Dar: Mtoto wa miaka 17 ampiga risasi mtoto mwenzake na kumsababishia kifo

Mtoto wa miaka 17 anacheza na mtoto wa miaka 10 ?? Hapo kuna walakini labda wangesema alikuwa anafundishwa masomo lakini kucheza??
Kuna walakini

Nakumbuka stori ya zamani kuna dogo alienda kucheza kwa rafiki yake akapigwa risasi na baba wa rafiki yake wakasema ilikuwa bahati mbaya eti risasi ilichomoka wakati bunduki inasafishwa

Nyumba za watu wengine zina mambo ya kutisha na giza sana
Zama hizi kila mtoto akae kwao sio
Kama zamani enzi zetu
 
Huyo dogo mpaka hapo ashaqualify kuwa jambazi. Huo ujasiri sio kawaida umpige mwenzako risasi then unambeba mpaka kwao.
 
Motive ya mauaji ni nini? Wivu wa kimapenzi au wamedhulumiana kibiashara? Nop, haingii akilini sababu muhanga ni mtoto wa miaka 10!
1. Inawezekana ilikuwa accidental discharge...walikuwa wanacheza, kumbe baba aliiacha moja kwenye chamber.
2. Inawezekana muhanga alikuwa anaichezea, akajiipiga mwenyewe (kwa bahatimbaya), na ili dogo ku cover story, ilibidi aseme shoti ya umeme.
3. Pamoja na yote hayo, funzo kwa wazazi wanaomiliki silaha za moto wanapaswa kukumbuka sheria namba moja ya umiliki wa silaha kuwa 'konkodiko mlango wa chuma, ukiufungua hauna huruma'.
Poleni wahanga (pande zote mbili za familia).
 
Ila bado yawezekana huyu mtoto amejifyatulia mwenyewe kwenye harakati za kuchezea akijua ni toy

Yawezekana pia huyo mtoto alikuwa anamnyang'anya dogo kwenye hizo harakati ikamfyatukia

Yawezekana mambo mengi sana

Yawezekena pia huyu dogo kitendo cha kumchukua na kumpeleka kwao kilitokana na uoga na kusema ni shot ya umeme yawezekana ni uoga au pia inawezekana na yeye hakuwa anajua kilichotokea

Labda alikuwa chumbani kwake akasikia mlio/kishindo akawaza ni shot ya umeme, pengine alimuacha dogo akiangalia Tv sebuleni ivyo ni raisi kuhusi ni shot dogo labda kagusa gusa nyaya.

Kusema huyu mtoto kampiga mwenzie risasi ni jambo la ajabu ikiwa hakuna aliyeshuhudia tukio. Ingetosha kusema mtoto afa kwa risasi Dar. Kisha iwekwe iyo stori sasa.

Mambo ni mengi pengine dogo alikuwa hata hajui kama baba yake ana mkwaju/bastola.

Kwani zilipita dakika ngapi tangu mlipuko hadi dogo kuletwa na aliyemleta alikuwa kwenye hali gani na je bastola imekutwa wapi na tukio lilitokea eneo gani hapo nyumbani?

Kama bastola imekutwa ndani inaweza ikawa sababu ya dogo kutokufanya ilo tukio maana angeenda kuificha hiyo bastola si kashasema ni shot ya umeme, kwanini ushahidi ubaki wazi wazi?.

Anyway tuishie hapa kwanza.
Tatizo wengi wanaanza kutoa hukumu alafu hukumu iliyotolewa ndo inatengenezewa story.
 
Mtu mkubwa ndo kafanya dogo atakuwa kabebeshwa zigo tu.
lakini shahidi ambaye ni ndugu wa marehemu anasema kijana alikuja kambeba marehemu na kasema alipigwa na shoti ni jukumu la mtuhumiwa kusema mahakamani nani n muhusika
 
Motive ya mauaji ni nini? Wivu wa kimapenzi au wamedhulumiana kibiashara? Nop, haingii akilini sababu muhanga ni mtoto wa miaka 10!
1. Inawezekana ilikuwa accidental discharge...walikuwa wanacheza, kumbe baba aliiacha moja kwenye chamber.
2. Inawezekana muhanga alikuwa anaichezea, akajiipiga mwenyewe (kwa bahatimbaya), na ili dogo ku cover story, ilibidi aseme shoti ya umeme.
3. Pamoja na yote hayo, funzo kwa wazazi wanaomiliki silaha za moto wanapaswa kukumbuka sheria namba moja ya umiliki wa silaha kuwa 'konkodiko mlango wa chuma, ukiufungua hauna huruma'.
Poleni wahanga (pande zote mbili za familia).
Uzembe una gharama sawa na ujinga

Mambo yameenda kombo mzee amewekwa kwa ndichi Kwanza
 
Kumbuka watoto wa siku hizi haswa mboga saba hawana adabu 70% yao
Yani kwetu ukisha fikisha miaka 12 chumba cha Mama na Baba kilikuwa kituo kidogo cha polisi!
Yani kama wame lala na kuna kitu unataka unatakiwa ugonge mlango mara moja tu! Ole wako ugonge mara 2 Na huna jambo la maana utajuta!
Yaani Mungu awa laza mahala pema peponi wazazi wangu mafunzo waliyo nipa sijawahi kupata tatizo lolote na na mtu maishani kwangu!
Siku hizi una fika kwa mtu unakaribishwa ndani Toto kubwa kabisa limekaa kwenye kochi limeweka miguu juu lina cheza game adi liambiwe litoke 🤔
Sisi enzi hizo mgeni kaja nyumbani tuna msalimia kwa dabu utulivu una kuwa 100%
Sisi ilikuwa unasalimia kama ni mtu mpya,unatambulishwa kisha unandoka eneo hilo,kisha wakikuhitaji unaitwa.
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom