Dar Lux, kampuni bora ya mabasi inayoelekea kaburini

Ya mwanza hayana ubora?
Dela mayooo

Tatizo la abood ni mmoja tu; magari yake yasiwe yanapita kwenye yard yake ile ya moro waangalie sehemu nyingine nzuri.

Yard yake ya Moro haina sehemu ya kujisaidia.

Vyooo viwili abiria wanao shuka mia 300. Na mbaya zaidi waweza kukuta hata kwenye hivyo vyoo maji yamekata.

Panauzi sana pale;

Ila New force; ni habari nyingine
Hata kwa route za dar_Moro nahisi anaongoza kwa sasa.
 
Hapo kwenye vyoo Upo sahihi..
Siji kurudia tena nikiwa Msamvu au hata Ubungo kuingi kwenye Bus tofauti na Abood.

Ilinikuta zaidi ya mara kadha unaingia kwenye hizo bus zingine nzuri kweli kweli lakini unakaa hapo stand mpaka utaimba.

Kule unakuta Abood zaidi ya nne mpaka tano zimeondoka.Ilifika kipindi Mpaka abiria wanaacha Tiketi za gari zingine na kuingia kwenye Abood Bus.

Ushindani wa Dar Moro ulikuwa wa Abood na Hood hiki ndicho nachokumbuka kipindi hicho.

Simpigii Promo Abood ila jaribu utaona utofauti ..na naongelea mwaka huu nimepanda hizo mara nyingi.
 
Dah mie abood kaniloga...hata huyo new force ndo nakusikia hapa yuko moro
 
[emoji23][emoji23]
Hapo kwenye vyoo Upo sahihi..
Siji kurudia tena nikiwa Msamvu au hata Ubungo kuingi kwenye Bus tofauti na Abood.

Ilinikuta zaidi ya mara kadha unaingia kwenye hizo bus zingine nzuri kweli kweli lakini unakaa hapo stand mpaka utaimba.

Kule unakuta Abood zaidi ya nne mpaka tano zimeondoka.Ilifika kipindi Mpaka abiria wanaacha Tiketi za gari zingine na kuingia kwenye Abood Bus.

Ushindani wa Dar Moro ulikuwa wa Abood na Hood hiki ndicho nachokumbuka kipindi hicho.

Simpigii Promo Abood ila jaribu utaona utofauti ..na naongelea mwaka huu nimepanda hizo mara nyingi.
 
Nguvu ya Abood moro iko kwa wale wapiga debe msamvu...ukitaka kumpindua Abood nenda ununue wale wapiga debe kwanza ambapo ni BM kidogo ndio walisubutu.

Wapiga debe wa Abood na Hoodni kama mashabiki wa Simba na Yanga hivyo BM alichukua wale wa Hood ndio nae anasurvive.
 
Simpend tu ana mwendo wa kinyonga..hayo mabus mengine utakesha aisee
 
Aisee
Nguvu ya Abood moro iko kwa wale wapiga debe msamvu...ukitaka kumpindua Abood nenda ununue wale wapiga debe kwanza ambapo ni BM kidogo ndio walisubutu.

Wapiga debe wa Abood na Hoodni kama mashabiki wa Simba na Yanga hivyo BM alichukua wale wa Hood ndio nae anasurvive.
 
Eti kama Mashabiki wa Simba na Yanga daaah
Nguvu ya Abood moro iko kwa wale wapiga debe msamvu...ukitaka kumpindua Abood nenda ununue wale wapiga debe kwanza ambapo ni BM kidogo ndio walisubutu.

Wapiga debe wa Abood na Hoodni kama mashabiki wa Simba na Yanga hivyo BM alichukua wale wa Hood ndio nae anasurvive.
 
Taja sifa moja ya Dar Lux
79921562_2811632795537078_1221556881588224000_n.jpeg
 
Mkuu waliwaonea sana yaani Mbazi kabisaa libasi libaya lile khaaaa
Polen sana
Juzi Bus Dar lux ya Dar Arusha Asubuhi saa 12:30 wametuweka ofisini kwao mpaka saa 2 asubuhi then wakaja kutuambia gari Bovu haliwezi kwenda, tunawaletea Bus jingine lakini sio Luxury ila tutarudisha some amounts.

Likaja Bus moja Bovu kupata kutokea Dunia, linaitwa Mbazi. Kwakua watu tulikua na haraka tukapanda tu. wakarejesha elfu 7 kutoka kwenye 40,000.

Kufika njiani tukakuta Dar Luxy ya Nairobi imezingua, wako nje. Baada ya kutoka mombo tena Dar lux mbili tena zimezingua.

Najua hii ni Biashara na ina changamoto zake But jamaa gari zao zimekua mbovu sanaaa
 
Back
Top Bottom