BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,331
...Mkuu Zogwale ngoja chama yetu CDM iandae maandamano makubwa katika mikoa ifiuatayo Dar, Mwanza, Mbeya, Ruvuma na Tabora ili kuwashinikiza "Nikijiuzulu hamtapata waziri mzembe/goi goi kama mimi" alias Nchimbi, IGP na RPC wa Iringa wajiuzulu kufuatia mauaji mbali mbali yanayoendelea nchini yakiwemo yale ya Mwangosi. Natumai polisi magamba hawatazuka na silaha zao za moto kama walivyofanya jana katika maandamano yaliyofanyika jijini Dar.
Mkuu BAK,
Nakuhakikisha hao hawatapigwa mabomu, Mkuu wa Nchi, IGP Said Mwema, na Kova hawawezi kuwadhuru wenzao. Thubutu ungekuta ni CDM au Wakristu, leo tungepata misiba mingi maana mji wenyewe posta ni kitovu na watu ni wengi!!!! Tanzania haina udini!!!!!! Ha ha ha ha!!!! Haya ni mambo ya awamu ya nne.
Last edited by a moderator: