Dar Lux, kampuni bora ya mabasi inayoelekea kaburini

Dar Lux, kampuni bora ya mabasi inayoelekea kaburini

Nimesafiri na darlux kutoka mwanza kwenda dar tarehe 2 Jumatatu tulifika igunga gari likaharibika tukakaa igunga zaidi ya lisaa na nusu, then likawa limerekebishwa tukaondoka, mida ya saa moja na nusu tukaondoka dodoma ile tumevuka nanenane vijiji vya mbele kidog gari ikaanza kuunguruma kama chopa kumbe maji yamevuja yote kwenye radiator ikabidi tupaki pale kusubiri fundi atoke mjini. Baada ya nusu saa fundi kaja akasema gari haiweziendelea na safari so itafutwe njia ingine. Jamaa wakatunyanganya maji ya kunywa abiria wote wakaweka kwenye gari tukarudi mdogo mdogo kuna sheli ya mafuta hayo maeneo tukapaki hapa ndo wakaanza utaratibu wa kufaulisha, saa tano ndo wakapata gari tukaondoka. Dar nikafika saa 12 asubuhi na saa mbili nlitakiwa kuwa ofisini hivo sikulala nlifika na kujiandaa km mjuavyo usafiri wa dar lazima ujipange. Nimeapa sitasafiri na haya mabasi tena.
Daaa asee we jamaa kuna sehemu umedanganya,waliwapora maji yenu!? Nimecheka sana
 
Jana tarehe 13.12.2019 basi lao moja lilipata ajali pale Mbezi kwa Yusufu Dar es Salaam.

Sijui nini kilitokea mpaka kusababisha ajali hiyo lakini inaonesha basi hilo lilihama upande kutoka kushoto kwenda kulia (lilikuwa linaelekea Dar) na kugonga zile blocks kubwa zenye rangi nyekundu na nyeupe zilizowekwa pembezoni mwa barabara na wachina wanaotengeneza barabara ya Morogoro.
 
Umetisha.. ukiona barabara inajengwa unajua ni wachina..
Jana tarehe 13.12.2019 basi lao moja lilipata ajali pale Mbezi kwa Yusufu Dar es Salaam.

Sijui nini kilitokea mpaka kusababisha ajali hiyo lakini inaonesha basi hilo lilihama upande kutoka kushoto kwenda kulia (lilikuwa linaelekea Dar) na kugonga zile blocks kubwa zenye rangi nyekundu na nyeupe zilizowekwa pembezoni mwa barabara na wachina wanaotengeneza barabara ya Morogoro.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa umbali zinaotembea hizi bus na speed lazma matatizo madogo madogo yawepo! Ila nyinyi abiria muwe mnawaambia hawa madereva wa hizi bus kuwa zile overtake zao za kingese waache ipo siku tutawachoka mtakufa wote! Hawa majamaa ukiona mmoja yupo nyuma ujue wapo watano alafu wote wanamfuata wa mbele bila kujali upande wa pili kuna gari ama laa! Kwa kweli tunaposafiri na tukafika salama ni vizuri tukashukuru..wapo watumiaj wengine wa barabara wanafanikisha safari zetu lakini kama nao wangekuwa wanakaza aisee kila siku tungekuwa tunapoteza mamia ya wasafiri wa mabus...wawe na adabu wanapo overtake maroli muwaambie.
 
Mbona abood anafanya vizuri na mabasi ya kichinaa

Jiulize anatumia mbinu gani?

Abood alikua mnazi wa scania ila sasa ni mwendo wa f12/f12+

Nadhani Dar Lux hajajua biashara ya mabasi inaendaje


Natamani Hood naye arudi maana ni mzowfu sana kwenye vyuma vya barabarani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa umbali zinaotembea hizi bus na speed lazma matatizo madogo madogo yawepo! Ila nyinyi abiria muwe mnawaambia hawa madereva wa hizi bus kuwa zile overtake zao za kingese waache ipo siku tutawachoka mtakufa wote! Hawa majamaa ukiona mmoja yupo nyuma ujue wapo watano alafu wote wanamfuata wa mbele bila kujali upande wa pili kuna gari na laa! Kwa kwelibmnaposafiri ma mkafika salama ni vizuri mkashukuru..wapo watumiaj wengine wa barabara wanafanikisha safari zenu lakini naobwangekuwa wanakaza aisee kila siku tungekuwa tunapoteza mami ya wasafiri wa mabus...wawe na adabu wanapo overtake maroli muwaambie.
Ajali sasa basi
78629006_2634730393301834_4534033507931914240_n.jpeg
79676680_2634730303301843_7389244641515667456_n.jpeg
79131014_2193151700990178_5279699380239073280_n.jpeg
79966689_484325809107216_998533648112156672_n.jpeg
 
Ajali sasa basiView attachment 1291925View attachment 1291926View attachment 1291927View attachment 1291928
[/QUOTE

Embu ona mifano hii! Sasa huko maporini ndio wanajiachia unaweza kukuta bus tano mpaka saba wote wanataka kupenya! Sasa inabidi dereva mstaarabu upunguze mwendo na utoke pembeni kidogo wababe wa barabara wapite ukiwakazia anakuja kujichomeka kwa mbele lazma utahama, anakusababishia majanga ye anatembea! Hii si sawa jamani..watatumaliza! Ukimkuta bob dere mwingine kavurugwa anawatia vilema hata kuwasababishia vifo kisa tu ujuaji wa dereva wa bus ulilopanda! Kuna roli zinatembea na madereva wake ni vichaa ukimfanyia hivyo ujue atawaandama mpaka alipize.
 
Overtaking huwa ni maamuzi ya dereva hata wewe ukiwa unaendesha gari ndogo kuna maeneo unaovertake kutokana na situation mfano kwenye kona kama za Iyovi huwezi ukalifuata Lori hadi litakapomaliza hizo kona, maamuzi ya dereva huojiwa pale anapokosea, wewe inaonekana kama anaendesha gari hujawahi kwenda mikoani ndo utaona changamoto za kuendesha gari. Ndo maana unaona hata ile ya polisi inapita hata mistari hairuhusu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo Bus usiku zinafunguliwa zinatembea mpaka unajiuliza hizi bus zimepakia watu au Mashudu? Bus karibia zote tu. Yaan likitokea lolote la tofauti barabarani kujitetea ni muujiza..Abiria tuwe tunaongea! Tusikae kimya mtu anapoleta mzaha na maisha yako. Bus litapelekwa garage litanyooshwa au tajiri atanunua lingine, vipi wewe ambae umesababishiwa kilema cha maisha?
 
Week 3 zilizopita nilisafiri na Shabiby ya Dar - Dodoma ya saa tatu na nusu. Yule dereva alikua kama mwendawazimu. Napanda sana Shabiby ila sijawahi kutana na dereva anaendesha vibaya kama yule. Anaovertake kila muda. Kuna sehemu ile anaovertake mbele inakuja gari ya mafuta. Gari iliyumba Kama mara 3 ni Mungu tu alisaidia isianguke.

Nikapiga simu kwa msimamizi wao nikamuelezea nikamwambia abiria hatuna amani kwenye bus, mwambieni dereva apunguze mwendo na aache kuovertake maana hatuna haraka au tukifika Gairo mtubadilishie dereva.

Kweli alipiga simu kwa dereva na akaniambia nikiona amerudia tena uendeshaji wake nimtaarifu. Mpaka tunafika Dodoma dereva alikua anaendesha kwa adabu zote.

Abiria tunachangia ajali kwa asilimia nyingi sana kwa kutomueleza dereva ukweli. Mi hi ujinga sifanyi. Dereva akizingua namwambia au kama naweza pata mawasiliano ya boss wake napeleka huko
Kwa umbali zinaotembea hizi bus na speed lazma matatizo madogo madogo yawepo! Ila nyinyi abiria muwe mnawaambia hawa madereva wa hizi bus kuwa zile overtake zao za kingese waache ipo siku tutawachoka mtakufa wote! Hawa majamaa ukiona mmoja yupo nyuma ujue wapo watano alafu wote wanamfuata wa mbele bila kujali upande wa pili kuna gari ama laa! Kwa kweli tunaposafiri na tukafika salama ni vizuri tukashukuru..wapo watumiaj wengine wa barabara wanafanikisha safari zetu lakini kama nao wangekuwa wanakaza aisee kila siku tungekuwa tunapoteza mamia ya wasafiri wa mabus...wawe na adabu wanapo overtake maroli muwaambie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo Darlux SI alikua ajent wa mabasi mapya ya mchina ,mkataba umeisha,
 
Alienda jioni kutoa hela...akafika akamkuta kijana mle kwenye kibanda cha ATM..kijana alipomuona Baba akamwambia mzee leo atm inazengua...hapo huyo dogo anatoka anamwambia baba lakini jaribu huenda ww itatoa!

Baba akaingia na kijana(kijana akijifanya kumsaidia baba)kijana akuachukua kadi ya baba akaweka akamwambia weka namba zako za siri..akaweka..kadi ikamezwa..kijana akawambia baba usijali njoo asbh naona kun shida ya net!
Lakini hapo hapo mlinzi alikua nje...bba akajiongeza kwenda ndan kutoa taarifa..wakamwambia mbona hakina shida ya net??baba akasrma kadi imemezwa .wakasema njoo asbh..saa2 usk amekaa kwake anaona sms zinaingia za transanctions .jamaa usk ule alitoa 4m!

Baada ya siku 3 baba akaenda tena bank..hapa ilikua wknd akakuta gari ya bank inaweka hela..akaambiwa mzee subiri kidg...walipomaliza akaja ghafla mwanamke akampush dingi akawa km anang'ang'ania kuwa namba 1 na huku walikua wawili tu, .akamwambia mzee samahan nina mgonjwa hosp naomba nitoe hela mara moja..mzee akakubali!
Bibie hakutoa hela akamwambia baba nahis machine mbovu (asikunbuke siku 3 nyumw hyo scenario)..baba akaingiza kadi ikamezwa tena...akaamua atoke mara moja aende HQ kuwaelzea hajafika hata mjini...zilitoka transactions kama 8!within 25min..had anaonana na meneja bado hrla zinatoka tu..so walitoa km 14m!
Kifup hajapata msaada wwt had nw..walimwambia alikosea mwenyew kuingia na mtu kwenye room (scenario ya kwanza)
Scenario ya 2 walimwambia ohh kuna utapeli umeingia ifakara kuna mtu tunamtafta tunahis yy!
Ni juz tu august!.
Mie ht sielew km sio na wenyew wa CRDB hawahusiki!
Atm ndani ya masaa 24 huwezi toa pesa zaidi ya 1M

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Overtaking huwa ni maamuzi ya dereva hata wewe ukiwa unaendesha gari ndogo kuna maeneo unaovertake kutokana na situation mfano kwenye kona kama za Iyovi huwezi ukalifuata Lori hadi litakapomaliza hizo kona, maamuzi ya dereva huojiwa pale anapokosea, wewe inaonekana kama anaendesha gari hujawahi kwenda mikoani ndo utaona changamoto za kuendesha gari. Ndo maana unaona hata ile ya polisi inapita hata mistari hairuhusu.

Sent using Jamii Forums mobile app
We ni shabiki maandazi tu,tena pengine si ajabu hata gari au hilo basi hujui kuendesha!!

Overtake kwenye mistari iliokataza siku trafiki akukamate halafu akukazie muende mahakamani ukifika ongea huu upuuzi wako kama hujaishia nyuma ya nondo!

Shwain[emoji57]
 
Tarehe 9 disemba 2019,yaani jumatatu iliyopita,nilipanda hili basi lililokuwa linatokea Nairobi. Kwa kweli halikuwa baya ,Ila changamoto ya kawaida ikatokea ya pancha karibu na njia panda ya himo,hapo noli kama SAA nane mchana hivi,na tunaelekea Dar as salaam. Likashughulikiwa vizuri tukaendelea vizuri.Balaa no kwenye SAA mbili hivi za usiku tumeshakaribia msata kabla hatujakunja kuingia barabara ya Bagamoyo kuna kifaa kikachomoka huko chini.Kwa kweli hatukuwa na namna ikabidi liletwe basi jingine kutoka Yard yao ya Tegeta.Mpaka kuja kufika Shekilango ilikuwa ni SAA nane za usiku.KIBAYA ZAIDI BODABODA ALIENIBEBA AKANIAMBIA KAKA,KUNA TATIZO KATIKA UENDESHAJI WA HII KAMPUNI.Hivyo basi nimetoa dukuduku langu kama mdau wenu.Chukueni hatua,jirekebisheni.Moshi SAA saba mchana,Dar SAA nane usiku??????
 
Back
Top Bottom