tang'ana
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 12,073
- 16,629
ni kweli ukisemacho..hata mimi wiki mbili zilizopita tulipatwa na majanga kama hayo hapo nyegezi..tukaondoka mwanza saa 1 asubuhi..halafu huyo in charge wao hapo mwanza jamaa flani hivi bonge ana mdomo mchafu, anaongea lugha mbaya kwa abiria..me nadhan hiyo route ya dar to mwanza..saivi kampuni zinazojielewa ni happy nation,isamilo na Ally's.