feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 9,010
- 18,657
Weka ushahidi mzee mbona mimi nakuwekea ushahidi hapo narudia tena hiyo michina napanda sana kwa ajili tu ya usafi angalau lakini hakuna anayefuata hivyo vyuma wakikutana njiani hakuna anayefuata hasa hiyo Majinja volvo uliza madereva wanaijua vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na tunduma huwa wanawahi kutoka? Majinja sa hv alishajitoa kwny mbio, aliona anaumiza tu gari lakin golden deer hazishiki, kama we ni mfuatiliaji kaangalie leo ustaadh rama anachoyafanya masufuria
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app