Dar inawapotezea watu muda

Kuna mtu alisema,
*mtu pekee wa kushindana naye ni wewe mwenyewe *
 
Dar imebadilik San.ni sehemu ,watu wanapig kaz.nakupongez kwa uamuz wak ,kumbuk mjin shule
 
Na huo utafiti wa NBS unaonesha jinsi hali ya mtu wa kawaida ilivyo nzuri Dar kuliko sehemu yoyote Tz.
Labda mi sijaelewa vizuri, kwani mtoa mada ,mi nadhan mada inahusu jinsi dar ilivyo ngumu kupata mafanikio, kuliko mkoani, huo utafiti wa NBS unazungumzia Hali ya maisha ya watu wa dar nilivyo nzuri kuliko mkoani
 
Dar kuna mzunguko mkubwa wa pesa ila matumizi ni makubwa.Mtoa mada kasema ukweli kama unakaa kwenu/kwa ndugu na huna majukumu huwezi kuelewa.
 
Labda mi sijaelewa vizuri, kwani mtoa mada ,mi nadhan mada inahusu jinsi dar ilivyo ngumu kupata mafanikio, kuliko mkoani, huo utafiti wa NBS unazungumzia Hali ya maisha ya watu wa dar nilivyo nzuri kuliko mkoani
Ndio. Huo utafiti umedhihirisha mkoani hali ni ngumu kuliko Dar.
 
Ndio. Huo utafiti umedhihirisha mkoani hali ni ngumu kuliko Dar.
Mi sikatai matokeo ya huo utafiti wa NBS , maisha ya mkoani yanaeza kweli kuwa magumu, lkn mkoani ni rahisi sana kutoka kimaisha kuliko hapo dar , Nina ushahidi wa hilo, Nimezaliwa dar nimesoma na kukulia hapo, miaka mitatu hii ya mwisho ndipo nilipopiga U turn kutafuta fursa mkoani, naujutia sana muda niliopoteza hapo dar
 
Kama hajakuelewa hapo, basi huyo ni zero kabisa
 
we bado hujiele
wi sana, sasa huna kitu zaidi ya kakiwanja tu hapo unaona umetoboa kimaisha?
vip kama hao majamaa zako huko kijiji ni walevi na wavivu unategemea wapate maendeleo kwa njia gani sasa
 
liache liendelee
Mkuuu we ni mshabiki mtazamaji wa mafaniko ya wenzako. Sasa hayo magari na majumba mazur we binafsi unanufaika vip nayo. We binafsi unamirik nn. Au ndo wafurahia kuona hayo magari na majumba ya bakharesa. Think out the box
kushabikia magari ya wenzanke na nyumba za wanaume wenzio, eti anajidai yupo ndani ya jiji,
 
ubarikiwe
huko uliko mkuu, yani hapo dar kuna wajinga sijawahi ona , eti jitu linakuja huku linasema dar kuna magari mazuri na majumba mazuri wakati hapo anapolala kwenyewe ni patupu na mbanano,
unakuta mtu ana simu kubwa kama tv eti ni ya kuingia nayo instagram na wasap kumcheki mange kasema nini, sasa mtu kama huyo utasemaa ana akili kweli
 
Ndio mjue Dar hakuna ma bush wala ranch ya kuchunga ng'ombe na mbuzi
 
hao wanaume suruali wa dar kukuelewa ni ngumu sana
 
Hivi mkoani hakuna kula kuvaa kuumwa?na mkoani si unaweza kuwa unatumia zaid ya nauli hiyo kwa boda boda au Bajaj?au mkoani kibarua huyo huyo badala ya kulipwa elf 8 atalipwa elf 18?
 
Hivi Tanga si mkoani ?mbona na kwenyewe kuna Joto kinoma
 
Yes nagari ya thamani Tanzania yapo Dar nyumba za gharama kubwa zipo Dar viwanja vizuri pia na kila kitu kizuri hapa Tz kinapatikana Dar

Ndio vinapatikana dar,katika hayo magari mazuri/majumba wewe unamiliki mojawapo?

Au unafurahia mali za wanaume?
 
*STAMINA alisema

wakuja rudi bush mji unahitaji walio_______ sasa hapa sijui alikuwa anamaanisha nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…