Dar Lux, kampuni bora ya mabasi inayoelekea kaburini

Dar Lux, kampuni bora ya mabasi inayoelekea kaburini

Tumekusikia tutabadirisha jina na rangi polepole maana wasukuma na baadhi ya abiria ni washamba watajua ni kampuni mpya
 
Ni uzembe kutokuwa na taarifa ya kinachoendelea kwa mabasi katika karne hii. Otherwise wameanza kuishiwa pumzi
Na hapa basi namba mbili (ya mbele) ikiwa imesimama ili kutoa msaada kwa basi namba moja ambalo limepaki kutokana na kupata hitilafu kabla ya kufika mizani ya Usagara

Yawezekana uongozi wa kampuni hii hauna taarifa kama hizi maana jamaa kwa jinsi walivyokuwa wakitoa huduma zao sidhani kama kweli wahusika wakuu wana taarifa hizi

DAR LUX ni moja kati ya makampuni bora kabisa kuwahi kutokea katika sekta hii ya usafirishaji wa abiria so wakiweza kuondoa hizi kasoro ndogo ndogo hasa za uchakavu wa mabasi yao bado wataongoza katika sekta hii kwa mda mrefu sana.View attachment 1282156

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Story za kizaman, gari za kichina nyung zina horsepower kubwa kuliko masufuria yenu hayo, kitu alichozidiwa mchina na misufuria ni uwezo wa kupiga tuta
Mzeiya achana kabisa na Scania ni habari nyingine hiyo kilimanjaro ina miaka kibao nadhANI NI NAMBA B au C na ikiinuka kidogo mchina haoni ndani, kwa vile wote wanaving'amuzi nadhani hiyo Golden Deer imezidiwa kama speed 2 au 3 hivi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Story za kizaman, gari za kichina nyung zina horsepower kubwa kuliko masufuria yenu hayo, kitu alichozidiwa mchina na misufuria ni uwezo wa kupiga tuta

Sent using Jamii Forums mobile app

Ulidanganywa na nani? Tena nakushauri katika kipindi hiki cha Mvua usipande mibasi ya wachina, Scania ya M500-700 ufananishe na mchina wa M150-250 hebu uone aibu
 
Ulidanganywa na nani? Tena nakushauri katika kipindi hiki cha Mvua usipande mibasi ya wachina, Scania ya M500-700 ufananishe na mchina wa M150-250 hebu uone aibu
Mashabiki maandazi bhana[emoji16][emoji16]!! Ndo mnavyodanganyana kuhusu hizo bei za hayo mabasi
 
Mashabiki maandazi bhana[emoji16][emoji16]!! Ndo mnavyodanganyana kuhusu hizo bei za hayo mabasi

Scania ndo baba wa usafiri nitafutie bus la Kichina lenye namba hata B au C ambalo liko hatika hali nzuri, na linashindana barabarani na mabasi Mapya, hafu Tafuta Scania zenye namba A uone zilivyonzuri body hadi ndani, Mchina amekuja kuwafirisi wasahili kisa anauza bei rahisi na anakopesha maana ukinunua mabasi 3 unakopeshwa hata 2 hafu lazima utaenda kutengenezea kwenye gereji zake.
 
Hujui lolote we kijana,sipend kubishana na mashabiki maandazi wasiojua lolote kuhusu magari!
 
Mdomo bakuli, Na Dar express utawaweka wapi? Dar express wame maintain kampuni kwa kiwango cha juu kwa muda mrefu sana.nadhani kwa bongo hii labda tahmeed na Kilimanjaro wanafuatia ingawa na Dar lux pia wako vizuri.

Mkuu unaloongea unauhakika nalo? Kwa kaskazini now ni kilimanjaro ameaminika sana dar express ilikua miaka 7 nyuma uko kampuni imekufa iyo inaendeshwa kilocal sana baada ya kukabidhiwa mwanamke , magari mabovu yana haribika customer care mbaya uwezi sema kampuni imemantain uku inarekodi mbaya kilimanjaro kila kukicha anazidi kuwa bora apo shekilango now anaujenzi wa hotel yake na jengo la abiria vp dar expess ofisi ni ile ile tena mbovu mbovy , kilimanjaro anahotel yake korogwe vp izo kampuni zilizo anza? Si bado wanalisha kwenye mahotel ya watu kwa ufupi ni kua kilimanjaro anahuduma zinazo shabiliana na scandnavia ya kipindi icho anajua what people want
Jana nimeondoka na gari ya saa 12:50 zilikua ni zaidi ya gari 10 zinatoka Dar tofauti ya dk 5 kwa kila bus je kuna kampuni kaskazini inapeleka gari zaidi ya 10 Arusha na Kuleta dar gari zaidi ya 10 tofauti na kLM jibu ni hapana
Kwangu

1.KLM
2.BM
3.Marangu coach
4.Dar Lux
5.Kidia One

View attachment 1295432

Vyuma apo ni korogwe kwenye hotel yao
 
Back
Top Bottom