Kiki yake ipate nguvu inabid awahusishe Wasafi either kupitia watu wake akina , mwijaku , Hbaba au yeye mwenyewe , , Rayvanny kumpsot Paula ilikuwa ratiba yake tuu , atengeneze attention basi life liende , ghafula bin vuu mmakonde kafura huko , kaenda mahakamani , mara kwenye media , huyoo katangaza atafanya maandamano mpak Wasafi , daaah ...Mmakonde hana akili.. yaan kuwataka mama na mtoto... sa si angeanza na paula kama alikuwa anamtaka... nafikiri konde alipata wivu
Ok kwa hiyo Menina hana case mpaka sasa?Mbona menina alijirekodi akamtumia mwijaku na mwijaku akasambaza na kesi imebaki kwa mwijaku. So paula akikubali atajiingiza kwenye kesi mbovu mno.
Majani alishasuntwa na paula mitandaoni akimtaka akae mbali nae maana hana uchungu nae kama ilivyo kwa kajala so majani akakubali yaishe kwa kifupi amemzira
Rayvanny ameitwa Kituo Kikuu cha Polisi (Central Police) akishtakiwa na Harmonize kuwa amemdhalilisha mitandaoni.
Nitawapa updates soon
Rayvanny na baba Levo wakitoka kituo cha polisi cha central kufuatia kushitakiwa na Harmonize.
View attachment 1752846
Ok kwa hiyo Menina hana case mpaka sasa?
Naona Mwijaku nae kalivalia njuga hili swala,cha ajabu yeye mwenyewe ana kesi kama hii.Awe makini sana kwa kila anacho kiongea,wakili upande wa mashtaka anaweza kukitumia hikohiko kumminya mahakamani.
👊👊Zingesambaaje kama yeye konde asingetaka zisambae?
Awe wa kwanza kwenda kujibu kwanini zimesambaa
Siku ukipata mtu wa kukufikisha orgasim utanielewaNa hii ndio tafsiri yako ya roho mbaya?
WCB hawamiliki bongo fleva. Mashabiki ndio waamuzi.
Huyo tipwa tipwa aliyetangulizwa mbele na kina Sallam atapata tabu sana mwaka huu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣