Sijui tunakwenda wapi,
Hizo hela haziwezi kuwafikisha hata wiki moja watakuwa wamechacha tena
R.I.P.
Ni kweli, lakini tatizo Ni vyombo vya dola kuhamisha focus na kutumika kisiasa. Mikutano ya chadema, viongozi wa upinzani, kuumba mazingira ya jinai dhidi yao, kuumba mazingira ya ugaidi na mengine mengi. Nguvu ya police inakuwa distracted. Mi sishangai na hata tukio la Arusha. Police na hata usalama hawana tena muda au resources kudill na kazi yao. Kwa upande wa majambazi Ni sikukuu. Nasikitika. Lakini naamini simuda Hali hii na upumbavu huu utakwisha.
Poleni wafiwa.