Dar: Maandamano makubwa katikati ya Jiji

Dar: Maandamano makubwa katikati ya Jiji

Status
Not open for further replies.
Maandamano ya ajabu hayo! How come waandamane ili wenzao waliokamatwa kwa kukataa kuhesabiwa waachiwe, kwa nini hawakuwashinikiza walipokataa kuhesabiwa ili wahesabiwe? Hao wameshinikizwa wafanye hivyo ili kutengeneza some kind of diversion kwa ajili ya jambo ku-divert the 'big talk' of the country right now. Kama 'kikombe cha Babu' kilivyotumika wakati ule. Sometimes hawa waislamu na ccm huwa naona kama baba mmoja mama mmoja, matumbo tu ndio mbalimbali. Wanatia aibu waislamu wenzao wanaofuata sheria na kutokubali kutumika. Na hapo hata hao policcm kamwe hawato-flex a muscle, maelekezo kutoka kwa wakubwa!

Umenikumbusha mbali sana,Hivi yule 'Sheikh' Laizer KKKT aloshobokea kikombe cha babu ili kumpa Muda jakaya kujipanga na aliyekuwa 'Ustadh' msaidiz Wa jimbo kuu la Dar es salaam alowataka mumpe Baba Ridh kura za Ndio mmeshwahi kuwahoji mkajua kuwa 'damu' ya Epa iliwatia nguvu? Achana na waislam peleka tundu yako kwa wanaowapaka mafuta!
 
this is a good start, atleast muslims draw a line on sand. now we can go and look where to look a mark of truth they made. If the govenment just supporting one side, there is bad outcome them and theirs will see that country is no more bunch of stupid people as it was thought....ready my lips.
 
kwa kuwa ni waislamu na mkuu wa nchi ni muislam ndio mana wameshindwa fanya lolote ila ingukuwa chadema na wanaamini kwa mawazo yao ni wakristu ndio mana wanawaua au wanawakwamisha mipango yao

Hivi unahitaji kutolewa mapepo kwanza kwa Gwajima ndio ujue Kosa la Kughushi takwimu ni kubwa kuliko kosa la kukataa kuhesabiwa?
 
Sensa si itakwisha kesho Jumamosi, iweje hawa hawa lipuliwi matumbo? Je, Serikali inaogopa Kanzu na siyo Gwanda?
 
Hivi hakukuwa taarifa za kiinteligensia kwamba kutakuwa maandamano?
 
Nahisi Kama kulikuwa Na MOU katika ya polisi Na waandamanaji...
 
nashaka na sheria za nchi hii hasa ya sensa, waliokamatwa walikamatwa kwa sheria gani?na pia wanapoachiwa wanaachiwa kwa sheria gani?je kulikuwa na haja ya kuwakamata?je maandamano no chombo cha kisheria?Pia bado siku za senza hazijaisha , je amri ya kutofanya maandamano nani kaifuta?pia nani aliridhia maandamano hayo?napata taabu na jamii forum hasa moderator , na pia ccm kukumbatia hili

Bora wewe umenisaidia kuliweka hadharani hili jambo kwenye Red, mimi niliogopa ban nyingine!
 
Hakuna Muislaam wa siasa kali wala baridi. Uislaam ni Uislaam tu. Mafunzo yake basically yanatokana na Qur'an na Qur'an ni moja tu.

Hayo ni maneno yanayojengwa na wasio waislaam ili kuwatenganisha waislaam na kuyatamk akwako na kuyakubali ina maana wewe umemeza, chambo, ndoano, chubwi na mshipi. Tafadhali badilika na uelewe Uislaam ni mmoja tu na usidanganyile wala usidanganywe kuwa kuna Uislaam wa siasa baridi au siasa kali.

Waislaam tunaelewa kuwa wapo wanaojiita Wakristo lakini Uislaam hautambui kama kuna Dini ya Mwenyeezi Mungu inayoitwa Ukristo.

Ingekuwa kweli umesameh hii post yako isingebeba jazba namna hii.

Uislaam unatiwa aibu na wale wanaokuwa na mashtani wenzao husema kuwa sisi tu pamoja nanyi wale tulikuwa tunawadhihaki tu. Uislaa hauingii aibu kwa kuusemea kwa wema japo neno moja tu la mafundisho yake. Kama unayeelewa vizuri mafundisho ya Kiislaam hutakiwi kuona haya kwa Uislaam wako. Kipi kibaya katika Uislaam hata kikufanye uone haya?

mkuu zomba nakukubali ila leo nimekukubali zaidi, yaani nimekupa salute ya hali ya juu.
Umenena vyema sana ndugu yangu, hii vita ya kifikra inatuponza waislamu wengi tunakuwa na uelewa potof juu ya dini yetu. Big up sana mkuu, umetoa ufafanuzi mzuri sana, nadhani ndugu yetu amekuelewa.
 
huwezi amini wamefanikiwa kushiniliza serikali na NDUGU ZAO WAMEACHIWA,AMA KWELI UKISTAAJABU YA ...
 
... Kweli hii serikali ina wenyewe. Wengine wote wapangaji!
 
Hawaja achiwa huru,wametoka kwa dhamana tu,...source ITV from katibu mkuu,ila hawa waislamu wanadhani wameachiwa moja kwa moja,siku wakipelekwa mahakamani wataandamana tena.
 
Penye nia pana njia. Kesho wakristo nao wataandamana, je wataruhusiwa?
 
Give them a yard they take a mile.....

Hii yote inaletwa na serikali kuwa lege lege na siasa / dini kuingilia mambo ya msingi na sheria.., Sasa kama sheria ipo na imevunjwa kwanini mvunja sheria atake wavunja sheria waachiwe.., Do the Crime and you must Pay.., walijua fika kukataa kuhesabiwa ni kosa basi sasa either walipe hizo faini au waende jela.., after all ya Kaisari muachie Kaisari

Hoja hii nimeikubali. Hatuna serikali. Kama ipo wala haijui inachokifanya!
 
Ni kweli maandamano yanafanyika kushindikiza kuuachiwa Waislam wenzao waliokamatwa kutokana na kukataa kuandikishwa sensa.

juzi ulikua unalaani similar approach to pressurize government, leo unapanua na miguu kabisa kuchekeya
 
Hii mada si ilifungwa sasa imekuwaje

si unajua hata chakula huisha au kuwepo mwenye nyumba akiamua??? kuwa mpole tu, kula kikiisha kaa kimya... niliona hiyo niasema itarudi tu...... i was right
 
...Mkuu Zogwale ngoja chama yetu CDM iandae maandamano ya nguvu katika mikoa ya Dar, Mbeya, Ruvuma, Mwanza na Tabora kuwashinikiza "nikijiuzulu hamtapata waziri mzembe/goi goi kama mimi" alias Nchimbi, IGP na RPC wa Iringa waachie ngazi kufuatia mauaji mbali mbali yanayoendelea nchini ikiwemo yale ya Mwangosi. Natumai polisi hawatazuka na silaha zao za moto kama walivyofanya katika maandamano ya jana jijini Dar.

Mkuu BAK,
Nakuhakikisha hao hawatapigwa mabomu, Mkuu wa Nchi, IGP Said Mwema, na Kova hawawezi kuwadhuru wenzao. Thubutu ungekuta ni CDM au Wakristu, leo tungepata misiba mingi maana mji wenyewe posta ni kitovu na watu ni wengi!!!! Tanzania haina udini!!!!!! Ha ha ha ha!!!! Haya ni mambo ya awamu ya nne.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom