Ni kweli kabisa kwasababu nakumbuka 1984 alikuvalisha Pete ya uchumba. Vipi bado unayo?Nasikia kiongozi wenu alioa 1985 hapo na upadri juu tehe soma hapaPingamizi la Slaa latupwa
Hapo mkuu wa mkoa atakuwa ameongeza vibaka maana Yesu si Mungu ndiyo ilikuwa ajira yao ya kukusanya sadaka
Una mtisha nani mkuu toka kwenye keyboard nenda kapambane nao kariakoo kama hujaja hapa umeshikilia utumbo wako.
Wapo radio, Ufalme wao si wa hii Dunia!Huwaoni wanaotaka ufalme duniani walivyo taka kuvamia Ikulu?Serikali inafanya makosa makubwa kuacha hii Redio WAPO ndio chanzo ni kashfa na matusi makubwa kwa viongozi wa kiislam.
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Said Meck Sadick amepiga marufuku mihadhara yote ya kidini inayokashifu na kukebehi imani za watu wengine, hadi hapo hali itakapokuwa shwari.
Ameonya pia dhidi ya waandishi na vyombo vya habari vinavyochochea udini kuacha mara moja kabla hatua husika hazijachukuliwa.
Utafanya nini wewe yahe,wewe ni mtawaliwa tu.Unajitutumua wakati huna lolote!
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Said Meck Sadick amepiga marufuku mihadhara yote ya kidini inayokashifu na kukebehi imani za watu wengine, hadi hapo hali itakapokuwa shwari.
Ameonya pia dhidi ya waandishi na vyombo vya habari vinavyochochea udini kuacha mara moja kabla hatua husika hazijachukuliwa.
Hata hali ikiwa swari hatutaki kuona mashehe wakishika Biblia kwenye mihadhara yao na kuistafsiri wanavyotaka wao. Kila mtu ahubiri cha dini yake.
Akitaka kucheza ngoma ya ukweli aifungue hiyo redio. Anadhan kama madhaifu mwanahalisi hiyo redio