Mtoto wa miaka 17 anacheza na mtoto wa miaka 10 ?? Hapo kuna walakini labda wangesema alikuwa anafundishwa masomo lakini kucheza??
Kuna walakini
Nakumbuka stori ya zamani kuna dogo alienda kucheza kwa rafiki yake akapigwa risasi na baba wa rafiki yake wakasema ilikuwa bahati mbaya eti risasi ilichomoka wakati bunduki inasafishwa
Nyumba za watu wengine zina mambo ya kutisha na giza sana
Zama hizi kila mtoto akae kwao sio
Kama zamani enzi zetu