Ennie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2011
- 7,137
- 4,139
Waislamu sasa hivi
wanatumia misikitu kumwaga sumu, wanatumiana SMS pia. Kupiga marufuku
mihadhara haisaidii.
Kwa hiyo wazuiwe kutumia simu?
Waislamu sasa hivi
wanatumia misikitu kumwaga sumu, wanatumiana SMS pia. Kupiga marufuku
mihadhara haisaidii.
Katazo la mkuu wa mkoa wa dar litafika morogoro kwa radio imani?
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Said Meck Sadick amepiga marufuku mihadhara yote ya kidini inayokashifu na kukebehi imani za watu wengine, hadi hapo hali itakapokuwa shwari.
Ameonya pia dhidi ya waandishi na vyombo vya habari vinavyochochea udini kuacha mara moja kabla hatua husika hazijachukuliwa.Alipoulizwa hali itakapokuwa shwari waendelee alisema , katiba inaruhusu uhuru wa maoni ambao hauhatarishi amani ya nchi.
FreemasonryRadio Tumaini au radio Maria?
Mwingine kanijibu "Peace and Love" si mchezo.Kweli kichapo noma, nipo mitaa ya kariakoo huku, kila mtu ninayekutana naye, waarabu hadi wapemba nawasalimia"
asalaam aleykum" lakini wao wanajibu "milele amina"
Kweli kichapo noma, nipo mitaa ya kariakoo huku, kila mtu ninayekutana naye, waarabu hadi wapemba nawasalimia"
asalaam aleykum" lakini wao wanajibu "milele amina"
Vipi mdini wanajeshi Jana wangewafukia mkiwa hai uhuni wenu muupeleke huko Somalia kwa migaidi wenzenulabda ukuu wake wa mkoa uko hadi morogoro.
Ili wakapate wanawake wenye macho kama VIKOMBE.Mnacho shindwa kuelewa kati ya dini ya hizi mbili ni kuwa , kwa waislam wao kuuliwa kwa kupigania dini yao kuna malipo makubwa sana mbele ya Mungu, na ndani ya Qur-an kumesisitizwa kufa kwa kupigania dini yao, kwa wakristo hicho kitu hakipo, na hawana malipo mema wanapo pigania dini yao. Kwa maana hiyo basi waislamu wao kufa hawaogopi na wanapenda kufa kwa kupigania dini yao
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Said Meck Sadick amepiga marufuku mihadhara yote ya kidini inayokashifu na kukebehi imani za watu wengine, hadi hapo hali itakapokuwa shwari.
Ameonya pia dhidi ya waandishi na vyombo vya habari vinavyochochea udini kuacha mara moja kabla hatua husika hazijachukuliwa.Alipoulizwa hali itakapokuwa shwari waendelee alisema , katiba inaruhusu uhuru wa maoni ambao hauhatarishi amani ya nchi.
Mnacho shindwa kuelewa kati ya dini ya hizi mbili ni kuwa , kwa waislam wao kuuliwa kwa kupigania dini yao kuna malipo makubwa sana mbele ya Mungu, na ndani ya Qur-an kumesisitizwa kufa kwa kupigania dini yao, kwa wakristo hicho kitu hakipo, na hawana malipo mema wanapo pigania dini yao. Kwa maana hiyo basi waislamu wao kufa hawaogopi na wanapenda kufa kwa kupigania dini yao
Ni kweli katiba inatoa uhuru wa kutoa maoni lakini viongozi hao wanapaswa kufahamu na kusimamia mikusanyiko ikiwa ni pamoja na kutoruhusu mikutano isiyokuwa na kibali maalum pamoja na kuhakiki sehemu inakofanyika hiyo mikusanyiko bila kujali ikiwa ni ya kisiasa ama ya ni ya dini kwa namna wanavyoidhibiti mihadhara ya kisiasa na hata hii ya dini ingedhibitiwa kwa jinsi hiyohiyo lengo likiwa ni kulinda na kudumisha amani,kwani kuna sehemu maalum zinazojulikana kufanyia mihadhara na ambazo hazihitaji vibali ambavyo ni makanisa na misikiti.lakini siyo mtu aamue kufunga barabara ama sehemu ambayo siyo rasmi kwa ajili ya kisingizio cha dini matokeo yake itafika wakati watu watakwenda kusimama nje ya majengo ya ibada na hapo watawasubiri watu wa mtizamo tofauti wa kiimani waanapotoka kwenye ibada zao na hapo waanze kuwakashifu kwa kisingizio cha uhuru wa kutoa maoni mahali popote halafu ndipo tutakurupuka na kupiga marufuku mihadhara isiyokuwa rasmi wakati watu watakuwa washaumia....viongozi chukueni hatua mapema kabla ya maafa.Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Said Meck Sadick amepiga marufuku mihadhara yote ya kidini inayokashifu na kukebehi imani za watu wengine, hadi hapo hali itakapokuwa shwari.
Ameonya pia dhidi ya waandishi na vyombo vya habari vinavyochochea udini kuacha mara moja kabla hatua husika hazijachukuliwa.Alipoulizwa hali itakapokuwa shwari waendelee alisema , katiba inaruhusu uhuru wa maoni ambao hauhatarishi amani ya nchi.
Hapo mkuu wa mkoa atakuwa ameongeza vibaka maana Yesu si Mungu ndiyo ilikuwa ajira yao ya kukusanya sadaka