Dar: Mihadhara ya kidini yapigwa marufuku!

Dar: Mihadhara ya kidini yapigwa marufuku!

kwahiyo hali ikiwa shwari then warudie mihadhara?au mimi sijampata vyema wanakumbuka shuka asubuhi?
 
..... amepiga marufuku mihadhara yote ya kidini inayokashifu na kukebehi imani za watu wengine, hadi hapo hali itakapokuwa shwari.

.......Alipoulizwa hali itakapokuwa shwari waendelee alisema , katiba inaruhusu uhuru wa maoni ambao hauhatarishi amani ya nchi.

Hapo kwenye bold; Sijamuelewa huyo mkuu wa huo Mkoa anamaanisha nini. Je uhuru wa maoni huko Tz ndio kukashifu imani za watu wengine? Sasa kama ni uhuru wa maoni na hauna matatizo au hauna madhara kwanini usitishwe?
Nadhani kama amejikoroga vile. Ninaomba msaada kwa kunyumbulishiwa hiyo kauli wadau.
 
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Said Meck Sadick amepiga marufuku mihadhara yote ya kidini inayokashifu na kukebehi imani za watu wengine, hadi hapo hali itakapokuwa shwari.

Ameonya pia dhidi ya waandishi na vyombo vya habari vinavyochochea udini kuacha mara moja kabla hatua husika hazijachukuliwa.Alipoulizwa hali itakapokuwa shwari waendelee alisema , katiba inaruhusu uhuru wa maoni ambao hauhatarishi amani ya nchi.[/QUOTE

JK yuko wapi? Nilifikiri yeye ndie wa kupiga marufuku mihadhara hiyo nchi nzima ikiwa ni pamoja na kuifungia Radio Iman na gazeti la Al Noor. Lakini wapi Mtu dhaifu siku zote anakaa kimya akiwaacha wenzie wajichanye na yeye huibuka mwishoni ili kujipatia umaarufu kama alivyofanya kwenye suala la Katiba mpya. "Tumefika hapa kwa sababu ya Udhaifu wa JK, Uzembe wa Bunge na ubovu wa CCM" JJ Mnyika
 
Mihadhara ilianza kipindi cha Mwinyi! mkapa hakucheka na nyani,alishusha kipondo issue ya mwembe chai na kufunga msikiti! Dhaifu kama mwinyi aliruhusu mihadhara!
 
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Said Meck Sadick amepiga marufuku mihadhara yote ya kidini inayokashifu na kukebehi imani za watu wengine, hadi hapo hali itakapokuwa shwari.

Ameonya pia dhidi ya waandishi na vyombo vya habari vinavyochochea udini kuacha mara moja kabla hatua husika hazijachukuliwa.Alipoulizwa hali itakapokuwa shwari waendelee alisema , katiba inaruhusu uhuru wa maoni ambao hauhatarishi amani ya nchi.

Kwa hiyo baada ya hali kutulia then warudi KUKASHIFU na KUKEBEHI imani za watu wengine (Wakristo). Na huu ndio ukweli na uhalisia toka miaka ya 90.

Kila kiongozi wa awamu hii ya nne ni dhaifu, anapwaya na yuko bias. Ni aibu namna gani?
 
Viongozi wetu siku zote badala ya kuzuia moto usianze wao wanasubiri ukolee ndio wazime, hivi wana-akili kweli hawa!!!
 
RC ameonyesha uoga wa hali ya juu. Kama ni marufuku ni marufuku kwa mihadhara ya uchochezi. Lakini kama ni mihadhara ya kueneza dini husika kwa nini nayo ipigwe marufuku ? Wachochezi wote wa dini zote iwe marufuku kufanya mihadhara.
 
Msikilizeni aliyekuwa kadhi wa somalia

Huyu jamaa tapeli 1 jamaa anaongea kiswahili fasaha 2wasomali hawajui english colony yao ilikua ya italy 3hafanani na wasomali4 huyu jamaa ana accent ya kikenya 5 jamaa atakua mborana wa kenya mitaa ya marsabit kenya6 chunga matapeli
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Said Meck Sadick amepiga marufuku mihadhara yote ya kidini inayokashifu na kukebehi imani za watu wengine, hadi hapo hali itakapokuwa shwari.

Ameonya pia dhidi ya waandishi na vyombo vya habari vinavyochochea udini kuacha mara moja kabla hatua husika hazijachukuliwa.Alipoulizwa hali itakapokuwa shwari waendelee alisema , katiba inaruhusu uhuru wa maoni ambao hauhatarishi amani ya nchi.

Huyu mkuu wa mkoa nae ni Janga hapa Dsm
 
Hapo mkuu wa mkoa atakuwa ameongeza vibaka maana Yesu si Mungu ndiyo ilikuwa ajira yao ya kukusanya sadaka

Huyu ni mpinga Kristo.

Ni moja ya roho 3 za uchafu zenye kufanana vyura zinazofanya vita (Ufu. 16:13-14), siku Yesu atakaporudi na kumkamata nabii wa uongo (Muhamad S. A. W.) (Ufu. 19:20) ndipo atakapojua huyu anayempinga ni Bwana wa mabwana na Mfalme wa wafalme (Ufu. 19:16). Muda umekwisha hivyo mwenye kudhulumu azidi kudhulumu na mwenye uchafu azidi kuwa mchafu na mwenye haki azidi kutenda haki na mtakatifu azidi kutakaswa (Ufu. 22:11).
 
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Said Meck Sadick amepiga marufuku mihadhara yote ya kidini inayokashifu na kukebehi imani za watu wengine, hadi hapo hali itakapokuwa shwari.

Ameonya pia dhidi ya waandishi na vyombo vya habari vinavyochochea udini kuacha mara moja kabla hatua husika hazijachukuliwa.Alipoulizwa hali itakapokuwa shwari waendelee alisema , katiba inaruhusu uhuru wa maoni ambao hauhatarishi amani ya nchi.
Kwa tamko hilo ina maana hali itakapokuwa shwari ruksa kendelea na mihadhara ya aina hiyo ya kukashifu imani za watu? Mimi niliratajia amri hiyo iwe kali yaani kupiga marufuku aina ya mihadhara hiyo milele!!
 
Serikali inafanya makosa makubwa kuacha hii Redio WAPO ndio chanzo ni kashfa na matusi makubwa kwa viongozi wa kiislam.

Weka mfano mkuu, tunaidikiliza sana radio hii hatujawahi wala kusikia hata konachokaribiana na unachokisema
 
Wale wa jangwani wanaosema 'yesu ni mungu aliye hai' itabidi waache pia maana ni kashfa kwa wengine?
 
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Said Meck Sadick amepiga marufuku mihadhara yote ya kidini inayokashifu na kukebehi imani za watu wengine, hadi hapo hali itakapokuwa shwari.

.

Kwa hiyo hali ikiwa shwari mihadhara ya kukashifu dini za watu wengine zitaendelea....! Haki ya nani siwaelewi kabisa viongozi wangu wa Tanzania.
 
redio na magazeti yote ya kidini yafungiwe.

mikutano na mihadhara yote isitishwe kwa muda
 
Mihadhara ni kichaka cha extrimists. Uhuru wa maoni huu utafisiriwe kuwa ni kubughi na kuingilia imani ya mtu na kuhatarisha umoja wetu. Huwezi kuwa na maoni katika imani isiyo ya kwako, kwa kutafsri jinsi unavyotaka wewe. Katiba lazima izuie kitu hiki nami ntakuwa wakwanza kutoa maoni katika katiba ijayo kuhusu hili.

Ni kulea uhuni, na uhasama unaanzia pale. Makelele yao ni kuchafua mazingira
 
Unajua huwa sielewi naomba nielimishwe watu wakisema Mtume Mohamed S.A.W siyo mtume ni vita wakristu wametukana uislamu lakini ikisemwa na haohao waislamu Yesu siyo Mungu ni sahihi,najiuliza uhuru wa kuongea uko upande mmoja tu au pande zote?Kuna sheria ya dhahabu inasema hivi"Usichopenda kutendewa wewe usimtendee mwenzako" Nadhani waislamu waiangalie sheria hii kwa makini watakuwa salama zaidi.
 
Back
Top Bottom