Dar Lux, kampuni bora ya mabasi inayoelekea kaburini

Dar Lux, kampuni bora ya mabasi inayoelekea kaburini

Safari hii imebidi niwakimbie tu hawa Dar Lux ni zamu ya wengie kula hela yangu.
 
81525916_2583617365204671_8288223116665028608_n.jpeg
 
Ruti korofi ni Arusha mwanza hakuna michina
Mkuu, twende taratibu tu... Awali husema issue ya scania au yutong.. Route ndefu zote hapa nyumban anapiga hilo kubali kwanza , kigoma sio mchezo... hata hz bus zinazotoka Arusha kwenda moro/mbeya zinapita chalinze..bado ni route ndefu

Huyu mwamba yuko kwenye hii sector tokea mwaka 86 sijui mpaka leo hii ,...anacho washinda wenzie ni management , hapo tu


Tukija kwa Shabiby..ana Route zaid ya 10... Achana na hii ya Dsm dom uliyo izoea ,

Tuchukulie mfano Route mbili/tatu za Mbeya Na Rombo pamoja na Moshi...safari zote hv ni masaa 12 njia na kuendelea ,ni route hizo hizo Dar lux anapita na bus zinaharibika njian


La ziada, wewe ni moja kati ya watu wawili humu ndani nawaombea uzima na afya ,mwaka unaokuja au ule mwingine..nina ndoto ya kushusha chuma ya kubeba mizigo..cash ikitimia tu nitawatafuta kwa ushauri, nondo zako nimeziona ..ni natari na nusu, heshima yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh umenikumbusha Princess Muro ilichotufanya 2013 anajua Mungu
Day 1. Dar - Morogoro
Day 2. Morogoro - Manyoni
Day 3. Manyoni - Tinde
Day 4. Tinde - Mwanza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] asee we muongo[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Back
Top Bottom