Dar: Maandamano makubwa katikati ya Jiji

Dar: Maandamano makubwa katikati ya Jiji

Status
Not open for further replies.
Sawa mkuu,lakini kwa kuwa nchi hii inaendeshwa kwa utawala wa kisheria kwa nini wasisubili wafikishwe mahakamani na huko ingejulika mbichi na mbivu?badala ya kutumia njia ya mkato?

Mkuu wafikishwe mahakamani kwa kosa gani? hakuna kesi hapo ni uonevu lazima upigwe mapema.
 
Mkuu wafikishwe mahakamani kwa kosa gani? hakuna kesi hapo ni uonevu lazima upigwe mapema.

Mkuu ni mahakimu na majaji wetu ndiyo wanaoweza kutoa hukumu kwa mujibu wa sheria zetu za nchi!Mawakili kazi yao ni kujenga hoja ili kumwezesha hakimu hau jaji kutoa hukumu sahihi.na uzuri zaidi mtuhumiwa ana haki ya kukata rufaa kama hajalizika na hukumu!wito wangu kwa waislamu ni vema kuacha utawala wa kisheria ukachukua mkondo wake!!
 
Mimi siku zote nipo CCM nakushangaa wewe unavyoamia CUF kwa sababu ya jambo dogo tu la sensa na mbaya zaidi unasahau zile sera zetu nzuri za chama chetu chini ya mwenyekiti wetu mchapakazi JK Kikwete!!

Mkuu mie sio mtumwa wa vyama vya siasa, napambana na yeyote ambaye anakejeli na kudharau dini yangu huo ndio msimamo wangu.
 
sipo DAR mkuu!... ila nafurahi kuona waislam walivyo kuwa na umoja
Umoja kwenye maandamano hautoshi tunataka umoja pia katika shughuli za maendeleo ambayo mwisho wa siku utachochea maendeleo ya waislamu!
 
tunamuachia Mungu kwani maandiko yanasema UYATII MAMLAKA YALIYO JUU YAKO
 
Walikwua waislamu wangapi? Hiyo ilikuwa nafasi nzuri kwa serikali kuwahesabu waislamu.
 
Mkuu mie sio mtumwa wa vyama vya siasa, napambana na yeyote ambaye anakejeli na kudharau dini yangu huo ndio msimamo wangu.

Nimekusoma mkuu lakini una bahati mbaya kwa kuwa hakuna chama chochote cha siasa kitakachokizi matakwa yako ya kidini labda sheria ya nchi yetu ibadilike na kuruhusu vyama vya kidini kama kile cha muslim brotherhood cha misri!
 
Umoja kwenye maandamano hautoshi tunataka umoja pia katika shughuli za maendeleo ambayo mwisho wa siku utachochea maendeleo ya waislamu!

Kuna kitu kinafichwa hapa...inawezekana vipi watu waandamane Hadi wizara ya mambo ya ndani bila taarifa kuvuja ,kwenye vyombo Vya dola...Hii ni mbinu..tu!!!
 
Any news, manake naona wameibuka from nowhere ingawaje idadi yao ni kubwa!!

Hii ni message tosha kuwa
  • Sensa ya safari hii ina walakini mkubwa
  • Kumbe wengi hawajahesabiwa (japo tumekuwa tukiambiwa sensa inaendelea vizuri)
  • Hawa jamaa walishajipanga (walionania wapi?)
Dalili za mvua hizi (mawing tumeyaona...)
 
Kuna kitu kinafichwa hapa...inawezekana vipi watu waandamane Hadi wizara ya mambo ya ndani bila taarifa kuvuja ,kwenye vyombo Vya dola...Hii ni mbinu..tu!!!

Si unajua intelligensia inavyokuwa active when it comes to CDM issues!!!
 
Mkuu waislamu ni ndugu zangu na sina chuki nao,mimi nilichosema ni ugaidi wa kikundi cha uamsho pamoja na Ponda!kwani Ponda +Uamsho=Uislamu?Nadhani umenielewa vibaya!

Ni sawa na chadema ni zaidi ya ugaidi, mpaka imesababisha mwandishi wa habari kuuawa, hujui unachokisema, inaonesha una chuki fulani dhidi ya uamsho! Kama watu kudai haki yao ya msingi ni ugaidi basi hata chadema ni magaidi ! acha kukejeli vikundi vya kiislamu vinavyodai haki zao.

Nashangaa sana humu JF, mada ikiletwa ya waislamu wengi wa watu ambao ni chadema hugeuka na kuanza kutoa kejeli, juzi chadema imeandamana hamna lililosema! inaonesha jinsi mlivo na chuki na waislamu, na nawaambia msahau kabisa kuchukuwa hii nchi! tutahamasiaha waislamu wa nchi nzima WASIKIPIGIE CHADEMA, lbad kina Mohammed Mtoi ndio mtakaowapata.
 
Hii ni message tosha kuwa
  • Sensa ya safari hii ina walakini mkubwa
  • Kumbe wengi hawajahesabiwa (japo tumekuwa tukiambiwa sensa inaendelea vizuri)
  • Hawa jamaa walishajipanga (walionania wapi?)
Dalili za mvua hizi (mawing tumeyaona...)

Hao ni waislmu wenye umoja, sio wakuu wa chama fulani wakianza kupigwa watu wao wao hukimbia na wengine hufa !
 
Mkuu ni mahakimu na majaji wetu ndiyo wanaoweza kutoa hukumu kwa mujibu wa sheria zetu za nchi!Mawakili kazi yao ni kujenga hoja ili kumwezesha hakimu hau jaji kutoa hukumu sahihi.na uzuri zaidi mtuhumiwa ana haki ya kukata rufaa kama hajalizika na hukumu!wito wangu kwa waislamu ni vema kuacha utawala wa kisheria ukachukua mkondo wake!!

Mkuu Waislam wanaheshimu utawala wa kisheria na hakuna utawala wa sheria ambao unatakiwa kukandamiza raia wake, kuna kesi nyingi tu zinawahusu waislam lakini seria zipo wazi hakuna ambaye anafanya maandamano kuwatetea lakini la sensa ni ukandamizaji.

Mkuu mpe ushauri Dr Slaa na wenzake wanatakiwa waache kuandikia maafisa wa polisi sms za vitisho waheshimu utawala wa sheria.
 
Siku nyingine kamahamtaki kuhesabika kama mifugo 2mieni mbinu ya bwanaPAUL & baba SHAMSA,piga tick/vema mlangoni pako nahutahesabika huu ndio mgomo baridi wa sensa hapa mbeya
 
Kuna kitu kinafichwa hapa...inawezekana vipi watu waandamane Hadi wizara ya mambo ya ndani bila taarifa kuvuja ,kwenye vyombo Vya dola...Hii ni mbinu..tu!!!

Mkuu huwezi kufananisha maandamano ya Waislam na maandamano ya vyama vya siasa.
 
Umoja kwenye maandamano hautoshi tunataka umoja pia katika shughuli za maendeleo ambayo mwisho wa siku utachochea maendeleo ya waislamu!
Maendeleo gani hayo mkuu? Au ulikua unataka wajiunge na yale maandamano yenu ya kisiasa?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom