Dar Lux, kampuni bora ya mabasi inayoelekea kaburini

Dar Lux, kampuni bora ya mabasi inayoelekea kaburini

Abood hawezi kuwa na msaada kwa dar lux, alipo abood ni hot cake kwa biashara ya basi kwa maana ya , route fupi, na very busy,
Kwa route ya dar Moro ambayo ndo msingi wa biashara ya abood, Hakuna basi inakaa barabarani Zaid ya masaa manne mfululizo! Hii inampa muda mwingi sana wa kuziangalia na kufanya maintanace basi zake

Hiyo dar lux ikiwashwa mwanza inakuja kuzimwa dar usiku Sana na kesho Tena, Kiufupi unahitaji team compitent Sana kumaintain Gari ya namna hiyo
Ndio maana Wahenga walisema "usiruke juu kabla hujaagana na nyonga"...sasa Dar Lux aliagana na nyonga kabla ya kuruka?
 
Kweli kampuni inakufa kifo kibaya sana. Inakufa kibudu kabisa. Ilianza vizuri sana, wakabweteka. Wana wafanyakazi jeuri, sidhani kama mwenye gari hizo ni jeuri kama walivyo hao vibarua wake. Kwaheri Dar Luxy, lala salama kuzimu.

Painful truth
Mmiliki down-to-earth. Ila makonda ni kwikwi
 
Biashara za Tanzania hufa mapema baada ya kupata wateja wengi kutokana na ujinga wa wamiliki. Hawajui wakipoteza wateja kuwapata ni kama ngamia kupitia tundu la sindano ya kushonea
 
Wanaoharibu biashara ya mabasi ni watu wanaitwa agents, hawa jamaa wao wanataka chombo ifike mapema ili abiria wakipende lakini kutengeneza mabasi yakiwa na hitilafu ni wagumu sana, na ndo maana mabasi mengi yanakufa mapema.
Biashara za Tanzania hufa mapema baada ya kupata wateja wengi kutokana na ujinga wa wamiliki. Hawajui wakipoteza wateja kuwapata ni kama ngamia kupitia tundu la sindano ya kushonea
 
Shabiby hajawahi kuwa na zhongtong, zilizokuwa zinaungua ni zhongtong

Halafu mabasi ya kichina huonesha udhaifu yanapokuwa stressed to the max, shabiby, kama abood tu hawana route ndefu, wao majanga ya basi za kichina hayawapati sana.
Abood hawana Route ndefu ??

So far wanapiga route mikoa hii Dar es salaam, Morogoro, Mwanza, Singida, Iringa, Arusha, Kigoma na Sumbawanga.

Na walikua na mpango wa kwenda Lindi, Mtwara, na Songea sijui kama tayari au bado
 
Moja ya kampuni yenye ma bus proper luxury ni Shabiby. Dar-Dodoma-Dar. Seat tatu kila mstari.
Siku tukiwa na bus za aina hiyo kwenda Nangulukulu, basi, tutakuwa tumepiga hatua kama nchi.
Hizo mambo zilianza Mapema sana ruti ya Mombasa- Tanga- Dar, na Dar Tanga sema kule hakunaga kelele Kimyaaa. Na mpaka leo zipo ila kimyaa
 
Mdomo bakuli,
WASUKUMA mtaacha lini ushamba?
Huko Mwanza yes wanaleta magari mabovu kwakuwa wanajua ninyi mnapanda na mifugo, hamjaoga, wali kwenye malboro etc kwahiyo KAMPUNI IPO IMARA NA INA MAGARI MAZURI KAMA NDEGE KWENDA KILIMANJARO NA ARUSHA.

MAGARI mazuri yanakwenda kilimanjaro na Arusha kwakuwa kule kuna ustarabu sana, na ndio maana JIWE anawachukia wachagaa sana
Leo kuna Mtu nilikuwa namuambia zone pekee yenye abiria Royal ni ya kaskazini peke yao.
Fiatilia kazi zinazoenda kuanzia Tanga, Klm, Arusha, Nrb
Vyuma tupu
 
Abood hawana Route ndefu ??

So far wanapiga route mikoa hii Dar es salaam, Morogoro, Mwanza, Singida, Iringa, Arusha, Kigoma na Sumbawanga.

Na walikua na mpango wa kwenda Lindi, Mtwara, na Songea sijui kama tayari au bado
Route ndefu unazijua mkuu? ,kwa sasa dar mwanza , mbeya mwanza , mbeya arusha, dar sumbawanga ,dar bukoba na dar kigoma, ndo route ndefu, aboud au shabiby wana gari route hizo?

Route ndefu kwa abood ni dar Tunduma , na huko anapeleka scania, sijawai ona abood anapeleka mchina hata siku moja route hiyo,

Ukija kwa shabiby ndo kabisa ye kaweka hub yake dodoma , karibia kila basi yake inaanzia pale kwenda pembezoni, dodoma kijiografia ni katikati ya kila safari ,
 
Mkuu, twende taratibu tu... Awali husema issue ya scania au yutong.. Route ndefu zote hapa nyumban anapiga hilo kubali kwanza , kigoma sio mchezo... hata hz bus zinazotoka Arusha kwenda moro/mbeya zinapita chalinze..bado ni route ndefu

Huyu mwamba yuko kwenye hii sector tokea mwaka 86 sijui mpaka leo hii ,...anacho washinda wenzie ni management , hapo tu

Tukija kwa Shabiby..ana Route zaid ya 10... Achana na hii ya Dsm dom uliyo izoea ,

Tuchukulie mfano Route mbili/tatu za Mbeya Na Rombo pamoja na Moshi...safari zote hv ni masaa 12 njia na kuendelea ,ni route hizo hizo Dar lux anapita na bus zinaharibika njian

La ziada, wewe ni moja kati ya watu wawili humu ndani nawaombea uzima na afya ,mwaka unaokuja au ule mwingine..nina ndoto ya kushusha chuma ya kubeba mizigo..cash ikitimia tu nitawatafuta kwa ushauri, nondo zako nimeziona ..ni natari na nusu, heshima yako
 
Tupe mrejesho, mlifika salama?
Naam, salama salmin kabisa. Hatukukutana na changamoto barabarani zaidi ya changamoto ndogo ndogo za kwenye gari AC kuzingua na kuambiwa choo hakiflash hivyo kisitumiwe, vitu ambavyo vinacompromise ubora wa huduma zao vikilinganishwa na bei za nauli.
 
Nina safari ya mwanza next week, nafikiria kwenda kufanya booking dar lux lakini kwa comments hizi nashindwa kuamua. Sijazoea gari nyingine yoyote route ya mwanza
 
Nina safari ya mwanza next week, nafikiria kwenda kufanya booking dar lux lakini kwa comments hizi nashindwa kuamua. Sijazoea gari nyingine yoyote route ya mwanza
Muhimu ni imani. Hizo changamoto kadri zinavyojitokeza ndivyo zinavyotatuliwa. Kama umeshazoea Dar Lux, litumie hilo hilo. Mfano mimi kwa upande wa safari za Mbeya, tangu mabasi ya New Force yaanze safari huko sijawahi badilisha mabasi, ni hayo hayo kila nikisafiri uelekeo huo.
 
Back
Top Bottom