Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,769
- 54,903
Mambo si kama tunavyodhani abiriaHawa ni wajanja . Wamejiingiza kwenye Chaka la ufisadi (ccm) ni wabunge. Hivyo kuna tozo na Kodi wanakwepa kwa nafasi zao.
Wamiliki wa mabasi wote wanakiri kwamba ukitekeleza maelekezo yote na taratibu zote za serikali ktk Kodi na tozo mbalimbali mabasi hayana faida.
Zuberi yupo wewe , hizo gari za kisesa , kisbo ,kibo ,zube trans na Zuberi trans unafikiri ni za nani ?Daah.... Shabiby kidume sana. Tangu nazaliwa yupo tu.
Naona Zuberi na Najmunisa nao washakufa.
Nondo kweli kweli hii....👏Ukiwa na biashara inayoitaji investment ya 10Bn, halafu wewe una 12 Bn, kuwa makini sana.
Unaweza u kafanya masifa makubwa bila sababu, na yasiongeze sales.
Huyu bwana alianza kwa sifa sana, na investment kubwa, ila hakuwekeza kwenye sales.
Nakumbuka kupanda ma Bus yake twice, yakiwa na watu chini ya 25, nikasema he will fail.
Authentic/Organic growth is a key in business, sio kwa sababu una access na mkopo ukope.
Mimi sijawahi kopa Bank hata 2m, ila nishawahi fuatwa na Bank wakitaka wanikopeshe 200m.
Hii ni baada ya kuona biashara yangu inaenda na inflow and outflow of cash ni nzuri.
Huwezi chukua mkopo sababu umefuatwa na Bank, chukua sababu umeona fursa.
Marco Polo za Zuberi bado zinadunda tu mpaka leo .Lakini zuberi na najim wamedumu sana nao kitambo
Unaamini alifuatwa na bank kukopeshwa mil 200 akakataa?biashara bila mkopo haiendiIsitoshe kusema hii comment ndio bora zaidi hadi sasa ndani ya huu mwaka!!
ChaiMagu alikomba kwenye account zake kiasi kikubwa sana cha pesa na chanzo ni bus za Darlux kubeba waombolezaji kwenye msiba wa kaka yake JK Chalinze.. Bulimia Lux kama kumi hivi.. Magu kuuliza akaambiwa na chawa ni za JK
Sent using Jamii Forums mobile app
Mchina usifunge nae ndoa akileta faida uzaMarco Polo za Zuberi bado zinadunda tu mpaka leo .
Ingawa ana gari za kichina baadhi ila Marco Polo na Scania ni nyingi .
Haya mabati ya kichina hawa wanaoingia kwenye industry ndio wanapotea nayo
Hata Abood ana Marco Polo nyingi kuliko mabati ya kichina
Duh!Hao wameuza Sana Meno ya tembo wa Mikumi, hapo wanatakatisha pesa Tu na ndio maana wanatumia gharama yoyote wabaki kuwa wabunge.
Nimegugo hilo jina la Ally Edha Awadh. Kwanza jamaa ana hela balaa, ila nimebaki na maswali mengi mno? Jamaa katoa wapi pesa yote hii?Mmiliki wa Lake Energies, Ally Edha Awadh hajawahi kufanya biashara ya mabasi
Wajifunze Kwa Abood je yeye huwa anafanyaje zaidi ya miaka 25 yrs
BM yuko vizuri sana kila baada ya miezi sita anadondosha chuma mpya pale DP WorldNimesema kwenye uzi mwingine, I'll c&p here:
Biashara ya mabasi ni biashara pasua kichwa kuliko zote.
Scandinavia iliyofanya Mapinduzi kwenye hii sekta ilikufa kifo Cha mende.
Hood imekufa.
Sumry chali.
Sauli yupo hoi siku zake zinahesabika, Achimwene got him in the headlock.
Dar express, Dar Lux, Rungwe, BM waliokuwa powerhouse kwenye hii sekta wote wapo hoi. Etc etc
Turnover kwenye hii sekta ni kubwa mno. Kila miaka miwili wanakuja wengine na kupotea kama upepo household names.
Utasema usimamizi na sababu zote ila sio rahisi kuamini hao wote hawajui wanachokifanya. Fanya hii biashara kama unataka kufukia pesa zako.
Mkuu taratibu, muheshimu kidogo😀🤣Nawe unaitwa BABA kabisa Nyumbani kwako eti WANAZI!!!ndio nyie watu wazima na ndevu zenu huwa mnakesha mabarabarani kushangilia mabasi,wapuuzi sana nyie
Dah sema battle ya jk na magu, sijui chanzo ni kipi🤒Magu alikomba kwenye account zake kiasi kikubwa sana cha pesa na chanzo ni bus za Darlux kubeba waombolezaji kwenye msiba wa kaka yake JK Chalinze.. Bulimia Lux kama kumi hivi.. Magu kuuliza akaambiwa na chawa ni za JK
Sent using Jamii Forums mobile app
Tetesi: KDah sema battle ya jk na magu, sijui chanzo ni kipi🤒
TRA ni mduduNiliwahi kufanya interview na mmiliki wa hizi chuma. Full confidence/misifa Kama yote. Nn kimetokea? Uchawi? Alilewa sifa? Customer care? Nchi nyingine hawa wafanyabiashara husaidiwa maana hutengeneza ajira Ila hapa, mpaka utoke damu masikion ndo TRA wakuachie
View attachment 2860514
Uko sahihi Sana Kaka, sometimes ni ngumu kuji beba mwenyewe.Y'all don't know how money works. Endeleeni kudunduliza hadi siku mpate mtaji wa 10M USD in your lifetime. Kama unataka kuscale up your business utaenda bank mwenyewe.
EgehdTetesi: K
Biashara ya magari ni biashara kichaa kabisaUkitaka kujulikana fanya biashara ya mabus ila ni pasua kichwa,
Nasoma historia yake hapa kaanza biashara ya mitumba kutoka Canada mwaka 2006.Nimegugo hilo jina la Ally Edha Awadh. Kwanza jamaa ana hela balaa, ila nimebaki na maswali mengi mno? Jamaa katoa wapi pesa yote hii?