Dar Lux Services

Dar Lux Services

..nasikia pia dogo naye anamiliki TSN supermarkets, Dalbit (petroleum transporting company), majengo kadhaa town n amikoani na pia kajinunulia shamba darasa kule mbeya kwa sh milioni 300 tu, shamba kubwa lina mifugo na zana zote za kisasa i.e tractors, graders, bulldozers, combined ploughs, disc harrows, malori, etc... daaaah!

Jinga kabisa, wanaonesha jinsi uwezo wao ulivyo mdogo, under situation ya freedom is coming tommorow, bado mtu anaendelea kuitafuna inji, si ujinga huu?
 
Labda yatumiwe kama malori ya kusambazia mafenesi, korosho na machungwa. Route ya Dar-Arusha amekosea sana

ni ghafla sana kusimamia gari zaidi ya 70, halafu zote ziwe zimeingia kwa wakati mmoja.
 
mimi sio mchaga ila hamna bus ninalopenda kupanda kama dar express...hayo ya dar lux bus wakapandishe wapumbavu wenzao
 
Dar Express..........????????
Dar Lux ...........???????

Something is not okay here
 
kama ni kweli jina "dar lux" basi jamaa anajua na kukubali Dar express wanafanya vizuri ktk biashara yao so anataka kuiba/kukaribia jina hilo labda atawakanganya na kuwavuta wateja, As said biashara, biashara ni karama hata ukiwa na fedha na ukakingiwa vifua(sumatra,police) bado waweza kushindwa kuendesha biashara hiyo. Lets wait and see
 
Mhm, kama ni biashara za kusimamiwa na watu binafsi sawa, lakini ikiwa kampuni yenye recruitment nzuri, ni ngumu kuanguka!
 
Ni ngumu kumpiku kibiashara mzee mremi na hayo ma yutong yao.ulizia skandnavia ilipo,dhulma hailipi hata siku moja.
 
ni kampuni ya usafirishaji wa abiria mikoani, imeshakamilisha ofisizake pale ubungo sheli, mahali zilipokuwa afisi za allys bus. kwa mujibu wa tangazo lao wanakwenda karibu destination zote nchini isipokuwa chache sana plus nairobi na kampala to mention the few. habari nilizozipata toka kwa mfanyakazi wa kampuni hiyo ni kuwa karibuni zitaingia basi 50 kwa kuanzia....
My take: nahisi kuwa hii ndio kampuni inayohusishwa na mkuu wa kaya na hujuma dhidi ya kampuni kongwe na inayolipa kodi, dar express.
source: mimi mwenyewe, mphamvu letsholonyane!

Kama kampuni hii haikutokana na kuunganisha makampuni kadhaa ya mabasi yanayofanya safari zake hapa nchini basi mimi nakuwa na wasiwasi mkubwa kuwa hizi ni fedha zetu. Haiwezekani mtu hata kama ni tajiri uanzishe biashara kubwa namna hii bila kuwa na uzoefu wa kutosha. Kwa kuwa fedha si za kwake, inaonekana biashara hii itakuwa ni ya kujionyesha kuwa huyu mmiliki anauwezo lakini si kwamba anataka kufanya biashara. Hizi ni fedha haramu, zimetoka wapi zitaendelea kuwa haramu hata kama ni za marehemu Gaddafi zitaendelea kuwa haramu. Nahisi pia kuwa hana mpango mzuri na makampuni yaliyopo kwani atayaua na kutuacha yatima. Mwenye akili na atambue mpango huu, ee Mungu tuepushe na balaa hili. Kama kuna mtu anamtambua mmiliki wa kampuni hii basi ni vizuri habari zake zikaanikwa ili watanzania tuchukue tahadhari.
 
..nasikia pia dogo naye anamiliki TSN supermarkets, Dalbit (petroleum transporting company), majengo kadhaa town n amikoani na pia kajinunulia shamba darasa kule mbeya kwa sh milioni 300 tu, shamba kubwa lina mifugo na zana zote za kisasa i.e tractors, graders, bulldozers, combined ploughs, disc harrows, malori, etc... daaaah!
Vile anamiliki madude kadhaa kule Songea na msimamizi wake ni Said Kigwenembe. Huyu dogo anasumbua sana watu in the name of Riz
 
yale mabasi yanaitwaga mombasa raha siyaonagi tene hii dar lux haina connection nao im curios
 
yale mabasi yanaitwaga mombasa raha siyaonagi tena hii dar lux haina connection nao im curios
 
kaka, dar lux sidhani kama ni replacement ya kampuni nyingine, ni mziki mpya kabisa unaosimamia show wenyewe. taarifa za ndani zinasema kuwa wanatarajiwa kuleta kwanza mabasi 50 kwa kuanzia, halafu walete mengine. huyo mmiliki wa mombasa raha angeyaweza haya?
 
Kama kampuni hii haikutokana na kuunganisha makampuni kadhaa ya mabasi yanayofanya safari zake hapa nchini basi mimi nakuwa na wasiwasi mkubwa kuwa hizi ni fedha zetu. Haiwezekani mtu hata kama ni tajiri uanzishe biashara kubwa namna hii bila kuwa na uzoefu wa kutosha. Kwa kuwa fedha si za kwake, inaonekana biashara hii itakuwa ni ya kujionyesha kuwa huyu mmiliki anauwezo lakini si kwamba anataka kufanya biashara. Hizi ni fedha haramu, zimetoka wapi zitaendelea kuwa haramu hata kama ni za marehemu Gaddafi zitaendelea kuwa haramu. Nahisi pia kuwa hana mpango mzuri na makampuni yaliyopo kwani atayaua na kutuacha yatima. Mwenye akili na atambue mpango huu, ee Mungu tuepushe na balaa hili. Kama kuna mtu anamtambua mmiliki wa kampuni hii basi ni vizuri habari zake zikaanikwa ili watanzania tuchukue tahadhari.

kuna haja ya hili kampuni kuchekiwa, lijulikane wapi lilikopa pesa za mtaji, na liliweka mali zepi kama dhamana. unaweza kuta the whole lugalo military base iliwekwa bondi ili mtu akopesheke!
 
Vile anamiliki madude kadhaa kule Songea na msimamizi wake ni Said Kigwenembe. Huyu dogo anasumbua sana watu in the name of Riz

hata huku mikocheni uswahilini kuna kundi la wapambe wake! hao mechi zote za uwanja wa taifa huwa wanaingia bure, tena vip! mkizozana kidogo ugomvi wa bar ujue utakiona!
 
Back
Top Bottom