Aisee umejuaje? Hili swali liko poa sana, mtoa mada anatakiwa aisaidie police, kajuaje yule mama katoka bank, ana ten milion?It's very sad!! R.I.P
Ila mleta taarifa umejuaje kama zilizochukuliwa ni milioni kumi wakati waliozichukua wametokomea?
Aisee umejuaje? Hili swali liko poa sana, mtoa mada anatakiwa aisaidie police, kajuaje yule mama katoka bank, ana ten milion?
Sijui tunakwenda wapi,
Hizo hela haziwezi kuwafikisha hata wiki moja watakuwa wamechacha tena
R.I.P
Majambazi yapora mama mmoja kiasi cha shilingi milioni kumi muda mchache uliopita na kutokomea kusikojulikana. Tukio hilo limetokea leo saa 11:16 jioni inavyosemekana mdada huyo alikua akitoka benki ya CRDB tawi la Uhuru ambapo majambazi yakiwa na pikipiki yalikua yakimfuatilia, alipotoka tu wakaligonga gari lake makusudi ndipo dada huyo
aliposimama ili angaalie nani kagonga gari yake ambapo jambazi mmoja alishuka na kumpiga risasi ya kifuani na kutokomea na kiasi hicho cha pesa.
Mpaka tunaingia mitamboni hakuna habari yoyote ya kukamatwa kwa wahalifu hao.
Kwa hisani ya audifacejackson blog
Hilo nalo neno...I hate sweeping statementsIt's very sad!! R.I.P
Ila mleta taarifa umejuaje kama zilizochukuliwa ni milioni kumi wakati waliozichukua wametokomea?