Dar: Mihadhara ya kidini yapigwa marufuku!

Dar: Mihadhara ya kidini yapigwa marufuku!



Mbona MLISUBIRI MUDA MREFU? NCHI yoyote yenye DEMOKRASIA ya KWELI... Mambo ya DINI sio ya HADHARANI

NI NDANI MSIKITINI AU KANISANI... HADHARA unaomba KIBALI sio lazima MPATE

kuna nchi yenye demokrasia ya kweli??? kakudanganya nani ???
 
Hapo mkuu wa mkoa atakuwa ameongeza vibaka maana Yesu si Mungu ndiyo ilikuwa ajira yao ya kukusanya sadaka

:biggrin1::biggrin1: ulijuaje....sijui saivi watakua wanafanya nini mchana maana hawanaga kazi zingine za kufanya
 

GOOD, Sasa Mmapokwenda MITAANI kupigania HAKI ni HAKI ambayo haiko DUNIANI ndio Mnayoifuata???

Hizi ni HADITHI za ALINACHA???

Again CDM minds

Wewe hata unachoulizwa hukijui ?? hebu soma tena niliandika nini huko juu ??
 
Jamani mie nashangaa wanaoendekeza dini na wakati hizi dini zililetwa na wakoloni ambapo ukristo-cathoric uliletwa na wajerumani,Anglikana ililetwa na Waingereza na uislam uliletwa na waraabu sasa longolongo ya nini kama sio mtizamo mdogo wasisi wanadamu?
Hata hivyo laiti mwislamu angezaliwa akakuta wazazi wake ni wakristo basi angekuwa mkiristo na mkiristo angezaliwa akakuta wazazi wake ni waislam basi sina shaka ange kuwa mwislam.
Tanzania ilikuwepo kabla ya ukiristo na uislam na itaendelea kuwepo hata baada ya dini hizo kuu mbili kutoweka kama inawezekana.kwahiyo wakina ponda na farid wake kama wamechoka maisha na kukata tamaaa basi waseme tu kuliko kuanzisha vurugu zisizo na kichwa wala mkia.
Hivi ponda anafikiri watu wanapokufa kwa ajili ya ujinga wake anaona sawa siku akifa kule ahera atakuta bonge la adhabu ndiyo roho yake italia na kusaga meno maana anajidanganya kuwa ukiuwa wenzako kwa ajili ya dini basi ndiyo utukufu ng`ooo.
 
Back
Top Bottom