mchumi tumbo
JF-Expert Member
- Mar 2, 2018
- 830
- 995
Ya kahama nasikia inaondoka saa 5 na nusu badala ya saa kumi ma mbili,wametuma jumbe kuwaomba radhi abiria
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah umenikumbusha safari moja natoka iringa kuja dar nikapanda higer ya upendo, ile gari haina mwendo kabisa na dereva wake alikuwa mzito mzito tulikuwa tunaenda mwendo wa maharusi, tulitoka iringa kama saa 7.00 asubuh tukafika dar karibia saa 12 jioni niliudhika sana, tangu siku hiyo sikupanda tena kampuni ya upendo na kila nikiona basi la mchina limeandikwa higer naikumbuka ile safari!Hata mimi nimeshangaa maana kwenye gari za mchina naona Dragoni,zohngtong na youtong ndo zina tembea ila Higher hakuna maajabu gari zito
Sent using Jamii Forums mobile app
Speed na uimara naona golden dragon ipo juu. Speed,luxury na mvuto naona zhong thong ipo juuHivi wazee haya mabasi ya kichina kati ya Youtong,zohngtong climber,Dragon,king long,Higher nk lipi liko vyema.
Uimara
Speed
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa nakereka sana na ubishi wa namna hii, we utakua msafwa au mmalila.Majinja ni story za kizaman, yan watu tunaongelea vyuma vya maana we unaleta story za malory?
Kipigo cha ustaadh rama jana hiyo, yan ustaadh anaosha gari tunduma majinja ndo zinahangaika kushuka mlima mbaliziView attachment 1296835
Sent using Jamii Forums mobile app
Speed na uimara naona golden dragon ipo juu. Speed,luxury na mvuto naona zhong thong ipo juu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa nakereka sana na ubishi wa namna hii, we utakua msafwa au mmalila.
Scania haiwezi kushindana na hizo macho ndogo. Labda aliingia stendi mjini kushusha mzigo au popote katuliza hao kina Jaja wakapita na mimbio yao wawahi kufika.huko njiani toka dar ukute wamekula sana za mbavu.
yatakuwa yale yale kama ya PRINCESS MURO!
Dah umenikumbusha safari moja natoka iringa kuja dar nikapanda higer ya upendo, ile gari haina mwendo kabisa na dereva wake alikuwa mzito mzito tulikuwa tunaenda mwendo wa maharusi, tulitoka iringa kama saa 7.00 asubuh tukafika dar karibia saa 12 jioni niliudhika sana, tangu siku hiyo sikupanda tena kampuni ya upendo na kila nikiona basi la mchina limeandikwa higer naikumbuka ile safari!
Sent using Jamii Forums mobile app
Speed na uimara naona golden dragon ipo juu. Speed,luxury na mvuto naona zhong thong ipo juu
Sent using Jamii Forums mobile app
Say no more famSpeed na uimara naona golden dragon ipo juu. Speed,luxury na mvuto naona zhong thong ipo juu
Sent using Jamii Forums mobile app
Dragon ji nzito sana.. nadhani kwa speed nzuri yutong and zongtong wapo vizuri kwa mabasi ya kichina ya tanzania.
Higer ni kwa confortability
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi kuhusu majinja ni shahidi mzuri hasa zikiwa zinatoka Sumbawanga karibu kila siku ndo za kwanza kuingia pale ubungo mara kadhaa nimeipanda mchana saa 8 nikitokea mafinga kwenda Dar na mara zote huyo mchina anaousema yeye haufui dafu hasa mlimani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo mkuu nikiweka Dragon na zhongtong hapa kwenye speed nani atawini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndo usiseme sasa, na wafanyakazi wake wote ni majeuri na viburi co wadada wala wakaka. Wanaboa sana sijawahi kuipenda super feo katika maisha yangu