Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,516
- 9,808
Dogo huna jipya unalolifahamu shabiki kitumbua weweHujui lolote we kijana,sipend kubishana na mashabiki maandazi wasiojua lolote kuhusu magari!
Dogo huna jipya unalolifahamu shabiki kitumbua weweHujui lolote we kijana,sipend kubishana na mashabiki maandazi wasiojua lolote kuhusu magari!
Dogo huna jipya unalolifahamu shabiki kitumbua wewe, unaleta safari zako za Dar-Moro mabasi yote ya mchina.Hujui lolote we kijana,sipend kubishana na mashabiki maandazi wasiojua lolote kuhusu magari!
Ulidanganywa na nani? Tena nakushauri katika kipindi hiki cha Mvua usipande mibasi ya wachina, Scania ya M500-700 ufananishe na mchina wa M150-250 hebu uone aibu
Scania ndo baba wa usafiri nitafutie bus la Kichina lenye namba hata B au C ambalo liko hatika hali nzuri, na linashindana barabarani na mabasi Mapya, hafu Tafuta Scania zenye namba A uone zilivyonzuri body hadi ndani, Mchina amekuja kuwafirisi wasahili kisa anauza bei rahisi na anakopesha maana ukinunua mabasi 3 unakopeshwa hata 2 hafu lazima utaenda kutengenezea kwenye gereji zake.
Mkuu, acha kujitusi, nimezaliwa nimekuta 113 zinapiga kazi , mpaka wakati huu naandika hapa zinapiga kazi ...scania kwa durability hana mfano , mchina akitoboa miaka mitano n mtihan ...scania ukanunua leo mjukuu wako anaikutaHujui lolote we kijana,sipend kubishana na mashabiki maandazi wasiojua lolote kuhusu magari!
Howo si mchina yule yule tuDar Lux kaamua kwenda kwenye malori kaleta HOWO kama 30 hivi zipo nyaishozi yard
Hebu weka source ya hizo beiKumbe unashindanisha bei? By the way scania gemilang na zhong thong bei inakaribiana tu mkuu, marcopolo ndo ina bei kubwa kwa ajil ya body lake tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh, yule mhehe atakuwa ameanza kukosea masharti ya mganga wake, au muda wake aliopewa wa kuwa tajiri ume expire.
Wewe nahisi ni wakunyumba kabisa, maana ufafanuzi huu ndio niliotaka kuutoa Mimi, super feo bus zake karibia zote ni mbovu sema ndo ivo katuteka akili sisi wakunyumba. Anapeta tuuHii nilikuwa sijaisoma
Songea kweli gari zote ni za kichina , gari zenye uhakika kule ni new force tu , naoo kwa kuwa ye ana back up ya basi mbili kila siku songea , yaan basi ikiingia songea leo , kesho haiondoki , inaondoka iliyokuja juz yake , New force kiuhalisia sio mfanya biashara ya usafiri , ye anauza mabasi , ndo mana hakuna mtu anafata nyayo zake , na hakai na basi muda mrefu anauza au kubadili kuja route ya dar moro
Super feo zinakufa sana tu njiani, ila tu kwa kuwa huzioni , kinamchomsaidia ye route hiyo ni kama ameiteka , hana mpinzani ,
Wewe nahisi ni wakunyumba kabisa, maana ufafanuzi huu ndio niliotaka kuutoa Mimi, super feo bus zake karibia zote ni mbovu sema ndo ivo katuteka akili sisi wakunyumba. Anapeta tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Scania namba A zina engine mpya karibu zote,acha habar za kizaman sa hv watu wamegeukia kwny JET engines na pump za umeme, mikangafu inakimbizwa barabaran had huruma
Sent using Jamii Forums mobile app
Kusini haswa mkoa wa ruvuma matajiri wa mabasi ya mikoa hii wapo makini kufuatilia mabasi yao,huwezi ukasikia super feo hau kampuni nyingine yeyote eti basi limeshindwa kupandisha mlima au betry mbovu,hii inatokana na jiografia ya mikoa ya kusini haswa milima na viunzi njiani sasa kwa kuzingatia hilo basi kila likifika mafundi wapo kazini usiku kuchwa,nyie nendeni pale shekilango kwenye gereji ya new force muangalie mafundi wanavyoyashughulikia basi za kusini kila ikifika.matajili wa mwanza waige hayo.thanxAya wale wa kusini kujeni hapa nasi tusimulie mabasi yetuu.
Tahmeed higer zake kadhazitoa muda sana tzMbona Tahmeed ana HIGER na inatoboa Dark-Nairobi
Anayauza na baadhi yashachukuliwa na pole pole, kandahar, allys sports, kibo safari, etc
Umeona hiyo Majinja Volvo hakuna chuma inayogusa hiyo mashine iwe mlimani au tambarare Sauli scania na imekaa....hizo Golden deer kinachowasaidia traffick na kwakuwa wanahi kutoka ubungo
Sent using Jamii Forums mobile app
Tahmeed higer zake kadhazitoa muda sana tz
Nairobi dar zinaenda scania master rello na master pollo hata mombasa n hzo hzo
Sent using Jamii Forums mobile app