Dar: Rayvanny afikishwa Kituo cha Polisi

Zee zima huna hata akili ya ku reason
sasa nimejichukua video
lakini je nani kazivujisha?
Huoni waliingilia privacy ya mtu?

watu wengine mnatia aibu
Mimi sio mzee mwenzako unikome! Rayvanny alituma screenshot zenye maandishi tu na sehemu za picha alificha.
Huyu hamonaizi wako atasema video zake zimetoka wapi mtandaoni
 
Haya mambo ya kupelekwa polisi kila wakat rayvanny itam Cost na kumuaribia Cv ataonekana ako na shida sehemu, kila siku tu yeye polisi , naomba Mungu leo alale Hata I Night nitafurah sana hiz mbwa zimezid umbea, Boss wao aliyewatuma safar hii watanyooka
Rayvanny anacheza kama Messi, kijeba akijakustuka ameshazama. tatizo kijeba anaenda na kelele za insta hatumii ubongo
 
Usinambie hamo mavi alikuwa anafukua tope la majizo , ?? 🤣
Mkuu hiyo ni exclusive aina muda itapelekwa mjini game bado mbichi hii na uzuri kijeba anapita mule mule kwenye script 😂😂
 
Halafu kabisa camera zipo zinawamulika hiki ndio wanachopenda hawa wanaojiita Wasanii...Jamii yenyewe imejaa uhuni wanatengeneza story za kijinga kama hizi drama hizi zinawapa attention basi...wao hawawazi kuboresha kazi ili hizo kazi ziwape hizo kiki..hovyo.
 
Toka day one tunawaambia wanaomshabikia Hamo hawana akili ni mbumbumbu hata management yake imejaa viazi watupu. Walikuwa wanasifia mboo ya Hamo sasa hvi wanalialia tu na V Vanny Boy anavyoupiga mwingi
sawa sisi hatuna akili nyie wenye akili mmepiga step gani za maisha....mnashindwa wasaidia mama zenu huko mbeya wapate mahali pazuri pa kujistiri mnajiita wajanja,

mbumbumbu mwingine ambae anakaa na baba wa kambo na kumhudumia kabisa hapo kamsahau aliemkuza na anaona hadi mapaja ya bi mkubwa wake ila amaona its fine...
 
Nani kafanya black mail ,? yeye ameshajitengenezea dhana ya kwamba he can't move without WCB scandle ,.... Alianza kumparamia Rayvanny Kwa walaka mreeefu , sasa WCB watampa anachotaka but in negative way ..... Yeye atulie afanye mziki sio kufata fata watu nyuma kama ma nzi .....mbona akina Marioo type yake wapo wanafanya vyema...

Yaani huoni kumtishia mtatoa video zake sio kum blackmail???? eti alimchokoza Vanny, kwa nini Vanny asipotezee....??? mnamuona Kondeboy ana roho ngumu,kundi lenu je,wote hamna roho ngumu,kumdhalilisha na kutaka kuendelea kumdhalilisha Kondeboy ndio roho safi?
 
sawa sisi hatuna akili nyie wenye akili mmepiga step gani za maisha....mnashindwa wasaidia mama zenu huko mbeya wapate mahali pazuri pa kujistiri mnajiita wajanja,

mbumbumbu mwingine ambae anakaa na baba wa kambo na kumhudumia kabisa hapo kamsahau aliemkuza na anaona hadi mapaja ya bi mkubwa wake ila amaona its fine...
kaka una stress tafuta mpunga akili ipoe
 
Tunapondaponda kichwa tumalize kazi

Kwa jinsi threads ziko nyingi inaelekea kichwa hakimaliziki kirahisi,wewe sijui ndio Rayvanny,kwa kutaka revenge inaonyesha Konde kuwashtaki kiliwauuuumaaa,sasa hivi Kondeboy usiachie mpaka Vanny boy mtu mzima awekwe selo,yaani hata kulala lala week nzima police....
 
Baada ya muda mtaelewa, game imechezwa kikubwa hii imeacha mhaho kwa kijeba
 
Back
Top Bottom