Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,618
acha kuchangia kama muhuni, kama kupiga marufuku mihadhara haisaidii basi toa pendekezo. Usiandike kama upo form two C
Waislamu sasa hivi wanatumia misikitu kumwaga sumu, wanatumiana SMS pia. Kupiga marufuku mihadhara haisaidii.