Dar kumejaa wanawake wazuri sana

Hahaha.. Naamini wewe sio mmoja ya hao wanawake wa dar wanaoamini kuwa mzuri mpaka uwe na rangi ya carrot[emoji28][emoji28]

Sipo huko kwenye rangi ya carrot[emoji28]
Ni tatizo la kutojiamini tu linawasumbua but tunawapokea wengi tu wenye cancer za ngozi
5 years to come kutakuwa na ongezeko la cancer ya ngozi
 
Hao hao ndio wanatupigia miluzi wanaume usiku tukipita shekilango night
 
Watu hawajui. Dar hali ya hewa (joto) linawabeba sana. Kuke kusweat muda wote ghafla tu mtu anajikuta ashakuwa mrembo hatari hata kama alitoka mkoani ngozi imekaukiana.

Hao hao wa Dar mpeleke Arusha au Dodoma kwenye baridi then baada ya mwezi mmoja tupe mrejesho. Utamkimbia
 
Nimezungukia vimikoa kadhaa ila Dar madem wengi ni wasafi sana.
Pia wanajua kujipamba na kujiremba.

Mikoani wanawake wa aina hii wapo ila sio wengi sana kama Dar.
Usafi wao umeujuaje? kama unaangalia kwa juu umeliwa!!
 
Mkoa gani huo ulikuta wachafu!??
Wangapi ulikuta wachafu?
Mikoa ya
1.Rukwa
2.Katavi
3.Kigoma
4.Tabora
5.Simiyu
6.Shinyanga
7Songw
8. Iringa
9.Singida
10.Arusha
11.Msoma
12.bukoba
13. Mwanza
15.Njombe
16.Mbeya huku ndiyo kunawake kama mapipa hayajulikani kiuno kiko wapi
 
Mikoa ya
1.Rukwa
2.Katavi
3.Kigoma
4.Tabora
5.Simiyu
6.Shinyanga
7Songw
8. Iringa
9.Singida
10.Arusha
11.Msoma
12.bukoba
13. Mwanza
15.Njombe
16.Mbeya huku ndiyo kunawake kama mapipa hayajulikani kiuno kiko wapi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nikupe pole..
Mbeya umesema Nini ati!????
Watu wa dar mna matatizo Sana...Sasa watu wa mbeya kuwa mapipa kunahusiana vipi na uchafu?
 
Hata wachafu wapo sana,
 

Ukahaba ni tatizo kubwa sana kwa jamii kwa kipindi hiki. Mungu turehemu na utuepusha na hii roho toka kuzimu.
 
Ukahaba ni tatizo kubwa sana kwa jamii kwa kipindi hiki. Mungu turehemu na utuepusha na hii roho toka kuzimu.
Ukahaba UPI? Hivi MTU kuwa msafi ni ukahaba? Hivi unajielewa kweli wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…