Dar: Maandamano makubwa katikati ya Jiji

Dar: Maandamano makubwa katikati ya Jiji

Status
Not open for further replies.
Kama maandamano yaliyofanywa na Waislam kuelekea ofisi ya Mchimbi yamepelekea Waislamu waliogomea sensa kuachiwa ni dhahiri hawakuwa na kosa . Kwa sababu hiyo Dr. mchimbi anatakiwa ajiuzulu kwa kushindwa kazi la sivyo awaeleze Watanzania kama walikamatwa kimakosa au amewaogopa waislam. Katika historia ya nchi yetu na kwa kumbukumbu za karibuni sijawahi kuona maandamano kufanywa hadi makao makuu ya Jeshi la polisi huku polis wakisindikiza.

Huu ni udhaifu mkubwa wa serikali kwani kitu chochote kingeweza kutokea eti kisa waislam. Maandamana ya waislam yalikuwa violent kuliko ya CHADEMA huku wakitoa matamko ya kutishia amani ya dini na nchi kwa ujumla lakini wameachwa hadi kufika Makao makuu ya Polisi. Tunabaki na maswali mengi mno kuhusu implication na mesage behind ambayo JK anataka wawasio waislam tuipate.

Kama kweli hawa waislam waliogomea sensa walitenda kosa haikuwepo sababu ya kuwaachia kwa shinikizo la maandamano kwani next time wataandamana tena kutaka Malasusa au Kadinali Pengo aachie ngazi na serikali ika comply. Lazima serikali iangalie implication kwani hili nahesabu ni mmojawapo ya makosa yasiyo ya lazima na ya kizembe kabisa kuwahi fanywa na serikali ya JK. Naomba kama hawa Waislam walikamatwa kimakosa Waziri Mchimbi ajiuzulu kwa kusababisha uvunjivu wa amani kwa uwezo wake mdogo wa kutoweza kutofautisha lipi ni kosa na lipi siyo kwani nchi itayumba hii.
 
Clouds FM Imeripoti muda si mrefu kuwa muafaka umefikiwa kuwa wale wote waliokamatwa kwa ajili ya sensa waachiwe mara moja.
Wanahamia msikiti wa kichangani kupanga ufuatiaji wa agizo hilo
 





nani kachoma kanisa huku bara..? hebu taja! ...

zanzbar uamsho walishakataa kwamba wanahusika mbona unalazimisha

huwezi kujua vinavyotuletea maendeleo sababu weye sio muislam

ahsante acha tutumike!

Makanisa yamechomwa Bagamoyo jana. Nadhani serikali isingekubali leo kuwaachia waislamu waliokamatwa makanisa yangechomwa. Na Polisi walikuwa hata hawajawahi kwenye makanisa kutoa ulinzi. Ingekuwa bonge la BH
 
TAIFA LETU TULIPENDALO SAAANA LA TANZANIA HIVI SASA LIKO NJIANI KUANGAMIA SHAURI YA KUKOSA UONGOZI SIKIVU, ADILIFU NA WENYE HEKIMA

"Taifaa la Tanzania linaumwa tena linaugua ugonjwa wa hatari sana tangu uchaguzi wa Oktoba 2010, kufanyike juhudi za haraka kulitibu taifaa," alisikika miezi michahe akitoa hii kauli yenye hekima tele yule Mhe Mbuye wa Arusha alie likizoni Godless Lema.

Hata hivyo, ni wangapi ndani ya nchi hii walau waliweza kumuazima sikio na kutafakari ki-undani zaidi hii kauli???????????

Mheshimiwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete na maswahiba wake wanaoendelea kufilisi nchi hii kupitia Dowans, EPA na rundo la fedha za ki-shetani kwenye Benki Uswisi, wataendeleaa kuishi kwa matumaini ya ulinzi wa FFU mpaka lini?????????

Ama kweli Tanzania taifa langu linaangamia kwa kukosa uongozi wenye hekima na uadilifu.

Kaskazini, mashariki na kusini kuzunguka nje ya uzio wa Ikulu kuna idadi kubwa ya Askari FFU na vifaa vya kazi. Ni idadi kubwa kuliko siku zingine.

Upande wa baharini mahali ambapo ni eneo la kuegesha magari kukiwa na sherehe kubwa ikulu, kuna gari ya maji ya washawasha, defender nne na FFU wamebeba bunduki na mabomu ya machozi.
 
Nchi hii imeacha kufata misingi ya SHERIA tumegubikwa na SHARIA
 
Hata Ku KLux Klan sio Ukristo.

Licha ya kwamba vyote ni vikundi vya ugaidi,lakini kingine kilisimamia "white superiority" ama "supremacy",na kingine ofcourse ni "Islam Superiority"ama kuisilimisha dunia,sasa unachotaka kusema ni kitu gani hapa?Kwamba mnaitafuta hiyo superiority Tanzania?acha hizo wewe!
 
Serikali ya kishikaji hii,kaazi kweli kweli,any way ngoja wamalizie muda wao maana wanaondoka hawa.
 
Hivi intellijensia ya Polisi haikujua maandamano haya ili kuyazuia? Mbona hii intellijensia inafanya kazi one side tuu

Bwana we hii ni bongoland huwezi kuelewa pengine wanajua na kuruhusu maandamano kiaina si unajua tena utawala usiokuwa na transparency? What we see and hear is not necessarily the real thing!!
 
Lingine ni kuwaombea ndugu zetu hao brain washed wasije wakapigwa risasi na hawa askari wa ccm.

Lingine Ningewaona wa Maana kama Walio andamana wangekuwa hawajahesabiwa, ila wamehesabiwa halafu wanawafuata waliohesabiwa pia... Na wanaConclude

KIPENGELE CHA DINI KIMEWEKWA, HAHAHAHAHAHA
 
Siyo waislam wote ni watu wa amani.Kuna mujahedeen ama Alkaeda nk.Sasa hao utawakuta wanapata baraka za misikiti.Nguvu za maextremist wenye msimamo mkali imewashinda moderates.Na consenquences ni for all regardless.And that's the sad part of it.
Na nikwambie kitu mkuu? Nisiowapenda mimi ni hawa waislamu 'extremists' ambao kila kukicha wanajambisha watu kwa vitisho. Na isitoshe, hawa wanadhalilisha uislamu sana kwani watu wengine wanafikiri kuwa uislamu ni dini ya vurugu na ukitaka kuwa muislamu mzuri lazima uwe mtukutu kwa saaana, lakini dini ya kiislamu haipo hivyo, basi tu hao, ambao katika percentage ya waislamu ni wengi, wanapenda shari muda wote. Sometimes huwa najiuliza, hivi kwa miaka 100 ijayo, uislamu utakuwepo kweli? Maana kama mambo yanakwenda hivi, mh, hivi vizazi vipya na vijavyo..., lol, kabila tu ndo mtu hawezi kubadili.
 
Hawa hawatapigwa mabomu wal nini.Ikitokea hivyo waziri hatalala salama.Maandamano hayo yangekuwa ya chadema mngesikia polisi.Hivi ina maana plisi hawakujua na lini walipeleka kibali cha kuandamana?Hapa ndipo inakubali kuwa serikali hii ni dhaifu kuliko maelezo
 

MUNGU awabariki... Miaka 50 Malalamiko yenu hatukuwahi kuyaona kwenye Maandamano... Sasa hivi yanatisha... YANA UBABE,

NGUVU... hatujawahi kuona tunayaona kwenye TV kwenye nchi za watu wengine; kwanini tusiulize? tulidhani kudai haki ilikuwa

kuna njia tofauti na pale kweni nyinyi RAIS ni MWISLAMU; MAKAMU MWISLAMU na WAZIRI WA ULINZI MWISLAMU; JAJI

MKUU MWISLAMU; JAJI KIONGOZI MWISLAMU nilidhani kuna njia za kiusalama kufuata... SIO KUTISHIA JIJI ZIMA...

Hujiu lolote kuhusu Uislam kila siku nakuambia wewe una chuki kubwa dhidi ya Uislam...angalia usije kupata ugonjwa wa moyo bure.
 
Kama maandamano yaliyofanywa na Waislam kuelekea ofisi ya Mchimbi yamepelekea Waislamu waliogomea sensa kuachiwa ni dhahiri hawakuwa na kosa . Kwa sababu hiyo Dr. mchimbi anatakiwa ajiuzulu kwa kushindwa kazi la sivyo awaeleze Watanzania kama walikamatwa kimakosa au amewaogopa waislam. Katika historia ya nchi yetu na kwa kumbukumbu za karibuni sijawahi kuona maandamano kufanywa hadi makao makuu ya Jeshi la polisi huku polis wakisindikiza.

Huu ni udhaifu mkubwa wa serikali kwani kitu chochote kingeweza kutokea eti kisa waislam. Maandamana ya waislam yalikuwa violent kuliko ya CHADEMA huku wakitoa matamko ya kutishia amani ya dini na nchi kwa ujumla lakini wameachwa hadi kufika Makao makuu ya Polisi. Tunabaki na maswali mengi mno kuhusu implication na mesage behind ambayo JK anataka wawasio waislam tuipate.

Kama kweli hawa waislam waliogomea sensa walitenda kosa haikuwepo sababu ya kuwaachia kwa shinikizo la maandamano kwani next time wataandamana tena kutaka Malasusa au Kadinali Pengo aachie ngazi na serikali ika comply. Lazima serikali iangalie implication kwani hili nahesabu ni mmojawapo ya makosa yasiyo ya lazima na ya kizembe kabisa kuwahi fanywa na serikali ya JK. Naomba kama hawa Waislam walikamatwa kimakosa Waziri Mchimbi ajiuzulu kwa kusababisha uvunjivu wa amani kwa uwezo wake mdogo wa kutoweza kutofautisha lipi ni kosa na lipi siyo kwani nchi itayumba hii.
Mkuu mvumbuzi wewe ndio umevumbua hili,wenzako serikalini wanakula bata wanajua wamesolve issue kilainiiiii,kama kumsukuma mlevi.... kumbe!!!
 
Nawapongeza Waislaam wote walioweza kuitikia wito huu wa kuandamana wakidai kuachiliwa kwa Waislaam wenzao waliokamatwa kwa kukataa kuhesabiwa. Ushujaa mliouonesha ni mfano wa kuigwa pale mtu yeyote yule anapohisi haki haikutendeka kwake na hicho ndicho binadamu wote wanatakiwa kukitambua...haki haiombwi inadaiwa kwa njia yoyote ile inayoweza kulazimisha hiyo haki itolewe. Hongereni Waislaam, mmefanya jambo jema sana na la kuigwa kwa kuwawezesha wenzenu waliokamatwa kuachiliwa...naamini huo ndio uwe msimamo wa Watanzania kwa ujumla wao kuhusu haki zao za msingi zinapominywa na dola hii ya kifashisti ya CCM.

Naomba nieleweke hapa...siyo kwamba nilikuwa nakubaliana na dai lenyewe, hapana, ila kwa kuwa dola imekubali dai lenu na kuwaachia huru watuhumiwa, yawezekana dola ilikosea. Swali langu kwenu ni moja tu...hawa watu sasa wako huru na bila shaka mnajumuika nao hivi sasa baada ya ushindi, je kama wangekuwa wamelipuliwa kama Marehemu Mwangosi, dai lenu lingekuwa lipi? Je, hamuoni kuwa kwa kilichotokea juzi kijijini Nyololo mkoani Iringa Kikwete, Saidi Mwema na akina Kova, imebidi waruhusu maandamano yenu? Mnaonaje mkiipongeza na kuiunga mkono Chadema kwa kuwaamsha wananchi kuhusu kudai haki nchini? Hili ni wazo tu!
 
miminataka waunguze hiyo wizara hapo .. Wanangoja nini? Piga moto wizara hiyo

Wewe unataka nani wew ni nani? wewe si Chadema nendeni mkapige moto wenyewe umekaa kwenye Laptop unatoa amri ingia front..
 
Mkuu mimi sihitaji kuwa na nyimbo maana sio mwana kwaya wala muimba bongo flavor! Ninacho kisimamia na ambacho nitakisimamia hata kutofautiana na wewe muislamu mwenzangu ni hizi kauli za kuchukia na kuleta uhamasa wa dhihiri kwa watu wa dini nyingine wakati uislamu hautufundishi hivyo. Kama mtu mmoja akileta dharau kaleta yeye kama yeye na nita deal naye yeye na sio watu wa dini yake, dhehebu lake. Huyualiye tukana anahitaji kuelemishwa ili ayaone makosa yake ndio maana hata waislamu wenzetu huwa tunawalingania kwenye dini yetu, sio?

Mkuu. Mimi siamini uislamu wenye kujengeana chuki na uhasama kama baadhi ya waislamu wenzangu wanavyotaka/kuonyesha tuwachukie na kuwajengea uhasama wakristo wote! Najua hawa wanao onyesha chuki za wazi wanazionyesha hapa kwenye bodi lakini chuki hizo haziendi moja kwa moja mpaka kwa masheikh wetu au viongozi wetu wanao tufundisha kuwa uislamu ni dini ya amani na upendo, chuki zao/zenu zipo hapa kwa vile tu ziko.

Naamini kwa haya ninayo yafanya kwa kuheshimu imani za wengine, dini za wengine, utu wa watu wengine na kuwaelimisha pale inapo bidi uzuri wa dini yangu, basi mwenyezi Mungu aliye mwingi wa rehma hata nichukia na kuniadhibu eti kwa kuwa naishabikia Chadema.

Salaam alykum.

Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums.
Mkuu umenifurahisha na majibu yako murua.
 
hapo wamefuatwa hawauwi lakini kusikowahusu wanafuata na kuua kaazi kweli kweli Policcm
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom