Dar: Maandamano makubwa katikati ya Jiji

Dar: Maandamano makubwa katikati ya Jiji

Status
Not open for further replies.
oooh,kumbe ndo maana unaanzishaga threads za kuhamasisha uvunjifu wa amani.kumbe unajua likisanuka wewe uko majuu hautaathrika.
Ok.jamaa angu hizo kampeni zako kabambe hazitofanikiWa na IKULU MTAISKIA KWENYE MAJIRA TU.


Mimi naongea tu sina hivyo vi-PISTOL mnavyotembea navyo kila MAHALI hadi kurudisha fomu za kugombea U-NEC... SI AUBU?

Yaani ina MAANA hata kwenda CHOONI mnabeba Ki-PISTOL? sasa nini hapo ni hatari? ni nyie wenyewe mmesha kuwa Mabomu...

kusubiri kulipuka

VI-POLISI vinafyatua WATU kama KARANGA?
 
LUCIFER WHERE SHOULD I TAKE YOU. To hell? YOU BELONG THERE NOT JF

waslm6.jpg
 

MKAFANYE KAZI SASA.. Si mseme hamna AJIRA wakati Kikwete Ameshawaonyesha njia ili Muichague CCM tena kwa KITU KIDOGO KAMA HICHO..... Ili Mpate Ajira kwa wingi

Ngoja Nipeleke Michango ya Kujenga Maendeleo kwanza Nyie Andamaneni, mje mkute Maeneo Yameisha tayari
 
Kinachofurahisha juu ya haya maandamano ni jinsi inavyoonekana kama kuistusha serikali hadi kupatwa na butwaa. Kumbe watanzania tungejielewa na kuitumia nguvu ya umma kutetea haki zetu tungefanya serikali iwajibike kwa wananchi
 
hii ndio tz,, kukiwa na
jambo la kutingisha amani ya nchi linaibuka jingine hapo huwezi ona
gobole wala bomu la machozi hii ni kujikosha! Siri~kale ina mbinu za
kichawi hii

hii nchi kizungu mkuti jmn...tutajuaje kama ndo mbinu yakutaka kuzima kilichotokea iringa,na kuconcetrate kwa hili???...usanii tu.am tired n sick of ths country
 
Huna nyimbo Mohammed Mtoi, soma mwanzo wa thread mpaka mwisho, na sasa hivi Ritz amekuletea mtu anakejeli hata wale walorukuu kumuomba Rehma Mola wao kuwa watu wanaopenda mambo ya Mombasa ! give me a break! hao ndio unataka uwakumbatie just kwa sababu unaipenda chadema ! angalia ndugu yangu unakoelekea utakuja kosa radhi na rehma za Muumba wako useme umefanyiwa kumbe ni imani yako mbovu na dhaifu !


Acha mambo yako wewe mkomatembo, sasa hapa chadema inaingiaje hapa? shida wapi ndugu yangu? ikija hoja ya uislamu unaingiza uchadema ikija hoja ya chadema unaingiza uislamu, Mohamed Mtoi namkubali sana ana mtazamo wa kipekee sana, nakushauri wewe na wenzio wenye tabia kama yako mjifunze kutoka kwake, kwa nini unakuwa na inferiority complex? jiamini hakuna dini mbaya wala hakuna mwenye mamlaka ya ku-judge dini ya mtu yeyote, kila mtu awe huru kufuata imani yake, kwa sababu hakuna aliyekufa then akarudi kusema ameenda jehanamu/ahera kwa kuwa alifuata dini fulani, si mkristo, mpagani wala muislamu au dhehebu lingine lolote.

Hongera Mohamed Mtoi kwa kuwa na mtazamo ulionao katika masuala ya kijamii BIGup brother.
 
Last edited by a moderator:
waislam wastaarabu sana.. maandamano yao ni ya amani.. hakuna hata kuku aliyepigwa teke,,
 
mi nadhani hata haya maandamano walaumiwe chadema tu, wameshaambukiza makundi mengine
 
Namuona mtu wa shoka Ponda ndio anayeongoza umati mkubwa wa maandamano.
Vipi Mkuu Ritz maandamano yenu yaliruhusiwa na Polisi? Au?
 
Last edited by a moderator:
waislam wastaarabu sana.. maandamano yao ni ya amani.. hakuna hata kuku aliyepigwa teke,,


Waislamu ni wastaarabu sawa... lakini kutopigwa kwao hakutokani na ustaraabu wao, kama hujui polisi hawawezi kuwagusa kwa sababu rais ni muislamu au hakuna order iliyotoka juu kuwa wasambaratishwe, by the way hivi muda wa sensa umeshapita au bado...?
 
Licha ya kwamba vyote ni vikundi vya ugaidi,lakini kingine kilisimamia "white superiority" ama "supremacy",na kingine ofcourse ni "Islam Superiority"ama kuisilimisha dunia,sasa unachotaka kusema ni kitu gani hapa?Kwamba mnaitafuta hiyo superiority Tanzania?acha hizo wewe!

Hakuna kitu kinachoitwa Islam supremacy wala kutaka kuisilimisha dunia, weka ushahidi kama unacho? yakiwakumba huwa mko tayari kudanganya.

Halazimishwi mtu kuingia kwenye Uislaam. Soma Uislaam uujuwe.

Qur'an 109:

Say, "O disbelievers,
I do not worship what you worship.
Nor are you worshippers of what I worship.
Nor will I be a worshipper of what you worship.
Nor will you be worshippers of what I worship.
For you is your religion, and for me is my religion."
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom