Dar Lux, kampuni bora ya mabasi inayoelekea kaburini

Dar Lux, kampuni bora ya mabasi inayoelekea kaburini

Punguza matatizo bwana mdogo
Mi sio msukuma

Mi sio msukuma ujue... Yaani ulivyonielezea vibaya, nimejiona kama nipo mnadani nakula muwa, kando ya baiskeli yangu yenye tairi za rangi ya orange...

Siku nyingine sikupungii mkono ihiiiii... Au sasa itabidi nipande "nyu fosi" ili nisikuone.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dar lux anawatakieni Heri ya mwaka mpya[emoji846]
81038618_578933706217688_8330530498740748288_n.jpeg
 
wanaopanda Dar lux wanapanda kwa mazoea ila najua yeyote aliepanda hatarudia! Kwa anaelitetea kampuni hili hakuna haja ya kubishana aende akapande! Hatarudia.

hii kampuni kiuharisia imekufa! Magari yte yameoza! Kilichobaki ni rangi na jina la kampuni ndilo linalouza!
nashangaa hata police wanafungia magari ya mikoani ila haya yenye majina makubwa hawayagusi! Kampuni hii ikikaguliwa magari yake bila rushwa nigari chache sana zitakazo baki barabarani labda za arusha! Na ulaguzi usiwe wakuchungulia kwakuwa gari hizi engine zinachemsha! Hivyo ukaguzi wa kulala uvunguni mwa gari na kunyonga stearing na seat belt huo cyo ukaguzi. Kifupi magari mengi yameoza ila kwa tz ytu mpaka yaue.
 
Yakiua tu. Utasikia kampuni imefungiwa. Ila kuifungia kabla ya mauaji hamna, make hii kampuni kilasiku watu wanalala njiani au wanakesha njiani.
 
U
Ndugu wanajamvi leo asubuhi ya tarehe 5 nikiwa nimesindikiza abiria wangu anaesafiri kwenda Dar kwa kutumia basi la Dar Lux toka Mwanza nimeshuhudia mabasi yote mawili yakiwa na kasoro ambazo zimesababisha mabasi yote kuchelewa kuondoka katika muda muafaka!!

Basi namba moja ambalo ni Higer lilikuwa na tatizo la betri mbovu na basi namba mbili ambalo ni Marcopolo limeshindwa kupanda kilima cha kutokea Stendi ya mabasi ya Nyegezi kiasi cha kufikia kushusha abiria wote!!
Dar Lux wajipange upya la sivyo yatakuwa yale yale kama ya PRINCESS MURO!!View attachment 1282151
Kaguzi wa magari ya police huwa wanakagua nini? RTO mwanza atupe majibu! Km gari inashindwa kupanda mlima wakutoka stend na gari nyingine betri mfumo wake mbaya je! Bado gari inaruhusiwa? Tatizo ni njaa hii nchi.
 
Watu nao acha wakome hii kampuni ilikuwa na nguvu kipindi cha muwekezaji saivi kaachiwamwahiri hamna kitu. Nasisi wa tz mpaka utuue ndo tusikie , police nao mpaka iue ndo waifungia nchi ya rushwaa.
 
Inabidi kumwandikia waraka maarum kamanda musrim ! Maana hii kampuni itaua simda mrefu.
 
Watu nao acha wakome hii kampuni ilikuwa na nguvu kipindi cha muwekezaji saivi kaachiwamwahiri hamna kitu. Nasisi wa tz mpaka utuue ndo tusikie , police nao mpaka iue ndo waifungia nchi ya rushwaa.
Eeh naona kama wanahama biashara, kanunua vichwa vya howo vingi tu na body kubwa za kubeba zege/mchanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom