Uvivu wa fikra,uswahili na upumbavu ndyo umewajaa nyote mlocomment negatively..against Dar LuxBus.. tatizo hampendi kuwa Creatives, actives and honest...hii ni principle fupi tu kuyakuta mafanikio hayo anoyahusisha na Mkuu wa Kaya.. Opportunities sasa zipo tena nyingi tu lkn ninyi mkitumia muda wenu kupiga domo humu mtabaki hvyo hvyo mwisho njaa itakufanya muolewe..tena waoaji wa style za D. Comeroun.. huyu mwenye Dar Lux ni bwana mdogo sana tena huenda hata unamzidi kiumri but dogo yupo smart on thinking kfupi ni mpiganaji na halali..tena sidhani kama ashawah kutana uso kwa uso na huyo mkuu wa kaya na mwnaye kama mnavyodai.. Wasiwasi mwingne ni elimu zenu maana mnaonekana hata hamjui nn mnacokiongelea hata mkatoka nje ya mada husika...huenda pia mkawa ni wapambe wa baadhi ya wadau kwe sekta hii ambao si wabunif wanategemea thirt part consultancy kuendesha biznes zao na badala yake wanatumia mbina za fitna kuua biznes za wengne.. mimi naamini kwa kichwa cha huyu dogo,subirini muone mapinduzi kwenye hii sekta, labda wamwue maana wivu nao ukizidi tabu! Ana basi 1 tu maandalizi yake yanaashiria kujipanga na katizama mbele...kidogo kidogo ataongeza mabasi kwani mbuyu pia ilianza kuota kama mchicha..