Dar: Mihadhara ya kidini yapigwa marufuku!

Kama uislaam usingekuwepo, dunia ingekuwa ni mahari salama pa kuishi.
 
Hawajaenda shule kusoma na kuandika hawajui kutwa kukaa juani na maspika kusema Yesu si Mungu wangeachwa waendelee kuwahubiria wajinga wenzao siye tuendelee kujiimarisha kiuchumi hawa tuwaajiri kufyeka nyasi kuzibua vyoo na kufyagia barabara zetu
 
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Said Meck Sadick amepiga marufuku mihadhara yote ya kidini inayokashifu na kukebehi imani za watu wengine, hadi hapo hali itakapokuwa shwari.

Ameonya pia dhidi ya waandishi na vyombo vya habari vinavyochochea udini kuacha mara moja kabla hatua husika hazijachukuliwa.

Ina maana hali itaporejea kuwa shwari mihadhahara itaanza tena ichochee, vurugu zitokee, mihadhara ianze tena, ipigwe marufuku, hali itaporejea kuwa shwari mihadhahara itaanza tena ichochee, vurugu zitokee, mihadhara ianze tena, .....................vicious cycle continues!!!!

'vicious cycle = one trouble leads to another that aggravates the first'
 
It is too ltae, watu tumeongea hadi mate yanakauka bhana, wangeacha tu wafike Ikulu kwanza si ndio walichotaka, waache unafiki wao
 
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Said Meck Sadick amepiga marufuku mihadhara yote ya kidini inayokashifu na kukebehi imani za watu wengine, hadi hapo hali itakapokuwa shwari.

Ameonya pia dhidi ya waandishi na vyombo vya habari vinavyochochea udini kuacha mara moja kabla hatua husika hazijachukuliwa.

Kwa hiyo hali itakapokuwa shwari mihadhara kama kawa? Mia
 
Unajua great thinkers mnaonyesha kitu ambacho watu wengi wanakiongea mitaani kuwa wasomi wetu siku hizi hawana uwezo wa kufikiri critically, mnatukanana, mara radio iman mara nini, kama unaisiriza then you like it, haiwezekani ukakaa unasikiliza kitu usichokipenda.

Sisemi radio iman wanachofanya ni sahihi lakini kuna radio kama wapo hawana tofauti na radio iman, ila kama sipendi wanachosema natune kwingine, kama ukinitukana wakati sijasikia it doesn't affect me.

Angalia Radio tumaini is my best radio katika vipindi mbali mbali mimi ni mwislam lakini nasikiliza vipi vile vilivyotengenezwa kwa ajiri ya watu wote, wakiweka walivyotengeneza kwa ajiri ya wakristu then natune kwingine.

Tunachofanya hapa ni kuzidisha chuki wenyewe kwa wenyewe kwa matusi yasiyo na kichwa wa mguu.

Critical thinkers anaangalia na kufikiri mara mbili kabla ya kuropoka, hivi mnavyotukanana mnafikiri mnaondoa tatizo au mnaliongezea, fikirieni kama wasomi kwa kutafuta solution ya tatizo hili
 
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Said Meck Sadick amepiga marufuku mihadhara yote ya kidini inayokashifu na kukebehi imani za watu wengine, hadi hapo hali itakapokuwa shwari.

Ameonya pia dhidi ya waandishi na vyombo vya habari vinavyochochea udini kuacha mara moja kabla hatua husika hazijachukuliwa.

Sasa ndo wanaamka siyo baada ya kuona Ikulu inatwakwa. hapo kwenye RED ninawasiwasi napo. Inamaana hali ikitulia wataruhusu hiyo miadhara ya kukashifu dini iendelee au, pia nilitegemea angewataja waandishi wa habari na vyombo vya habari husika na si kuacha hewani kama alivyo fanya.
 
Hata hali ikiwa swari hatutaki kuona mashehe wakishika Biblia kwenye mihadhara yao na kuistafsiri wanavyotaka wao. Kila mtu ahubiri cha dini yake.

Mkuu Sweke34, mhadhara wa Kiislamu bila Bibilia Takatifu haunogi kabisaaa, fwatilia.
 
Naona bwana Meck anajipa madaraka makubwa na ya ziada. Sina uhakika kama anamamlaka ya kikifungia chombo chochote cha habari kikienda kinyume naye. Je vp vyombo vinavyotangaza habari za uchochezi vilivyo nje ya Dar lakini vinasikika pia Dsm? teh teh teh
 
hadi hapo hali itakapokuwa shwari.
Aidha uelewa wako kwa jambo ulilosikia ni finyu au ni straight up muongo, period! Mkuu wa Mkoa sio pumbavu kiasi hicho eti aseme mihadhara ya kukashifu dini imesimamishwa mpaka hali itakapokuwa shwari....!
 
Kwa sasa viongozi wetu wanafanya maamuzi wasiyoyaamini. Wanashinikizwa na wakristo, maaskofu, wachungaji na zaidi-nchi za magharibi zinazofuatilia kwa makini suala hili. Hakuna shaka kwamba nchi za magharibi zinaona matukio haya kama hatua za awali za "breeding of terrorists", na ndio maana nchi kama USA na UK tayari wameshatoa travel alert.

Jk alivyokwenda mbagala kuona uharibifu (was a good gesture), akaishia kutaka kuwafurahisha waislamu na wakristo kama kawaida yake. Hilo lilikuwa kosa la pili (kosa la kwanza ni kuruhusu mijadala yenye chuki kwa dini nyingine). Mkuu wa mkoa DSM anaendeleza makosa yale yale ya kuuma na kupuliza. Ndo kusema itakuwa sahihi kuruhusu kukashfiana kidini baadaye-kwa sasa tuache mambo yapoe? Siku zote naamini serikali imekuwa ikiwatumia waislam kwa maslahi ya kisiasa, ndiyo maana leo inasita kushughulikia mzizi wa fitna.
 
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Said Meck Sadick amepiga marufuku mihadhara yote ya kidini inayokashifu na kukebehi imani za watu wengine, hadi hapo hali itakapokuwa shwari.

Ameonya pia dhidi ya waandishi na vyombo vya habari vinavyochochea udini kuacha mara moja kabla hatua husika hazijachukuliwa.Alipoulizwa hali itakapokuwa shwari waendelee alisema , katiba inaruhusu uhuru wa maoni ambao hauhatarishi amani ya nchi.

Huyo mkuu wa mkoa ndio kasema hayo maneno (kwenye red). Kwamba mihadhara kwa sasa ni marufuku LAKINI hali ikiwa shwari mihadhara hiyo inaweza kuendelea! Kama sio mzaha ni nini? Haya, hii ni kwa Dar es Salaam, vipi Kigoma na mikoa mingine? Au hii amri ni kwa nchi nzima?

Kwa hapa tulipofikia, kama Bunge halikupitisha sheria inayokataza mtu au kikundi cha watu wa dini moja kukashfu dini nyingine, basi machafuko lazima yatatokea, tena yatakuwa makubwa. Na hadi sasa hakuna anayeweza kunishawishi kuwa wakubwa wana nia ya dhati ya kutatua tatizo la udini.

Tukumbuke, wanaoleta vurugu sio wale wanaokashfiwa, au wanaochomewa majegno yao ya ibada, bali wale wale wanaokashfu. Wanahubiri kashfa na dhihaka kwa dini nyingine, na wakitoka hapo wanaenda kuchoma majengo ya hao hao waliokuwa wanakashfu. Makanisa zaidi ya 25 yamechomwa bado viongozi wapo kimya!

Nirudie kuuliza, ni vigezo gani vilivyotumika kulifungia gazeti la Mwanahalisi, na kuacha Radio Imaan na gezeti la Al-Noor liendelee na campaign zake? Hivi tuamini kuna nia ya dhati ya kutatua tensio za kidini?
 
In short kama kasema kuwa mihadhara "inayokashifu dini zingine" imesitishwa hadi hapo hali itakapokuwa shwari...ina maana kuwa, serikali bado inaii-endorse mihadhara inayokashifu dini zingine...!! Hili tunaloliona leo ni matokeo ya kulea hiyo mihadhara na hizo redio, but unadiriki kuendelea kuilea kwa kusema hali ikiwa shwari iendelee...!!!...??

Naombeni mnisaidie wana JF kama kuna kitu sijakielewa toka kwenye mada hii...!!!
 
Unajua great thinkers mnaonyesha kitu ambacho watu wengi wanakiongea mitaani kuwa wasomi wetu siku hizi hawana uwezo wa kufikiri critically, mnatukanana, mara radio iman mara nini, kama unaisiriza then you like it, haiwezekani ukakaa unasikiliza kitu usichokipenda.

Sisemi radio iman wanachofanya ni sahihi lakini kuna radio kama wapo hawana tofauti na radio iman, ila kama sipendi wanachosema natune kwingine, kama ukinitukana wakati sijasikia it doesn't affect me.

Angalia Radio tumaini is my best radio katika vipindi mbali mbali mimi ni mwislam lakini nasikiliza vipi vile vilivyotengenezwa kwa ajiri ya watu wote, wakiweka walivyotengeneza kwa ajiri ya wakristu then natune kwingine.

Tunachofanya hapa ni kuzidisha chuki wenyewe kwa wenyewe kwa matusi yasiyo na kichwa wa mguu.

Critical thinkers anaangalia na kufikiri mara mbili kabla ya kuropoka, hivi mnavyotukanana mnafikiri mnaondoa tatizo au mnaliongezea, fikirieni kama wasomi kwa kutafuta solution ya tatizo hili

Naomba kuongelea hapo kwenye bold text.... Wewe unaweza kutune kwingine; but unajua ni wananchi wangapi wasio na uelewa kama wako ambao wanajengewa chuki kwa kushindwa tu kutune kwenda kwenye station zingine..?? Hata hizi fujo kuna asilimia kubwa sana ya watu waliobebwa na chuki ambazo hata chanzo chake hawakijui....wengine si ajabu wamesikia comments ambazo wakati zinatoka walishindwa kutune kwenda kwenye discussion or station zingine...!!!

Kama sijakuelewa, ningependa kupata ufafanuzi....!!
 
Naunga mkono.

Tunaposhutumu wanaoleta vurugu, tukawaingiza waislam wote ni kosa kubwa na tunaanza kupeleka chuki hata kwa wale waislam wanaofuata imani yao kadiri ya mafundisho yake bila ya kuwabughudhi watu wengine au kuharibu mali za watu wengine.

Kikundi cha Ponda ni sehemu ndogo sana ya waislam, kuna mamilioni ya waislam ambao ni watu wema na wazalendo hasa kwa Taifa hili. Kauli zetu zisiwakwaze wazalendo wa kiislam.

[4387]Unajua great thinkers mnaonyesha kitu ambacho watu wengi wanakiongea mitaani kuwa wasomi wetu siku hizi hawana uwezo wa kufikiri critically, mnatukanana, mara radio iman mara nini, kama unaisiriza then you like it, haiwezekani ukakaa unasikiliza kitu usichokipenda.

Sisemi radio iman wanachofanya ni sahihi lakini kuna radio kama wapo hawana tofauti na radio iman, ila kama sipendi wanachosema natune kwingine, kama ukinitukana wakati sijasikia it doesn't affect me.

Angalia Radio tumaini is my best radio katika vipindi mbali mbali mimi ni mwislam lakini nasikiliza vipi vile vilivyotengenezwa kwa ajiri ya watu wote, wakiweka walivyotengeneza kwa ajiri ya wakristu then natune kwingine.

Tunachofanya hapa ni kuzidisha chuki wenyewe kwa wenyewe kwa matusi yasiyo na kichwa wa mguu.

Critical thinkers anaangalia na kufikiri mara mbili kabla ya kuropoka, hivi mnavyotukanana mnafikiri mnaondoa tatizo au mnaliongezea, fikirieni kama wasomi kwa kutafuta solution ya tatizo hili[/QUOTE]
 
Huyo mkuu wa mkoa ndio kasema hayo maneno (kwenye red). Kwamba mihadhara kwa sasa ni marufuku LAKINI hali ikiwa shwari mihadhara hiyo inaweza kuendelea! Kama sio mzaha ni nini? Haya, hii ni kwa Dar es Salaam, vipi Kigoma na mikoa mingine? Au hii amri ni kwa nchi nzima?

Kwa hapa tulipofikia, kama Bunge halikupitisha sheria inayokataza mtu au kikundi cha watu wa dini moja kukashfu dini nyingine, basi machafuko lazima yatatokea, tena yatakuwa makubwa. Na hadi sasa hakuna anayeweza kunishawishi kuwa wakubwa wana nia ya dhati ya kutatua tatizo la udini.

Tukumbuke, wanaoleta vurugu sio wale wanaokashfiwa, au wanaochomewa majegno yao ya ibada, bali wale wale wanaokashfu. Wanahubiri kashfa na dhihaka kwa dini nyingine, na wakitoka hapo wanaenda kuchoma majengo ya hao hao waliokuwa wanakashfu. Makanisa zaidi ya 25 yamechomwa bado viongozi wapo kimya!

Nirudie kuuliza, ni vigezo gani vilivyotumika kulifungia gazeti la Mwanahalisi, na kuacha Radio Imaan na gezeti la Al-Noor liendelee na campaign zake? Hivi tuamini kuna nia ya dhati ya kutatua tensio za kidini?

Unajua mtu makini ukimwangalia na ukamsikiliza Ponda na wafuasi wake unagundua kwamba siyo mtu/watu smart. Kwa hiyo unapata picha kwamba kuna watu wenye nguvu ya pesa na madaraka wako nyuma ya Ponda,wakifadhili kwa pesa na ulinzi. Jiulize redio Imani kule Morogoro ambayo imetufikisha hapa,kwanini imeachiwa muda wote kuhubiri uchochezi na chuki? Hawa Islamic Foundation wanaoimiliki ni akina nani Tanzania? Wale WAPEMBA pale Chuo Kikuu cha Kiislamu Morogoro ambao wameachiwa kuendesha vipindi vya uchochezi ktk hiyo redio wanalindwa na nani?
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Unajua great thinkers mnaonyesha kitu ambacho watu wengi wanakiongea mitaani kuwa wasomi wetu siku hizi hawana uwezo wa kufikiri critically, mnatukanana, mara radio iman mara nini, kama unaisiriza then you like it, haiwezekani ukakaa unasikiliza kitu usichokipenda.

Sisemi radio iman wanachofanya ni sahihi lakini kuna radio kama wapo hawana tofauti na radio iman, ila kama sipendi wanachosema natune kwingine, kama ukinitukana wakati sijasikia it doesn't affect me.

...

Hivi hapo kwenye red ndio umeandika upumbavu gani? Wewe hupendi kuiskiliza una-tune kwingine; it's OK; kuna wendawazimu wachache wanaopenda sana kuisikiliza na ku-practice kile wanacho-broadcast na ndio hao wanaotuletea upuuzi wao huku mitaani leo! Hivi hujaona pana tatizo hapo?
 
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Said Meck Sadick amepiga marufuku mihadhara yote ya kidini inayokashifu na kukebehi imani za watu wengine, hadi hapo hali itakapokuwa shwari.

Ameonya pia dhidi ya waandishi na vyombo vya habari vinavyochochea udini kuacha mara moja kabla hatua husika hazijachukuliwa.Alipoulizwa hali itakapokuwa shwari waendelee alisema , katiba inaruhusu uhuru wa maoni ambao hauhatarishi amani ya nchi.

Kwa maana hiyo hali itakapokuwa shwari, mihadhara inayokashifu na kukebehi imani za watu wengine itaruhusiwa?

Je, mihadhara ya kidini isiyokashifu wala kukebehi imani za wengine haijazuiliwa?

Hebu weka uzi wako vizuri Mkuu kuondoa utata wa lugha uliyotumia!
 
Mkwara wa kizamani!!Redio iman ifungiwe kwanza kama onyo, statement ilitakiwa kusomeka hivi-tunaifungia hadi hapo itakapojirekebisha,hii ya kumtishia kumkimbiza mtu uliyesimama naye ni dalili ya uoga.

nyie ndio wapuuzi kweli, eti redio Imaan ndio chanzo cha vurugu, mbona hamsemi hizo redio Maria, Tumaini, n.k

roho inawauma kuona waislamu wana redio yao na inapatikana sehemu kubwa ya nchi tu, basi ishakuwa sooo..

hivi nyie wakristo mna matatizo gani na taasisi za kiislamu? mkishaona taasisi ya kiislamu ipo imara roho zinawauma, mumezoea kuona taasisi za waislamu mbofu mbofu km za bakwata ambazo viongozi wake mumewaweka nyie..

mbona waislamu hawahangaiki na taasisi zenu? ni muislamu gani umemsikia anasema taasisi fulani au redio ya wakristo ifungwe?

acheni ujinga wenu, fanyeni mambo yenu acheni taasisi za kiisalamu km ambavyo waislamu hawahangaiki na taasisi zenu...
 
Back
Top Bottom