Kweli kabisa mkuu ile njia sio mchezoHiyo sikuwahi kuiona , kwa njia ya songea inawezekana hiyo basi ilisha kufa maana kule ni balaa kwa kuua magari,
Daaaaa pole sana mkuu! kuna wehu kama majinja, sauli, kisbo nk wao hiyo alarm ndio wimbo mwanzo wa safari hadi mwishoKuna siku nilipanda hilo bus, wamefunga mfumo wa kudhibiti mwendo na ikifika speed flani inapiga alarm ndani kwa sauti ya juu mara 5 mfululizo. Kwakweli ni usumbufu wa hali ya juu. badilikeni. kama nia ni kumkumbusha dereva wenu basi tafiteni njia nyingine ambayo haiathiri afya ya msafiri
Kwamba wanakimbiza sana magari?Hizo ni changamoto za kawaida ktk vyombo vya moto, lolote linaweza kutoke maana hayo yote ni makosa ya kiufundi yanayoweza kusolviwa ndugu.
Ninachokiona mimi kama changamoto mbaya kwao ni kuwa wameajiri madereva wahuni, watu wasio wastaarabu, watu wenye purukushani nyingi barabarani zisizo na maana, ulakshari ni pamoja na kuwaendesha vizuri abiria bila kuwachosha mwili au akili na kufika kwa wakati.
Karibu Kisbo [emoji846]View attachment 1287451
Mimi ni mnazi wa scania ila wale sauli ni wajanja wajanja usiwasifie sana
Hizo ni changamoto za kawaida ktk vyombo vya moto, lolote linaweza kutoke maana hayo yote ni makosa ya kiufundi yanayoweza kusolviwa ndugu.
Ninachokiona mimi kama changamoto mbaya kwao ni kuwa wameajiri madereva wahuni, watu wasio wastaarabu, watu wenye purukushani nyingi barabarani zisizo na maana, ulakshari ni pamoja na kuwaendesha vizuri abiria bila kuwachosha mwili au akili na kufika kwa wakati.
Mbona tashriff,rungwe, dar exp wanazo za aina hiyo! zenyewe sio comfortable? Modern coast anazo kitambo! Hawa sauli waache kama walivyoHakuna Scania comfortable kusafiri kama ya Sauli,
Mabasi yote yamefungwa VTSKuna siku nilipanda hilo bus, wamefunga mfumo wa kudhibiti mwendo na ikifika speed flani inapiga alarm ndani kwa sauti ya juu mara 5 mfululizo. Kwakweli ni usumbufu wa hali ya juu. badilikeni. kama nia ni kumkumbusha dereva wenu basi tafiteni njia nyingine ambayo haiathiri afya ya msafiri
Hii nilikuwa sijaisomaMbona gari zote za songea michina lakini hazisumbui mi nadhani hao jamaa itakua hawafanyi service kwa wakati t blj,
Fanya homework yako vizuri, sauli anafanya kaz na scania F95 body za kenyaHakuna Scania comfortable kusafiri kama ya Sauli,
Kuna Scania ya Sauli wote wananyoosha mikono,
DahDar Lux limekufa barabarani Mbezi Mwisho mbele kidogo km unaelekea Kibaha, siku ya pili leo na hamna cha maana kinachofanyika pale, zaidi ya jamaa wanazunguka zunguka tu, nadhani walinzi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mwamba, hizi nyuzi zinasaidiYapata kama wiki mbili zilizopita nilisoma huu uzi,,, nikakausha leo nimepanda dar lux kutoka bukoba tumekuja vizur kufika dom gari ikakata umeme haiwaki mara fundi akaitwa akasema gari haina mafuta wakaweka diesel lita 40 kuwasha kweli ikawaka,,, wakawpigia fundi wao wakasema gari isitoke hapo@@@@ nikifika dar kesho ndio mwanzo na mwisho narudi FRESTER ROADWAY
Kuna mipumbavu humu huwa hata uiambie nini yenyewe haikubali sijui huwa inatumwa na makampuni!?Juzi Bus Dar lux ya Dar Arusha Asubuhi saa 12:30 wametuweka ofisini kwao mpaka saa 2 asubuhi then wakaja kutuambia gari Bovu haliwezi kwenda, tunawaletea Bus jingine lakini sio Luxury ila tutarudisha some amounts.
Likaja Bus moja Bovu kupata kutokea Dunia, linaitwa Mbazi. Kwakua watu tulikua na haraka tukapanda tu. wakarejesha elfu 7 kutoka kwenye 40,000.
Kufika njiani tukakuta Dar Luxy ya Nairobi imezingua, wako nje. Baada ya kutoka mombo tena Dar lux mbili tena zimezingua.
Najua hii ni Biashara na ina changamoto zake But jamaa gari zao zimekua mbovu sanaaa
[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mipumbavu humu huwa hata uiambie nini yenyewe haikubali sijui huwa inatumwa na makampuni!?