poilisi siwako bize na ugaidi wa chadema ngoja wajiachie, nchi jk kamkabidhi mwigula mcheba wewe hapo unadhani itakuwaje, wanasema tukio la arusha ni tuki la kawaida kama matukio mengine! haya mwisho tutaona movie inaishia wapi, jk kagoma kukubali ukweli juzi uholanzi alipoulizwa nchi imemshinda na ssm yake,,,,,, sasa hivi hapa anaiweza kweli!
Sijui tunakwenda wapi,
Hizo hela haziwezi kuwafikisha hata wiki moja watakuwa wamechacha tena
R.I.P