feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 9,010
- 18,657
Hiyo njia hakuna bus linaloitwa hivyo kama lipo nisahihishweMkuu hiyo Majinja Volvo mbona imeandikwa Standard Coach? Au macho yangu yananidanganya...??
Mkuu hiyo Majinja Volvo mbona imeandikwa Standard Coach? Au macho yangu yananidanganya...??
Mkuu unaijua scania gemilang?
Unafahamu kuwa hakuna hiyo gemilang hapa Tanzania ?
F300 ikiwa chassis tupu bei yake no zinaweza kufanana na zhongtong
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo na ww unaamin ile DJV golden dragon ina engine ya scania? Kumbe nabishana na mgeni kwny tasnia ya barabaran
Hiyo uliyonionesha hapo ni Scania f360 ikiwa na body ya Ava Kutoka Mombasa Kenya!!! Ndo body ya sauli, anayo Tashriff, dar express na RungweAcha kukurupuka basi. Gemilang anazo rungwe express,sauli na dar expressView attachment 1297527
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo uliyonionesha hapo ni Scania f360 ikiwa na body ya Ava Kutoka Mombasa Kenya!!! Ndo body ya sauli, anayo Tashriff, dar express na Rungwe
Naomba Nioneshe gemilang please
Sent using Jamii Forums mobile app
Gemilang ni body builder kama alivo Marco Pollo, irrizar, busscar Dar coach, malva Ava. NkAcha kukurupuka basi. Gemilang anazo rungwe express,sauli na dar expressView attachment 1297527
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaponionesha basi ya Rungwe ambayo, body ni Ava Kenya, unakuwa Huna tofauti na mtu anaye ita kila kituo Cha mafuta sheli!
Unaponionesha basi ya Rungwe ambayo, body ni Ava Kenya, unakuwa Huna tofauti na mtu anaye ita kila kituo Cha mafuta sheli!
Ingekuwa kuna copyright issues hata hao Ava wangekuruka, kwa kuonesha body yao then ukaiita gemilang
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi zote hizo ulizotaja ni body za Kenya just FYI! Hakuna hata Moja hapo ya ulaya!Hao ava ndo nawasikia kwako, hizo bas za sauli na rungwe ni
Scania Gemilanga
95 _310HP
Sent using Jamii Forums mobile app
Japo umeongea kejeli,!!!Umekazana sana Mombasa Mombasa wakati hizo gari zote tajwa hapo juu zimetoka South Africa!
Au we jamàa ni wa Mombasa nn?
Mkuu unaijua scania gemilang?
Unafahamu kuwa hakuna hiyo gemilang hapa Tanzania ?
F300 ikiwa chassis tupu bei yake no zinaweza kufanana na zhongtong
Sent using Jamii Forums mobile app
Heshima yako mkuuGemilang ni body builder kama alivo Marco Pollo, irrizar, busscar Dar coach, malva Ava. Nk
Wakati Scania ana introduce f300 bus series Malaysia, gemilang ndio walikuwa wa kwanza kujenga body kwenye chassis hiyo, kadiri umaarufu wa f300 ulivo panda ndo Jina la gemilang lilikuwa vile vile, watu wakaanza kuiita Scania gemilang
F300-60 nyingi zimeingia nchini kama chassis tu na zikajengwa body na associated vehicle assembles (Ava) jamaa wa Mombasa Kenya, ndo hizo sauli Rungwe, unazoziona
Tajiri pekee aliyeleta f300 ikiwa full body alikuwa Ilasi, wa Vwawa mbozi kama sikosei ilikuwa 2015, Marcopolo 2010 model, ambayo ilikuja kupunguzwa urefu kuendana na matakwa ya Tanroad
Sent using Jamii Forums mobile app
Ally's Sports anunue mikangafu?Anayauza na baadhi yashachukuliwa na pole pole, kandahar, allys sports, kibo safari, etc
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna gemilang pale mkuu, kwanza, kama Marco polo irrizar and the likes, body za gemilang ni luxury na ni ghali, nikipata wasaa nitatupia picha za gemilang, zikiwa kwenye chassis ya Mercedes benz, Scania na Man
Shukran mkuu, unatufungua machoHamna gemilang pale mkuu, kwanza, kama Marco polo irrizar and the likes, body za gemilang ni luxury na ni ghali, nikipata wasaa nitatupia picha za gemilang, zikiwa kwenye chassis ya Mercedes benz, Scania na Man
Ni kwamba kuna Man gemilang, Mercedes gemilang,, Volvo gemilang, na Scania gemilang , gemilang huwa na windscreen Moja kubwa mbele, kama Gari ndogo, na wiper zake zinakuwa zimelala Moja juu nyingine chini kama fuso mayai.
F series ni bus ghali Sana, Kwa sasa the cheapest way kuiweka barabarani F310 , ni kwa kuweka body za Kenya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kukurupuka basi. Gemilang anazo rungwe express,sauli na dar expressView attachment 1297527
Sent using Jamii Forums mobile app