Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,289
- 72,516
Mkuu hizo changamoto ndogo tu hivyo ndio unatamatisha kusema kuwa inaelekea kaburini?
Karibu Kisbo [emoji846]Nina safari ya mwanza next week, nafikiria kwenda kufanya booking dar lux lakini kwa comments hizi nashindwa kuamua. Sijazoea gari nyingine yoyote route ya mwanza
Nawafahamu, wanakimbia sana pamoja na wale ndugu zao Kibo safariKaribu Kisbo [emoji846]View attachment 1287451
Kuanzia ubungo hadi msamvu wanaweza kuacha sio chini ya laki moja... Na wanapewa na tajiriNawafahamu, wanakimbia sana pamoja na wale ndugu zao Kibo safari
MkuuMkuu, twende taratibu tu... Awali husema issue ya scania au yutong.. Route ndefu zote hapa nyumban anapiga hilo kubali kwanza , kigoma sio mchezo... hata hz bus zinazotoka Arusha kwenda moro/mbeya zinapita chalinze..bado ni route ndefu
Huyu mwamba yuko kwenye hii sector tokea mwaka 86 sijui mpaka leo hii ,...anacho washinda wenzie ni management , hapo tu
Tukija kwa Shabiby..ana Route zaid ya 10... Achana na hii ya Dsm dom uliyo izoea ,
Tuchukulie mfano Route mbili/tatu za Mbeya Na Rombo pamoja na Moshi...safari zote hv ni masaa 12 njia na kuendelea ,ni route hizo hizo Dar lux anapita na bus zinaharibika njian
La ziada, wewe ni moja kati ya watu wawili humu ndani nawaombea uzima na afya ,mwaka unaokuja au ule mwingine..nina ndoto ya kushusha chuma ya kubeba mizigo..cash ikitimia tu nitawatafuta kwa ushauri, nondo zako nimeziona ..ni natari na nusu, heshima yako
Huwa napenda kusoma koment kama hiziMkuu
Ishu kuu iliyofanya tujadili huu uzi ni malalamiko kuhusu safari za dar lux , ambaye kwa sasa anasua sua mno na kimsingi anafanya kaz na gari za kichina!!
Kwanza tuelewane, mpaka sasa hakuna ubishi kuwa scania bus ni far superior kuliko basi yoyote ya kichina ,
Kinachotutofautisha mimi na wewe ni kuwa , kweli kuna baadhi ya matajiri wanaonekana kutosumbuliwa na basi hizo za kichina , ambazo we unazi narrow down kwenye good maintainace ya basi hizo kutokana na matajiri hao,
Hapo mimi ndo natofautiana nawe , matajiri wote waliofanya vizuri na basi za kichina wanabebwa na geographical location ya centre za biashara zao , mfano abood, na shabibby, to the best of my knowledge abood hana safari inayozid km 300 ambayo anapeleka youtong, ukiacha moro arusha!, Ndo mana basi zake zinadumu , hali kadhalika shabiby
Mkuu katika watu wajanja wa biashara ya mabasi huyo abood hana mpinzani , route ngumu zote hafanyi, na ndomana akinunua basi zinakaa muda , hata hiyo moro arusha ukiangalia ni route nyepesi sana ndo mana kaweka youtong, iringa pafupi ila sababu ya mlima kitonga anapeleka scania
Zile youtong za terias nadhan abood ndonalikuwa wa kwanza kabisa kuzileta , bado zipo hadi leo , super feo rungwe n.k walifata baadaye lkn bas zao zipo hoi
Umenena haswaa new force ananipeleka home wakunyumba hadi pamlyangu penePolen watu wa mwanza, nyanda za juu kusini kumenoga na new force DPK 712 chini ya usimamizi wa Linyama, DPK 715 wanamwita Jaja brazilian mtu hatar sana, DPK 711 mtu mbaya wa kuitwa ustadh Rama mbele kama tai, hizo scania zote zilishanyoosha mikono kwa mchina. Ni mwendo wa honi tu
Ndiyo , andege hapa Tanzania zina abiria ruti nyingi ni Kilimanjaro tu, huko madongo poromoka wanatumiaLeo kuna Mtu nilikuwa namuambia zone pekee yenye abiria Royal ni ya kaskazini peke yao.
Fiatilia kazi zinazoenda kuanzia Tanga, Klm, Arusha, Nrb
Vyuma tupu
Nimekusoma mkuuMkuu
Ishu kuu iliyofanya tujadili huu uzi ni malalamiko kuhusu safari za dar lux , ambaye kwa sasa anasua sua mno na kimsingi anafanya kaz na gari za kichina!!
Kwanza tuelewane, mpaka sasa hakuna ubishi kuwa scania bus ni far superior kuliko basi yoyote ya kichina ,
Kinachotutofautisha mimi na wewe ni kuwa , kweli kuna baadhi ya matajiri wanaonekana kutosumbuliwa na basi hizo za kichina , ambazo we unazi narrow down kwenye good maintainace ya basi hizo kutokana na matajiri hao,
Hapo mimi ndo natofautiana nawe , matajiri wote waliofanya vizuri na basi za kichina wanabebwa na geographical location ya centre za biashara zao , mfano abood, na shabibby, to the best of my knowledge abood hana safari inayozid km 300 ambayo anapeleka youtong, ukiacha moro arusha!, Ndo mana basi zake zinadumu , hali kadhalika shabiby
Mkuu katika watu wajanja wa biashara ya mabasi huyo abood hana mpinzani , route ngumu zote hafanyi, na ndomana akinunua basi zinakaa muda , hata hiyo moro arusha ukiangalia ni route nyepesi sana ndo mana kaweka youtong, iringa pafupi ila sababu ya mlima kitonga anapeleka scania
Zile youtong za terias nadhan abood ndonalikuwa wa kwanza kabisa kuzileta , bado zipo hadi leo , super feo rungwe n.k walifata baadaye lkn bas zao zipo hoi
Marcopolo ni aina ya body. Hata daladala Eicher Soma nyuma utaona Marcopolo.Ohoo, ebu nitoe tongo tongo mkuu..
Shukrani mkuu, nimekupataMarcopolo ni aina ya body. Hata daladala Eicher Soma nyuma utaona Marcopolo.
Alibamba sana kanda ya ziwa aisee.Ananikumbusha Mombasa raha ,yalivyokufa
Ilikuepo yutong f13 ya superfeo TV kila seat kitambo tu nadhani ilipiga mbanga ile gari maana haionekani tenaNimesuspect wiring sababu najua mchina yupo rough sana linapokuja swala la ubora na spec,
Tahmeed nadhan ndo tajiri pekee Tanzania aliyeagiza zhongtong zikiwa na screen kila nyuma ya seat +usb port , kwa basi zima unasemea Tv zaidi ya 50, @ 24v , kunakuwa na demand kubwa ya current ambazo in return zinazalisha joto
nadhan pia ndo tajiri pekee aliyepata majanga mengi ya moto kwenye basi hizo za zhongtong
Mimi ni mnazi wa scania ila wale sauli ni wajanja wajanja usiwasifie sanaKuna Scania ya Sauli wote wananyoosha mikono,
Mkuu acha basi utani! Higer hakuna kitu mule labda useme ni injini gani ya higer inayosumbua scaniaHaiger ni moto mwingine injini yake hata scania zinapata tabu kuitafuta barabarani ......u tong zinawah sana kuchoka na hazihimilo safari za mida mrefu
Hiyo sikuwahi kuiona , kwa njia ya songea inawezekana hiyo basi ilisha kufa maana kule ni balaa kwa kuua magari,Ilikuepo yutong f13 ya superfeo TV kila seat kitambo tu nadhani ilipiga mbanga ile gari maana haionekani tena
Mnaposema scania muwe mnaspecify! Kuna masufuria mengi tu yenye injini za scania ila kwao kikubwa ni kufika salama, Bunda express mwanza - bukoba alinyanyaswa sana na yutong f11 ya masaba wiki hizoKama mabasi hayana ving'amuzi hakuna bus la kampuni ya Mchina linweza kufukuzana na Scania
Na hapa basi namba mbili (ya mbele) ikiwa imesimama ili kutoa msaada kwa basi namba moja ambalo limepaki kutokana na kupata hitilafu kabla ya kufika mizani ya Usagara
Yawezekana uongozi wa kampuni hii hauna taarifa kama hizi maana jamaa kwa jinsi walivyokuwa wakitoa huduma zao sidhani kama kweli wahusika wakuu wana taarifa hizi
DAR LUX ni moja kati ya makampuni bora kabisa kuwahi kutokea katika sekta hii ya usafirishaji wa abiria so wakiweza kuondoa hizi kasoro ndogo ndogo hasa za uchakavu wa mabasi yao bado wataongoza katika sekta hii kwa mda mrefu sana.View attachment 1282156